Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Mleta mada, unapozungumzia suala la dini inahitaji usiwe na mihemko, utafeli mbele. kila mtu na imani yake bila kujali ililetwa na nani, sote hatuna majibu hata wewe utakachotuletea hapa ni nadharia tu.
 
Bado tuko miaka ya 1800's ya ulaya, wakati wenzetu ndo wako 2024.
 
Mseme basi hayo maneno ya sura ya Fatiha anaongea Muhamadi au Allah?
Au waumini Waislamu?
Tatizo lako hutegi sikio la kuelewa bali unatega sikio la ukishajibiwa ujibu nini!

Na ndiyo maana watu wengineo hawakujibu. Wanakuacha uandike kwa nafsi yako mpaka itakapo kinai.

Jawabu la swali lako ni kwamba
Suratul Fatiha ni sura imebeba mambo mawili.

Mosi imebeba mja kumuitakidi anaye kwamba yeye ni mja wa Allah na ndiye anaye muabudu tu.

Pili, imebeba maombi kwa mja ya kwamba baada ya mimi kukuabudu wewe basi maombi yangu niongoe.

Nidyo maana mwanzo wa fatiha mja anasema:

-Kwa jina la Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu.

-Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola mlezi wa viumbe wote.

- Mwingi wa rehema mwenye kurehemu.

-Mwenye kumiliki siku ya Malipo.

-Wewe tu tunakuabudu, na wewe tu tunakuomba msaada.

Baada ya hapo aya zinazofuata ni za kumuomba huyo anayemuabudu na anayemuomba msaada. Hivyo mja anamuomba Mungu wake kwa kuwa dunia imejaa mitihani na yeye binadamu amekuja kutahiniwa hapa duniani. Hivyo!

-Tuongoze njia iliyonyooka.

-Njia ya uliyowaneemesha, siyo ya waliyokasirikiwa wala waliyopotea.
 
Mungu hafi wala hazeeki. Sasa kwa nini ahitaji mtoto/mwana?

Tunaohitaji watoto ni sisi viumbe wengineo. Kwa sababu mwisho wa siku ni lazima tuwe na warithi.

Mungu yeye ahitaji mrithi wa nini hali ya kuwa si mwenye kuzeeka wala mwenye kufa?

Anayesema Mungu haitaji Mwana ni wewe ama Mungu mwenyewe?.
Tujiulize why Mungu asiye na huitaji aumbe mtu wakati hagain chochote toka kwake?.
Niliwai kukuuliza" kuna nabii yoyote kati ya manabii laki moja na 24 wanaotambulika na Quran aliwai sema Mungu hana mwana kando na Muhammad?.
 
_49059956_beard-reu.jpg
fp9x8 (2).jpg

Hasira na kupenda Damu.
 
Divide and rule ni kanuni ya kitambo sana na founder ni Shetani mwenyewe.katika biblia Shetani anaitwa Baba wa Uongo.. Jamaa ni smart sana.
Aliingiza trinity kanisani kitu ambacho hakipo katika Biblia.
Shetani alifanikisha kuwafanya Wakristo Wamkili Mwana uku wakimkana Baba.
Baadae akaunda kundi jingine(uislam) kundi linalo mkili Baba uku likimkana Mwana.
Na ameacha makundi haya yapigane uku kila mmoja akiamini yupo sahihi.
Toka shetani amlaghai Adam na mkewe bustanini mpaka utatu wa Paulo kanisani,ni kipindi kirefu, kabla ya hapo shetani alibuni uongo gani wa kiimani binaadam wakawa wahangaika nao!?..tatizo huwa mnafikiri nusunusu
 
Mungu hafi wala hazeeki. Sasa kwa nini ahitaji mtoto/mwana?

Tunaohitaji watoto ni sisi viumbe wengineo. Kwa sababu mwisho wa siku ni lazima tuwe na warithi.

Mungu yeye ahitaji mrithi wa nini hali ya kuwa si mwenye kuzeeka wala mwenye kufa?
Hoja yangu ni kwamba, imekuwaje Shetani ambae hana uwezo wote amepata watoto bila mke wakati Allah mweza wa yote hana mwana kwasababu hana mke?.
Why kiumbe Kiwe na uwezo kumzidi aliyekiumba?
Allah hasemi kuwa hana mwana kwasababu haitaji mrithi, anasema hana mwana kwasababu hana mke.
Haya mengine ni ngonjera zako tu.
Allah ni Mola Mlezi tu, hanaga uwezo wa kuzaa😂.
 
Boko Haram,ISIS,Al Shabaab,Alqaida,Hammas,Hezbolah,Abu Sayaf,ect.
Kuna Makundi zaidi ya hamsini ya kufanya Mauaji kwa ajili ya Allah.
 
Toka shetani amlaghai Adam na mkewe bustanini mpaka utatu wa Paulo kanisani,ni kipindi kirefu, kabla ya hapo shetani alibuni uongo gani wa kiimani binaadam wakawa wahangaika nao!?..tatizo huwa mnafikiri nusunusu
Shetani alibuni dini ambayo anadai watu wampiganie Mungu kwa kuchinja na kulipua wenzao then atawapa pepo yenye mito ya pombe na Mabikira 70 wenye macho kama vikombe!
😁😁
 
Jukwaa huru funguka huwa sina time kudiscuss maneno ya Kanga, una muda wa kuandika comment ndefu ila huna muda wa kuziweka hizo facts hapa?
Kama una muda wa kuandika kwamba Quran haina different variations bila kufanya historic review bac utakuwa na muda wa kufatilia waliyotenda hao watu.

Plus, kama ungekuwa na interest ya kweli ya kujua, isingekuwa shida kwako kutafuta materials na kusoma, kama hutaki bac endelea hivohivo kuamini kwamba quran haijawahi kuwa na different versions.
 
Ukisomewa kisomo usije kutulilia
Hahahah hicho kisomo chenu ambacho hata mnachokisoma hamkielewi
Yaani kama watoto wa chekechea wanavyosoma ndio mje mniweze Mimi thubutu kwanza hayo mambo hua hayaaply kwa Akili kubwa na strong Consciousness people like me labda ngumbaru wa uswahilini huko ndio mtawaweza!
😁😁
 
Tujiulize why Mungu asiye na huitaji aumbe mtu wakati hagain chochote toka kwake?.
Moja ya sifa maarufu za hazina ya siri iliyotajwa katika maneno "Mimi ni hazina ya siri. Nilitaka kutambulika na hivyo nikaumba viumbe".

Mungu ha gain chochote kutoka kwako! Asingekuumba usingempunguzia chochote wala kumuongezea chochote. Yeye angebaki kama alivyo!

Yeye kakuumba wewe ni kwa sababu tu ya upendo! Kwa sababu yeye ni hazina ya siri. Hakutaka neema hii ya ajabu, isiyo na kikomo na adhimu kuwa yenye kusitishwa. Kwa upendo wake akakuumba wewe!

Na kwa namna hiyo, ndiyo maana ameuumba uhai kwa siri pekee. Ameuumba kutokana na upendo.

Ila wewe au mimi hatumuongezei chochote wala kumpunguzia chochote.
 
Yaani waislam wajenge misikiti kuelekea Yerusaleem hivi we jamaa hii historia umeipata wapi? Wakati tangu Zamani Ethiopia inajukllikana ni kama vile Ina dini inayoshahabiana na Uyahudi. Tangu malkia zao wa anciety Ethiopian. Labda ungesema hayo yalikuwa mahekaki ya dini za kiyahudu lakini siyo uislam. Ktk historia Wareno walitamani kwenda Ethiopia kwa ajili ya kuunganisha nguvu na mfalme wa Ethiopia kupigana na usioama wewe unasema Ethiopia ilikuwa na waislam na walijenga mahekalu kuelekea Jerusalem mji wa Daudi!
Hivi hii historia yako iko sawa kweli?
Mkuu
1. Uisilamu una misikiti mitakatifu mitatu, mmoja wapo ni Bait Al muqadas aka masjid Al Aqsa upo Jerusalem

2. waisilamu mwanzo walikuwa wakiswali kuelekea Jerusalem its a fact sio jambo lenye utata.

3. Msikiti upo its fact na ni katika maeneo ya kihistoria upo hapo Somali land una kilbla mbili moja inaelekea Jerusalem nyengine Mecca, na nimetumia msikiti huu sababu upo ukanda wetu kutetea hoja yangu ila upo msikiti mwengine Madina pia una kibla mbili
Qiblatain Zeila.jpg

Mabaki ya Masjid Qiblatain mwaka 2016 zella Somali land yakionesha kibla mbili moja inaelekea North Mecca na nyengine Northwest Jerusalem.

Tawala zinabadilika na wafalme wanabadilika, Unaongelea Ureno na Ethiopia miaka Mia kadhaa mbele mimi nakuambia habari za Karne ya 7. Ureno wanakuja Africa tayari Pwani nzima ya Africa mashariki ni waisilamu, wakati huo Empire ya Kilwa inatawala.

Na kama unataka ushahidi wa Kisayansi huu hapa

Hio journal in Discuss makaburi ya waisilamu ya karne ya 7 huko Ethiopia ambayo yamegunduliwa karibuni.
 
0_India-Shiite-Muslim-during-day-of-Ashura.jpg

Kujipiga mpaka Damu itoke ili Allah akate kiu.😀

Halafu Sweden ambao asilimia kubwa ni Atheist wanamaendeleo kuliko wao.
 
Back
Top Bottom