Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Ukristo umeanzishwa na paulo , maneno yake ndio anawaambia wagalatia , wakorintho sio maneno ya yesu .

Rudia kusoma vizuri kijana 😀 😀

Wakorintho 1:1
''Paulo, aliyeitwa kuwa mtume wa Yesu Kristo kwa mapenzi ya Mungu, na Sosthene ndugu yetu''

Hapo ni salamu ya paulo sio Yesu alikuwa kashaondoka
Huna akili kichwani.
Marko 9:39
Yesu akasema, Msimkataze, kwa kuwa hakuna mtu atakayefanya mwujiza kwa jina langu akaweza mara kuninenea mabaya;

40 kwa sababu asiye kinyume chetu, yu upande wetu.

41 Kwa kuwa ye yote atakayewanywesha ninyi kikombe cha maji, kwa kuwa ninyi ni watu wa Kristo, amin, nawaambia, hatakosa thawabu yake.

Mathayo 16:17
Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.

18 Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.

19 Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.

Kichwani ni Zero Brain.
Wa Kanisa la Paulo
 
Unakopi Dini za Watu halafu unatengeneza Dini yako ya Kimagumashi kisha unachukukua Upanga na kuanza kuwavamia wenzako na kuwaambia kuwa ya kwako ndio sahihi na kuanza kuwachinja

Unaanza kuwafosi Watu waongee LUGHA yako ili kuabudu unaanza kufosi kuita Watu kwenda kuabudu kwa LUGHA yako na kuanza kufuga mzuzu.

Halafu Mtu asieamini Magumashi yako unamuita KAFIRI wakati ni sawa sawa na Mchina akopi Mercedes Benz ya Mjerumani halafu anaanza kusema Benzi ya Mjerumani sio Orijino na kwamba Mjerumani kalaaniwa na Allah 😄
 
Huna akili kichwani.
Marko 9:39
Yesu akasema, Msimkataze, kwa kuwa hakuna mtu atakayefanya mwujiza kwa jina langu akaweza mara kuninenea mabaya;

40 kwa sababu asiye kinyume chetu, yu upande wetu.

41 Kwa kuwa ye yote atakayewanywesha ninyi kikombe cha maji, kwa kuwa ninyi ni watu wa Kristo, amin, nawaambia, hatakosa thawabu yake.

Mathayo 16:17
Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.

18 Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.

19 Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.

Kichwani ni Zero Brain.
Wa Kanisa la Paulo
Acha ushamba nakuambia paulo unaleta petro naona hata dini yako hujui 😀 😀 😀
 
😀Unajitahidi sana mpakwa mafuta ila wapi , Alipewa ujumbe na malaika ....Mussa ndio alikuwa akribu zaidi ya Mungu sio Yesu
Nikikuambia kua Yesu alionana na Musa na Ibrahim na ndie aliemuumba Adamu hautaamini. Nakupa SoMo Leo na usikae gizani Tena.

Mungu ni community kama ambavyo wewe ulivyo Mwili, Nafsi na roho. Mungu ni community Kwa jina la kuhibrania ni EKAD, Ndio maana Mungu anaitwa YHWH, na Yesu aliitwa Yehovah/Lord, waisraeli walimtambua vizuri sana. Na ukisoma mwanzo kabisa unaona kua Mungu, roho ya Mungu na kwenye Yohanna unafahamu kua Uumbaji na neno lililosema "Iwe mwanga" alikua ni Yesu.
‭Yn 1:1-3 SUV‬
[1] Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. [2] Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. [3] Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.

Kwenye kitabu Cha Mwanzo 14:17 Yesu anakutana na Abrahamu na Adamu akatoa fungus la kumi na kunywa meza ya bwana pamoja nae.

Ibrahim anamwona Tena Yesu Mwanzo 16 anapata habari kua atapata mtoto wa kiume.

Wakati pekee Mungu baba alikuja kilichoonekana na wingy kubwa na Moshi lakini siku zote ni Yesu ndie Musa aliongea nae na mara Moja alimwona Mgongo kwenye kitabu Cha Kutoka 33:21.

Hakuna kitu kiliumbwa pasipo Yule neno, neno ni Yesu

‭Yn 1:18 SUV‬
[18] Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua.

Moses na wote walimwona Yesu tu. Ongeza kitu sasa, pumzi ya uhai IPO ndani ya Kristo na Quran inakiri, na iyo pumzi ya uhai ndio Adamu aliwekewa na Yesu. Kifo na mauti havikuweza mshikilia Kwa sababu yeye ndie uzima/uhai na atarudi kuhukumu.
 
Ndio nionyeshe wapi yesu alikuwa mkristo ?
Mazungumzo hayaendi hivo bwana mdogo, wewe umeleta claim kwamba ukristo umeanzishwa na paulo, that's a strong claim, sasa nimekuomba ulete ushahidi, wewe kwa kukosa ushahidi unauliza maswali wakati nimekuomba ushahidi.
Ni kama vile mtu unamuuliza "nipe ushahidi kwamba mungu yupo" alaf yeye badala ya kujibu anakuuliza "kwann unadhani mungu hayupo" which is stupid, like you.
 
Sijaona mifano kutokana na hoja zako, zaidi ya kuanza kujitetea unayosema.
Wewe elezea jinsi history ya uislam ilivyo na tupatie reference umesoma wapi???
Mpo shallow sana Bhana.
Inakuwaje useme Mungu hana mwana kwasababu hana mke ila muda huo huo unaami Shetani ana watoto na hana mke😂.
 
Unakopi Dini za Watu halafu unatengeneza Dini yako ya Kimagumashi kisha unachukukua Upanga na kuanza kuwavamia wenzako na kuwaambia kuwa ya kwako ndio sahihi na kuanza kuwachinja
Mtume alipotoka kule pangoni na kuulizwa na mkewe Hadija pamoja na Padre Walaga kuwa nini kimekutokea huko pangoni Hadi uka ugua?
Mtume kwa maneno yake mwenyewe alijibu kuwa.
"Nahisi nilizugwa na Mashetani"
Aliye mkaba na kumwambia "soma" hakujitambulisha.
Sasa sisi tumwamini mtume au Walaga aliye mwambie mtume kuwa huyo alikuwa Malaika Gibliri?
Mimi namwamini Mtume kuwa alikabwa na kupigwa na Mashetani kama alivyo sema mwenyewe.

Ndio maana baadae kidogo Mashetani yaka jitokeza kama Majini na kuweka sura yao kwenye Qurani na kusema yamesilimu na ndio yanayo apa hapa.
فَلَا أُقْسِمُ بِرَبِّ الْمَشَارِقِ وَالْمَغَارِبِ إِنَّا لَقَادِرُونَ

[ AL - MAA'RIJ - 40 ]
Basi naapa kwa Mola Mlezi wa mashariki zote na magharibi zote kwamba Sisi tunaweza

Na ndivyo yanayo ongea Katika sura ya kwanza ya Fatiha.

إِيَّاكَ نَعْبُدُ وَإِيَّاكَ نَسْتَعِينُ

(AL-FAATIH'A - 5)
Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.

اهْدِنَا الصِّرَاطَ الْمُسْتَقِيمَ

(AL-FAATIH'A - 6)
Tuongoe njia iliyo nyooka,

Mseme basi hayo maneno ya sura ya Fatiha anaongea Muhamadi au Allah?
Au waumini Waislamu?

مَّا أَصَابَكَ مِنْ حَسَنَةٍ فَمِنَ اللَّهِ ۖ وَمَا أَصَابَكَ مِن سَيِّئَةٍ فَمِن نَّفْسِكَ ۚ وَأَرْسَلْنَاكَ لِلنَّاسِ رَسُولًا ۚ وَكَفَىٰ بِاللَّهِ شَهِيدًا

[ AN-NISAAI - 79 ]
Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. "Nasi" tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.
وَأَنَّا لَمَسْنَا السَّمَاءَ فَوَجَدْنَاهَا مُلِئَتْ حَرَسًا شَدِيدًا وَشُهُبًا

(AL - JINN - 8)
"Nasi" tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo.

"Nasi" ndio hao Majini
 
Mtume alipotoka kule pangoni na kuulizwa na mkewe Hadija pamoja na Padre Walaga kuwa nini kimekutokea huko pangoni Hadi uka ugua?
Mtume kwa maneno yake mwenyewe alijibu kuwa.
"Nahisi nilizugwa na Mashetani"
Aliye mkaba na kumwambia "soma" hakujitambulisha.
Sasa sisi tumwamini mtume au Walaga aliye mwambie mtume kuwa huyo alikuwa Malaika Gibliri?
Kipindi hicho Waarabu wa Hejazi walikuwa wanaabudu Masanamu yao bila kuchinjana ndipo Misahafu ya Kiaramaik ikapelekwa na kukopiwa na ritual nyingine kukopiwa kutoka kwenye Zoroastranism na kwenye Upagani.

Watu wakaanza kuchinjwa kwa kisingizio cha Jihaad ambayo inasumbua Dunia mpaka leo kwa umwagaji mkubwa wa Damu.

Na kupenda Damu 👇
2560px-Annual_ritual_observed_on_the_10th_day_of_Muharram_in_Al_Manama_Bahrain.jpg

shia-muslim-boys-flagellate-themselves-during-muharram-440nw-14027815j.jpg

Ibada hizi👆 ni za Kipagani.
150704191408-isis-palmyra-execution.jpg
2CA3627B00000578-3244641-Bloodthirsty_An_ISIS_video_released_in_July_showed_child_executi-a-5_...jpg

Wanawachinja wenzao halafu wanasema Allaahu Akbar!!
 
Quran imekuja miaka 500 Baada ya Ukristo na imeandikwa ndani ya miaka 23 TU. Taarifa nyingi zimeibwa kutoka Imani tofauti tofauti na hata practices za uislam nyingi ni za kipagani (Nyota na Mwezi ilikua ya uturuki na miungu yao
Ni jukwaa huru Jf, itakuwa ni bora zaidi ukizungumza kwa mifano hususani unapotoa hoja ya kutuhumu kitu fulani. Tupatie mfano halisi unaoonyesha waislamu wanaabudu nyota na mwezi.
Kaaba lile jiwe wapagani walikua wakiliabudu limeingizwa kwenye uislam.
Kabla ya kufikia hitimisho tufahamishe historia ya kaaba ipoje! Hii itatuweka wazi kufahamu kiuhalali mmiliki halali wa kaaba ni nani. Kwa msingi huo itatufahamisha pia ibada halal ya kaaba ni ipi!
Mungu wenu hajawahi kuwajibu, haongei, haponyi,
Maneno yako ni mazuri lakini tuwekee ushahidi juu ya maneno yako ya kuwa Mungu wa waislamu; Mosi, hajawahi kujibu maombi. Pili, haongei. Tatu, haponyi.

mahubiri yenu ni kuambizana kuhusu kifo,
Ndiyo msingi wa imani ya uislamu ulivyo! Juu ya wewe kukumbushwa kifo ni kufahamu ya kuwa duniani umekuja kutahiniwa. Hivyo matendo yako yafanye kwa uzuri. Kwa sababu mwisho wa siku sote marejeo yetu ni kwa Mungu. Ni kama nchi ilivyoweka sheria na misingi yake namna ya jamii iishi. Halikadhalika kwa Mungu ni vivyo hivyo! Na kama kwa nchi ukikiuka utahukumiwa nazo, kwa Mungu navyo ni vivyo hivyo! Sasa yampaasa binadamu aishi vyema kabla hajarejea kwa Muumba wake. Kwa msingi huo ndiyo maana tunakumbishwa kifo!
 
Alitumwa na Majini
Na ni Dini ya Majini.

Ndio maana Leo unawasikia wenye Dini wanajiita
Shehe Sharifu Majini.

Na kuna misikiti ya Majini

Shehe Sule anasema kuwatumia majini kujiingizia kipato ni jambo Jema, akisingizia eti yale Majini mema.
Utamjuaje Jini Mwema?
Je unamjua Binadamu Mwema?
Hilo ndilo chaka wanalo jificha nalo
Na bado wanasema na mtawasikia tu.
 
Mpo shallow sana Bhana.
Inakuwaje useme Mungu hana mwana kwasababu hana mke ila muda huo huo unaami Shetani ana watoto na hana mke😂.
Mungu hafi wala hazeeki. Sasa kwa nini ahitaji mtoto/mwana?

Tunaohitaji watoto ni sisi viumbe wengineo. Kwa sababu mwisho wa siku ni lazima tuwe na warithi.

Mungu yeye ahitaji mrithi wa nini hali ya kuwa si mwenye kuzeeka wala mwenye kufa?
 
Nikikuambia kua Yesu alionana na Musa na Ibrahim na ndie aliemuumba Adamu hautaamini. Nakupa SoMo Leo na usikae gizani Tena.

Mungu ni community kama ambavyo wewe ulivyo Mwili, Nafsi na roho. Mungu ni community Kwa jina la kuhibrania ni EKAD, Ndio maana Mungu anaitwa YHWH, na Yesu aliitwa Yehovah/Lord, waisraeli walimtambua vizuri sana. Na ukisoma mwanzo kabisa unaona kua Mungu, roho ya Mungu na kwenye Yohanna unafahamu kua Uumbaji na neno lililosema "Iwe mwanga" alikua ni Yesu.
‭Yn 1:1-3 SUV‬
[1] Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. [2] Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. [3] Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.

Kwenye kitabu Cha Mwanzo 14:17 Yesu anakutana na Abrahamu na Adamu akatoa fungus la kumi na kunywa meza ya bwana pamoja nae.

Ibrahim anamwona Tena Yesu Mwanzo 16 anapata habari kua atapata mtoto wa kiume.

Wakati pekee Mungu baba alikuja kilichoonekana na wingy kubwa na Moshi lakini siku zote ni Yesu ndie Musa aliongea nae na mara Moja alimwona Mgongo kwenye kitabu Cha Kutoka 33:21.

Hakuna kitu kiliumbwa pasipo Yule neno, neno ni Yesu

‭Yn 1:18 SUV‬
[18] Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua.

Moses na wote walimwona Yesu tu. Ongeza kitu sasa, pumzi ya uhai IPO ndani ya Kristo na Quran inakiri, na iyo pumzi ya uhai ndio Adamu aliwekewa na Yesu. Kifo na mauti havikuweza mshikilia Kwa sababu yeye ndie uzima/uhai na atarudi kuhukumu.
Yesu huyo alikuwa bado hajazliwa acha uongo , kazaliwa na Maryam.

Onyesha yesu ndio Mungu wakati alikuwa anafanya ibada .

Mbona sioni kwamba yesu alikuwepo zaidi hata MUssa alifanya utabiri ,nionyeshe Yesu ndio aliumba kila kitu usianze sijui alikuwepo neno
 
Mazungumzo hayaendi hivo bwana mdogo, wewe umeleta claim kwamba ukristo umeanzishwa na paulo, that's a strong claim, sasa nimekuomba ulete ushahidi, wewe kwa kukosa ushahidi unauliza maswali wakati nimekuomba ushahidi.
Ni kama vile mtu unamuuliza "nipe ushahidi kwamba mungu yupo" alaf yeye badala ya kujibu anakuuliza "kwann unadhani mungu hayupo" which is stupid, like you.
Ndio nimekuambia hata Yesu hakuwa mkristo , aliyeaznisha ukristo ni paulo yesu alikuwa akshaondoka ...Leta andiko Ukristo ulianzishwa na yesu.
 
Baba mwajuma kama unadhani hakukuwahi kuwepo various different versions of the quran bac my brother you're ignorant.

Najua unamjua Zayd Ibn Thabit na najua unamjua Caliph Uthman, swali kwako sasa je, baba mwajuma hawa watu wawili walifanya nn kuhusu different versions of the Quran??(kama hujui tumia hata google)

Baba mwajuma, Usiseme tena quran ilikuwa haina different versions kwa sababu kitu alichofanya Caliph Uthman ni historic fact, sio mambo ya kutunga hata baadhi ya Islamic scholars wanakiri alichofanya ni kweli.
Jukwaa huru funguka huwa sina time kudiscuss maneno ya Kanga, una muda wa kuandika comment ndefu ila huna muda wa kuziweka hizo facts hapa?
 
Aahaa siyo Ayesha ni Bi Khadija,
Causin wa Bi Khadija ndie aliyekua priest Yaani Waraqah ibn Nawfal
The Roman agent akiwa kwenye plan na mwenzake Nestorian Monk Bahira wa Bosra!
Bi Khadija,kwa mujibu wa history,alikua mkubwa kwa miaka 16 kwa mtume Kama kumbukumbu zangu ziko sawa,huyo waraqah binam wa bi Khadija alikua mrumi au dhehebu la Roma!?..alikua kwenye mission gani!?
 
Hiyo ilikua Arab conquest walitumia dini kuwaaminisha Waarabu kwamba Mungu kamtuma Mtume Mohammad Bin Abdula Mutalib kwao ili iwe rahisi kuwatawala kumbuka hizo Jamii za hapo ziliabudu miungu Mingi na ziligawanyika likiwemo kabila la Quraish la mod mwenyewe na master Mind alikua Mwamba Nestorian Monk Bahira wa Bosra huyu ndiye aliye mpa Mod plan za kufanya Ili kufanikisha agenda maana
One Religion, one morals and dogmas, one society ....
you conquer all of em!
Hahahaha nyie bana akili zenu, Makkah na Madina kulikua na wayahudi na wakiristo,na wote wakimpinga mtume na kumjaribu,halafu kanisa lianzishe uislam,dini adui wake namba moja,ili iweje?!..palikua na wakiristo waarabu,kwa nini wasitumike hao waarabu kuutangaza ukiristo?..Syria ilikua Dola ya kikristo kabla ya uislam, achilia mbali turkey,kwa nini watengeneze dini mpya ili ku-conquer waarabu ilhali Syria tayari ilikua conquered?!
 
Yaani hapa iwe chansi ya kuelezea kwa kina dini yetu,tumuelezee nani!?..hujajibu hoja ya dhumuni la roman empire ya kipagani kuanzisha dini mbili zinazopingana na zinazopinga upagani
Divide and rule ni kanuni ya kitambo sana na founder ni Shetani mwenyewe.katika biblia Shetani anaitwa Baba wa Uongo.. Jamaa ni smart sana.
Aliingiza trinity kanisani kitu ambacho hakipo katika Biblia.
Shetani alifanikisha kuwafanya Wakristo Wamkili Mwana uku wakimkana Baba.
Baadae akaunda kundi jingine(uislam) kundi linalo mkili Baba uku likimkana Mwana.
Na ameacha makundi haya yapigane uku kila mmoja akiamini yupo sahihi.
 
Back
Top Bottom