Ukweli mchungu: Watanzania wengi wanaoishi / kusoma ulaya na Marekani hawapeani kampani, Wakenya ndio kimbilio la watanzania wengi ughaibuni

Sisi wazalendo ambao hatujawah vuka mioaka tutakua tunasoma comments zenu kwa umakin sana.
 
Hali halisi ndivyo ilivyo, wala sijui ni nini kinachoendelea huko ulaya na Marekani lakini watanzania wengi wanakwepana, hata kama wanaishi mji moja ni nadra sana ku mingle, kutembeleana, kujuliana hali na kutengeneza long term relationships, kuwa pamoja labda itokee mtz kafariki ndio watachanga arudi azikwe.

Watanzania wengi hujikuta wapo karibu zaidi ya wakenya wawapo huko ughaibuni, ni fact kabisa hata kwa wanafunzi wanaoenda masomoni huko ulaya ukiwauliza watakwambia haya kuanzia kushare rooms, kuishi pamoja, watu wa karibu, n.k. huwa wanatafuta kampani za kikenya,

Na cha ajabu ni kwamba lile bifu letu vuguvugu la Tz vs Kenya nahisi wenzetu huwa wanalichukulia kama utani tu sio serious sana kama watz wanavyowashambulia wakenya kwenye jukwaaa la wakenya humuhumu jamiiforums, ingekuwa vinginevyo basi watanzania wangepata shida sana huko Ughaibuni, Watz kwa watz wanakwepana, nae mkenya angekuwa anawakataa watz huko ughaibuni pangekalika ?

Comments kutoka kwa wadau :

Watanzania tuna umoja ndani ya nchi ila nje tunakwepana kila mtu kimpango wake, Wakenya wana ukabila ndani ya nchi yao lakini wakiwa nje ni kabila moja.

Wakenya are proud of their nation nje ya mipaka, Watanzania wanauponda sana utanzania na wanaona kwenda nje ndo njia ya kujivua utanzania
Mkuu uko sahihi 100%.
Wakenya wanatusitiri sana hasa kwenye kazi za kuchamba wazee.
Yaani umepiga mulele,kama ni makalio basi kiini chake.
 
Hamna ukweli kwenye ulichosema na kama upo hauapply kwangu

So, how did you end up with them? Ever heard birds of a feather flock together?

Mbona mimi, RRONDO na wengine wengi tu hatujakutana na hizo story. Humu jukwaani tu tumekutana na watu zaidi ya 10 nje na tumeshirikia vizuri kabisa. Wewe ndo tatizo ulivutia unaofanana nao.
 
Lisemwalo lipo. Sijainteract na Tanzanian diaspora wengi, ila niliokutana nao wote walinidisappoint, wakenya wanasaidiana sana ila kuna namna watataka wakutumie to their advantage hasa ukiwa mgeni
Uzuri mkenya atakutumia na rizki utapata...hawana mambo ya kuchomana
 
Hali halisi ndivyo ilivyo, wala sijui ni nini kinachoendelea huko ulaya na Marekani lakini watanzania wengi wanakwepana, hata kama wanaishi mji moja ni nadra sana ku mingle, kutembeleana, kujuliana hali na kutengeneza long term relationships, kuwa pamoja labda itokee mtz kafariki ndio watachanga arudi azikwe.

Watanzania wengi hujikuta wapo karibu zaidi ya wakenya wawapo huko ughaibuni, ni fact kabisa hata kwa wanafunzi wanaoenda masomoni huko ulaya ukiwauliza watakwambia haya kuanzia kushare rooms, kuishi pamoja, watu wa karibu, n.k. huwa wanatafuta kampani za kikenya,

Na cha ajabu ni kwamba lile bifu letu vuguvugu la Tz vs Kenya nahisi wenzetu huwa wanalichukulia kama utani tu sio serious sana kama watz wanavyowashambulia wakenya kwenye jukwaaa la wakenya humuhumu jamiiforums, ingekuwa vinginevyo basi watanzania wangepata shida sana huko Ughaibuni, Watz kwa watz wanakwepana, nae mkenya angekuwa anawakataa watz huko ughaibuni pangekalika ?

Comments kutoka kwa wadau :

Watanzania tuna umoja ndani ya nchi ila nje tunakwepana kila mtu kimpango wake, Wakenya wana ukabila ndani ya nchi yao lakini wakiwa nje ni kabila moja.

Wakenya are proud of their nation nje ya mipaka, Watanzania wanauponda sana utanzania na wanaona kwenda nje ndo njia ya kujivua utanzania
Ufilwaji ndo tatizo takwimu zilizopo sihaba ndg zetu huko mbele kwakweli hali mbaya
 
Pia wana kijiwe cha diaspora......kijiwe nongwa
 
Halafu kuna vi group vingine vya fitna na majungu....ikiongozwa na mambo ya ushirikina
 
So, how did you end up with them? Ever heard birds of a feather flock together?

Mbona mimi, RRONDO na wengine wengi tu hatujakutana na hizo story. Humu jukwaani tu tumekutana na watu zaidi ya 10 nje na tumeshirikia vizuri kabisa. Wewe ndo tatizo ulivutia unaofanana nao.
Game recognize game. Ulaya au USA sio peponi. Kuna watu poa na watu wa ajabu ni wewe unavutia watu gani. Muda wangu nilioishi nje over 10yrs nimeshare nyumba na Wabongo wenzangu,last few years kabla sijarudi ndio nilikaa na gf tena mbongo. Kuna clubs zilikuwa za wabongo tunakutana huko wakubwa kwa wadogo,parties,misiba na mambo mengi tu ya jumuia. Sijui labda kizazi cha sasa hivi maanake hata humu jf tuna zaidi ya miaka kumi tushakutana nje ya jf na watu kibao ila nashangaa siku hizi ndio watu wanaleta stories za hovyo kibao kuhusu kukutana na member wa jf.
 
I couldn't agree more mkuu.
 
Hivi nje ya nchi nishikamane na watu wenye majungu wa kazi gani?

Labda awe demu wa kukaza tu
Ukijaza mavi kichwani usitegemee uonekane tofauti na kile ulichoweka akilini mwako. Wewe unaamini kushikamana hakukusaidii ila hapa unazungumziwa kusaidiana sio kushikamana. Kama huoni huo umuhimu basi wewe ni binadamu mkamilifu usiyehitaji msaada au kumsaidia binadamu mwenzako popote pale.

Mbona wengine wanasaidiana kwa hayo mataifa mengine hakuna wenye majungu?
 
Back
Top Bottom