Uncle Elroy
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 1,177
- 1,090
You attract vile wewe ulivyo. Hata wewe unawadisappoint wao sababu wote
Hamna ukweli kwenye ulichosema na kama upo hauapply kwanguYou attract vile wewe ulivyo. Hata wewe unawadisappoint wao sababu wote mnaendana.
Mkuu uko sahihi 100%.Hali halisi ndivyo ilivyo, wala sijui ni nini kinachoendelea huko ulaya na Marekani lakini watanzania wengi wanakwepana, hata kama wanaishi mji moja ni nadra sana ku mingle, kutembeleana, kujuliana hali na kutengeneza long term relationships, kuwa pamoja labda itokee mtz kafariki ndio watachanga arudi azikwe.
Watanzania wengi hujikuta wapo karibu zaidi ya wakenya wawapo huko ughaibuni, ni fact kabisa hata kwa wanafunzi wanaoenda masomoni huko ulaya ukiwauliza watakwambia haya kuanzia kushare rooms, kuishi pamoja, watu wa karibu, n.k. huwa wanatafuta kampani za kikenya,
Na cha ajabu ni kwamba lile bifu letu vuguvugu la Tz vs Kenya nahisi wenzetu huwa wanalichukulia kama utani tu sio serious sana kama watz wanavyowashambulia wakenya kwenye jukwaaa la wakenya humuhumu jamiiforums, ingekuwa vinginevyo basi watanzania wangepata shida sana huko Ughaibuni, Watz kwa watz wanakwepana, nae mkenya angekuwa anawakataa watz huko ughaibuni pangekalika ?
Comments kutoka kwa wadau :
Watanzania tuna umoja ndani ya nchi ila nje tunakwepana kila mtu kimpango wake, Wakenya wana ukabila ndani ya nchi yao lakini wakiwa nje ni kabila moja.
Wakenya are proud of their nation nje ya mipaka, Watanzania wanauponda sana utanzania na wanaona kwenda nje ndo njia ya kujivua utanzania
Roho za kimaskinikuna stry flan watz pale london mazee ukishajitambulisha tu kwao tu mwezi hauiishii immigration mlangoni haoo
Unafiki...wengi huunguzana juu ya makaratasinskUsnitch mwingi sana kwa wabongo
Hamna ukweli kwenye ulichosema na kama upo hauapply kwangu
Uzuri mkenya atakutumia na rizki utapata...hawana mambo ya kuchomanaLisemwalo lipo. Sijainteract na Tanzanian diaspora wengi, ila niliokutana nao wote walinidisappoint, wakenya wanasaidiana sana ila kuna namna watataka wakutumie to their advantage hasa ukiwa mgeni
Ufilwaji ndo tatizo takwimu zilizopo sihaba ndg zetu huko mbele kwakweli hali mbayaHali halisi ndivyo ilivyo, wala sijui ni nini kinachoendelea huko ulaya na Marekani lakini watanzania wengi wanakwepana, hata kama wanaishi mji moja ni nadra sana ku mingle, kutembeleana, kujuliana hali na kutengeneza long term relationships, kuwa pamoja labda itokee mtz kafariki ndio watachanga arudi azikwe.
Watanzania wengi hujikuta wapo karibu zaidi ya wakenya wawapo huko ughaibuni, ni fact kabisa hata kwa wanafunzi wanaoenda masomoni huko ulaya ukiwauliza watakwambia haya kuanzia kushare rooms, kuishi pamoja, watu wa karibu, n.k. huwa wanatafuta kampani za kikenya,
Na cha ajabu ni kwamba lile bifu letu vuguvugu la Tz vs Kenya nahisi wenzetu huwa wanalichukulia kama utani tu sio serious sana kama watz wanavyowashambulia wakenya kwenye jukwaaa la wakenya humuhumu jamiiforums, ingekuwa vinginevyo basi watanzania wangepata shida sana huko Ughaibuni, Watz kwa watz wanakwepana, nae mkenya angekuwa anawakataa watz huko ughaibuni pangekalika ?
Comments kutoka kwa wadau :
Watanzania tuna umoja ndani ya nchi ila nje tunakwepana kila mtu kimpango wake, Wakenya wana ukabila ndani ya nchi yao lakini wakiwa nje ni kabila moja.
Wakenya are proud of their nation nje ya mipaka, Watanzania wanauponda sana utanzania na wanaona kwenda nje ndo njia ya kujivua utanzania
Game recognize game. Ulaya au USA sio peponi. Kuna watu poa na watu wa ajabu ni wewe unavutia watu gani. Muda wangu nilioishi nje over 10yrs nimeshare nyumba na Wabongo wenzangu,last few years kabla sijarudi ndio nilikaa na gf tena mbongo. Kuna clubs zilikuwa za wabongo tunakutana huko wakubwa kwa wadogo,parties,misiba na mambo mengi tu ya jumuia. Sijui labda kizazi cha sasa hivi maanake hata humu jf tuna zaidi ya miaka kumi tushakutana nje ya jf na watu kibao ila nashangaa siku hizi ndio watu wanaleta stories za hovyo kibao kuhusu kukutana na member wa jf.So, how did you end up with them? Ever heard birds of a feather flock together?
Mbona mimi, RRONDO na wengine wengi tu hatujakutana na hizo story. Humu jukwaani tu tumekutana na watu zaidi ya 10 nje na tumeshirikia vizuri kabisa. Wewe ndo tatizo ulivutia unaofanana nao.
Game recognize game. Ulaya au USA sio peponi. Kuna watu poa na watu wa ajabu ni wewe unavutia watu gani. Muda wangu nilioishi nje over 10yrs nimeshare nyumba na Wabongo wenzangu,last few years kabla sijarudi ndio nilikaa na gf tena mbongo. Kuna clubs zilikuwa za wabongo tunakutana huko wakubwa kwa wadogo,parties,misiba na mambo mengi tu ya jumuia. Sijui labda kizazi cha sasa hivi maanake hata humu jf tuna zaidi ya miaka kumi tushakutana nje ya jf na watu kibao ila nashangaa siku hizi ndio watu wanaleta stories za hovyo kibao kuhusu kukutana na member wa jf.
Hivi nje ya nchi nishikamane na watu wenye majungu wa kazi gani?Hii kitu inawezekana ni kweli. Maana hata huku ground tu kusaidiana ni ngumu kweli nawaza walioko huko ughaibuni wanaishije
Ukijaza mavi kichwani usitegemee uonekane tofauti na kile ulichoweka akilini mwako. Wewe unaamini kushikamana hakukusaidii ila hapa unazungumziwa kusaidiana sio kushikamana. Kama huoni huo umuhimu basi wewe ni binadamu mkamilifu usiyehitaji msaada au kumsaidia binadamu mwenzako popote pale.Hivi nje ya nchi nishikamane na watu wenye majungu wa kazi gani?
Labda awe demu wa kukaza tu