Yak1 :18. Kwa kupenda kwake mwenyewe alituzaa sisi kwa neno la kweli, tuwe kama limbuko la viumbe vyake.Moja ya sifa maarufu za hazina ya siri iliyotajwa katika maneno "Mimi ni hazina ya siri. Nilitaka kutambulika na hivyo nikaumba viumbe".
Mungu ha gain chochote kutoka kwako! Asingekuumba usingempunguzia chochote wala kumuongezea chochote. Yeye angebaki kama alivyo!
Yeye kakuumba wewe ni kwa sababu tu ya upendo! Kwa sababu yeye ni hazina ya siri. Hakutaka neema hii ya ajabu, isiyo na kikomo na adhimu kuwa yenye kusitishwa. Kwa upendo wake akakuumba wewe!
Na kwa namna hiyo, ndiyo maana ameuumba uhai kwa siri pekee. Ameuumba kutokana na upendo.
Ila wewe au mimi hatumuongezei chochote wala kumpunguzia chochote.
Itaniasidia nini hiyo Kashfi sijajikita kujua mambo yenu ya ndani sababu nitakua napoteza muda kujua kitu nachojua Asili yake ni jambo fulani ambalo halina maana!Tatizo lako una Google! Na hilo ndiyo tatizo. Halafu unakuja hapa unasema unaujua uislam?
Hahahah!
Usiniletee tafsiri ya kilugha ya kiarabu, niletee tafsiri ya kiistilahi ya Kiislam.
Maadamu unaujua uislam hili halito kushinda. Nini maana ya Kashfi kwa tafsiri ya kiistilahi ya kiislam?
Yesu atakunywa pombe kwa baba yake,kwa kauli yake mwenyewe,ni wewe tu na paulo ndiyo dini zenu zinasema hakuna kula na kunywa kule peponiShetani alibuni dini ambayo anadai watu wampiganie Mungu kwa kuchinja na kulipua wenzao then atawapa pepo yenye mito ya pombe na Mabikira 70 wenye macho kama vikombe!
ππ
Kiongozi! Unajua sisi sote ni watu wazima. Hivyo, tunavyozungumza kitu tunatarajia kiwe ni productive talk.Hawapo, ni Muhammad Pekee ndiye anasema Mungu hana mwana.
Akina Yahaya, Musa, suleiman, isaya Daniel etc wanasema Mungu ana Mwana. Na mungu mwenyewe anasema ana Mwana na Yesu mwenyewe anasema Mungu ni baba yake.. Sasa why Muhammad nabii asiyekuwana na bloodline ya wayahudi adai kinyume?.
Muhammad anadai hivyo ni kwasababu hakutumwa na Mungu na Quran ni shahidi kuwa Muhammad hakutumwa na Mungu bali kuna watu ama viumbe walimtuma Muhammad na mungu akaangali tu.
Soma:-
Ω ΩΩΨ§ Ψ£ΩΨ΅ΩΨ§Ψ¨ΩΩΩ Ω ΩΩΩ ΨΩΨ³ΩΩΩΨ©Ω ΩΩΩ ΩΩΩ Ψ§ΩΩΩΩΩΩ Ϋ ΩΩΩ ΩΨ§ Ψ£ΩΨ΅ΩΨ§Ψ¨ΩΩΩ Ω ΩΩ Ψ³ΩΩΩΩΨ¦ΩΨ©Ω ΩΩΩ ΩΩ ΩΩΩΩΩΨ³ΩΩΩ Ϋ ΩΩΨ£ΩΨ±ΩΨ³ΩΩΩΩΩΨ§ΩΩ ΩΩΩΩΩΩΨ§Ψ³Ω Ψ±ΩΨ³ΩΩΩΩΨ§ Ϋ ΩΩΩΩΩΩΩΩ° Ψ¨ΩΨ§ΩΩΩΩΩΩ Ψ΄ΩΩΩΩΨ―ΩΨ§
[ AN-NISAAI - 79 ]
Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. NASI TUMEKUTUMA kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.
MUNGU YEYE ALIANGALIA TU MUHAMMAD AKITUMWA KUWA MTUME.. SO ITOSHE KUSEMA MUHAMMAD SI MTUME WA UTUMWA NA MUNGU BALI WATU.
Kashindwa kuvumiliaSura yako halisi sasa imeonekana. Mara ya kwanza ulikuja kama Atheist. Lakini kwa sasa umeshindwa kujificha.
Mbali na hilo swali langu hujalijibu kiongozi.
Umesema unaujua uislam. Nikakuuliza nini maana ya Kashfi?
Hujajibu mpaka sasa! Tatizo ni nini?
Sasa inakubidi uache uongo! Na uache unafiki.Itaniasidia nini hiyo Kashfi sijajikita kujua mambo yenu ya ndani sababu nitakua napoteza muda kujua kitu nachojua Asili yake ni jambo fulani ambalo halina maana!
Mganga ni tafsiri ya kiswahili ya doctor,we ukipata changamoto ya kiafya hukimbilia wapi,kwa mwamposa!?Kweli mkuu nawashangaa utakuta wanafanya ibada kwa siku mara 5 lakini wakipata changamoto ya kiafya au tatizo lolote lile utakuta wanaenda kwa waganga. Tofauti na waumini wa wakristo.
Kabisa!Kashindwa kuvumilia
Uongo kuhusu nini?Sasa inakubidi uache uongo! Na uache unafiki.
Au Yesu ndiyo anawafundisha hivyo?
Baba alimpiga bintiye kwa kuwa alikua kalewa,aliyekua kalewa hapo ni nani kati baba na bintiye?!..nje ya Quran ya kiarabu hiyo ni tafsiri ya Quran,kwa muundo wa swala ya kiislam ambayo uhusisha kusoma sura tofauti za QUR'AN Kama ukumbusho kwa mswaliji,huwezi soma hizo sura kwa kiswahili,sababu sharti ziwe na mabano ya kufafanua,ukisoma na mabano hiyo ni vurugu Tena siyo ibada,ibada ya kiislam ni tofauti na ya kikristo, wakiristo kule ibada zao so ibada Bali shughuli/event,ambazo mc huruhusiwa kutia porojo zakeNyote ni Waafrika mnaishi Kijijini kabisa halafu mnaitana kwenda kumuomba Mungu aliyewaumba Kiarabu.
Mungu aliyeniumba mimi Mwafrika halafu anilazimishe kusoma Kitabu chake Kiarabu.
Basi huyo Mungu ni Racist.
Yesu ni mwokozi au siyo mwokozi?Uongo kuhusu nini?
na unafiki kuhusu nini?
Na Yesu anaingiaje hapa kunifundisha?
Mimi nilimwambia mapema uandishi wake ni wa kudhihaki uislam ili Uzi ujae,ni dhahiri kafiri muabudu yesuKabisa!
Mwanzoni alikuja kwa namna kama yeye ni aina fulani hivi ya watu aina ya Kiranga.
Tena aliandika wazi moja ya majibu yake ni kuwa akitoka kwa waislam ataenda kwa wakristu.
Ajabu namuona anaandika Yesu ni mwokozi.
Na ndiyo maana nimemuuliza; mbona anakuwa muongo na mnafiki? Au Yesu ndiyo amemfundisha hivyo?
Ndio maana Moja ya hoja yangu kua nyie ni vilaza na Ngumbaru kwamba nilivyomtaja Yesu ushaenda kwenye conclusion Moja kwa Moja kwamba nipo upande huoKabisa!
Mwanzoni alikuja kwa namna kama yeye ni aina fulani hivi ya watu aina ya Kiranga.
Tena aliandika wazi moja ya majibu yake ni kuwa akitoka kwa waislam ataenda kwa wakristu.
Ajabu namuona anaandika Yesu ni mwokozi.
Na ndiyo maana nimemuuliza; mbona anakuwa muongo na mnafiki? Au Yesu ndiyo amemfundisha hivyo?
Pia umesahau kuwa waislamu wanna mkono mwepesi,ukiuchallenji kidogo tu uislamu basi tarajia ngumi ya uso au kumwagiwa laana kwa lughA ngeni.Haina hata haja ya salamu Moja kwa moja kwenye mada.
Kiufupi nimejichimbia kwa kina kujua Saga la Abrahamic religion yaani Judaism, Christian na Islam
Wengi humu mnanijua katika engo ya kujua mambo ya Accient civilization ila leo nagusia religious issues,
Katika utafiti wangu mdogo nimegundua majority ya Islamic kuanzia viongozi wao hawana elimu juu ya historia ya kweli ya dini yao.
Yote tisa kumi ni kutojua historical chatline ya matukio, wengi wao ngumbaru first class yaani full kuchanganya mambo tena wengine utaona ni wasomi wa Elimu Dunia ila ikifika kwenye suala la dini yao ni kama wamekatwa kichwa.
Kubwa zaidi hawana Uelewa wa mambo ya kiroho yaani wanazidiwa mpaka na wale Buddha ukiachana na wenzao Wakristo ambao Wana uwezo wa kufanya chants na kuamsha nguvu chanya katika Ulimwengu wa Roho (Spiritual Realm Awakening)
Ila kiuhalisia wao wapo vizuri katika mambo ya morals and dogmas katika mambo ya kimwili kama kanuni za ibada,usafi wa mwili na taratibu nyingi za jamii,
Kiufupi Islam hata historia yao tu ina contradiction kibao ni rahisi kwa Mwanafunzi mchanga wa kikristo kuelezea historia ya Imani yao kuliko Muislam guru kukuelezea Mwanzo wa dini yake maana huwa hawafundishwi kwa kina kujenga hoja zaidi ya kukalili na kumezeshwa ujinga na hua hawajisumbui kutafuta ukweli wa mambo nje ya box!
Sorry yote hii imetokana na baadhi ya Members humu wafuasi wa Islam nabishana nao mambo fulani ya kihistoria na uhalisia ambayo yapo wazi kabisa ila Uelewa wao ni mdogo kuhusu maswala Spiritual ila ni wabishi sana na hakuna wanachojua na hawataki kujifunza wala kubishana kwa hoja ila mautusi na kejeli!
Anyway ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya!
Copy kwa FaizaFoxy na Stress Challenger
#La gizani!
ππ
Hatari sana!Mimi nilimwambia mapema uandishi wake ni wa kudhihaki uislam ili Uzi ujae,ni dhahiri kafiri muabudu yesu
Ushauri wangu kwako acha chuki. Utapata kisukari.Ndio maana Moja ya hoja yangu kua nyie ni vilaza na Ngumbaru kwamba nilivyomtaja Yesu ushaenda kwenye conclusion Moja kwa Moja kwamba nipo upande huo
Hebu jaribu kunisoma between the lines uone uhalisia wangu na nilichokua namaanisha pale acha kua mvivu wa kufikiria aisee kumbe ndio mpo open hivyo!
ππ
Waislam 1990s-2000s walikua na mihadhara wakikaribisha dini zote kuuliza maswali,kilichotokea ni wakatoliki kulia kwa mawakala wao serikalini,watu wakapigwa risasi mwembechai na kuuawa na jeshi la polisi, serikali kufungua kesi za kutukanwa yesu mahakamani (rejea kesi ya mhadhiri dibagula) na kushindwa,wasioweza challenge ni nyiePia umesahau kuwa waislamu wanna mkono mwepesi,ukiuchallenji kidogo tu uislamu basi tarajia ngumi ya uso au kumwagiwa laana kwa lughA ngeni.
Sio tu Mwokozi ila ndie Master of Spiritual Realm yaani kama hujawahi experience maswala ya Enlightenment huwezi elewa hii na anaenda mbali bila kumjua na kumkubali haitakaa uone Nuru kwenye maswala ya kiroho zaidi sana utaishia kunawa miguu kuswali kuelekea kibra na kuvaa kanzu ila kiuhalisiaYesu ni mwokozi au siyo mwokozi?