Utambuwe kwamba hivi tulivyo kama taifa ni matokeo ya yaliyofanywa na ambayo hayakufanywa na serekali za CCM.Habari WanaJF,
Binafsi ninaamini Bunge lijalo litakuwa ni Bunge la kufurahisha sana na lenye changamoto kuliko bunge lenye wabunge wengi Wa upinzani ndani yake. Ni bunge litakalojadili na kufanya maamuzi makubwa yenye maslahi mapana kwa taifa letu. Ni bunge litakalothibitisha ubora na viwango vyote vinavyotakiwa bila hata upinzani wa vyama kuwepo.
1. Watanzania wengi wanaamini kwamba, Saudi za wana-CCM bungeni ndio zimeleta mabadiliko tunayoyaona nchini yaliyotokea kwa kipindi kifupi sana. Na bado waliamini sauti zile zilikuwa chache kuleta maendeleo yaliyokusudiwa ndio maana kwa hiari yao wakaamua kulifanya bunge kuwa la wabunge Wa CCM tu. Hivyo naamini litakuwa ni bunge LA watanzania wote wapenda mabadiliko.
2. Binafsi naamini hoja zitazopelekwa bungeni, zitawagusa watanzania kwa asilimia karibu mia na zitapitishwa kwa asilimia kubwa na kufanya maamuzi magumu na makubwa kwa maslahi ya taifa kuharakishwa. Maamuzi hayo yatapendwa na watu na kulipenda binge licha ya kuwa litakuwa ni la karibu la chama kimoja.
3. Bunge lijalo litawasahaulisha watanzania juu ya hofu yao ya nafasi ya upinzani kwenye mfumo Wa vyama vingi vya siasa na wataona kuwa hata chama kimoja kinatosha kuelezea ukomavu wa demokrasia na kuleta mawazo mbadala wa sera.
Waliofikiri watanzania wataona bunge lijalo halina tija bila wingi wa wapinzani ,wamekosea sana bunge lijalo ndio litaloleta upinzani wa kweli wa hoja na mipango
Habari WanaJF,

Kwa hiyo mpaka sasa kwa akili zako umethibitisha kwamba watanzania wanalipenda na kulifurahia hili bunge, na kwamba wewe mwenyewe unavutiwa nalo sana.Siku zote nabii hakubaliki kwao
Amka usingizini
Ukweli ambao hausemwi kutokana na kuchukiwa unapotamkwa ni kwamba bila hata Mbowe au Lissu bungeni bado bunge ni tamu sana. Binafsi, mimi linanifurahisha sana na ninaona raha kuwasikiliza wana mapinduzi wakijadili kwa afya ya uchumi na maendeleo.Kwa hiyo mpaka sasa kwa akili zako umethibitisha kwamba watanzania wanalipenda na kulifurahia hili bunge, na kwamba wewe mwenyewe unavutiwa nalo sana.
Na kwa akili zako hizo umeona mambo ya msingi ambayo limejadili na kupitisaha kwa masilahi ya wananchi. Na sasa wananchi wanafurahi sana huko mitaani.
Jambo ambalo wengi hawakuona kwa kutoamini limekuwa kweli. Sio lazima Mbowe na wengine wawepo bungeni ili tuone mijadala mizito
Amka usingizini
Ukweli ambao hausemwi kutokana na kuchukiwa unapotamkwa ni kwamba bila hata Mbowe au Lissu bungeni bado bunge ni tamu sana. Binafsi, mimi linanifurahisha sana na ninaona raha kuwasikiliza wana mapinduzi wakijadili kwa afya ya uchumi na maendeleo.
Wataalamu wa uchumi wanadai deni la taifa bado ni himilivu na stahimilivu. Kitendo Cha spika kujua ukweli halisi wa deni kuwa bado ni himilivu na kuja na kauli ya 'nchi kupigwa mnada' ni ishara tosha alikuwa na nia ovu.Bunge la hovyo kuwahi kutokea. Spika anafukuzwa kiss kaongea kweli?
Habari WanaJF,
Binafsi ninaamini Bunge lijalo litakuwa ni Bunge la kufurahisha sana na lenye changamoto kuliko bunge lenye wabunge wengi Wa upinzani ndani yake. Ni bunge litakalojadili na kufanya maamuzi makubwa yenye maslahi mapana kwa taifa letu. Ni bunge litakalothibitisha ubora na viwango vyote vinavyotakiwa bila hata upinzani wa vyama kuwepo.
1. Watanzania wengi wanaamini kwamba, Saudi za wana-CCM bungeni ndio zimeleta mabadiliko tunayoyaona nchini yaliyotokea kwa kipindi kifupi sana. Na bado waliamini sauti zile zilikuwa chache kuleta maendeleo yaliyokusudiwa ndio maana kwa hiari yao wakaamua kulifanya bunge kuwa la wabunge Wa CCM tu. Hivyo naamini litakuwa ni bunge LA watanzania wote wapenda mabadiliko.
2. Binafsi naamini hoja zitazopelekwa bungeni, zitawagusa watanzania kwa asilimia karibu mia na zitapitishwa kwa asilimia kubwa na kufanya maamuzi magumu na makubwa kwa maslahi ya taifa kuharakishwa. Maamuzi hayo yatapendwa na watu na kulipenda binge licha ya kuwa litakuwa ni la karibu la chama kimoja.
3. Bunge lijalo litawasahaulisha watanzania juu ya hofu yao ya nafasi ya upinzani kwenye mfumo Wa vyama vingi vya siasa na wataona kuwa hata chama kimoja kinatosha kuelezea ukomavu wa demokrasia na kuleta mawazo mbadala wa sera.
Waliofikiri watanzania wataona bunge lijalo halina tija bila wingi wa wapinzani ,wamekosea sana bunge lijalo ndio litaloleta upinzani wa kweli wa hoja na mipango
Bado deni ni stahimilivu hivyo hatuna sababu ya kuwa na mashaka na ongezeko na kiwango hicho mpaka pale ikisemwa vinginevyo.Wewe ndio uhamke. Bunge limeshindwa kuisimamia serikali mpaka Deni limefika Trilioni 91.
Wataalamu wa uchumi wanadai deni la taifa bado ni himilivu na stahimilivu. Kitendo Cha spika kujua ukweli halisi wa deni kuwa bado ni himilivu na kuja na kauli ya 'nchi kupigwa mnada' ni ishara tosha alikuwa na nia ovu.
Kosa alilofanya katika dhana nzima ya uwajibikaji alitakiwa kuwajibishwa ama kuwajibika hivyo tumpongeze Spika Ndugai kwa kuwajibika
Bado deni ni stahimilivu hivyo hatuna sababu ya kuwa na mashaka na ongezeko na kiwango hicho mpaka pale ikisemwa vinginevyo.
Babu Tale ni sawa na Heche, Lema na Sugu, Mbowe na Mnyika kwa pamoja sasa huoni raha kama mtu mmoja anaweza kubeba majukumu ya wote na anayamudu?Tupe mrejesho mnaendeleaje hapo bungeni na kina babu tale?
Samahani chief, uko ni miaka mingapi?Babu Tale ni sawa na Heche, Lema na Sugu, Mbowe na Mnyika kwa pamoja sasa huoni raha kama mtu mmoja anaweza kubeba majukumu ya wote na anayamudu?