Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Kama Quran ilivyosema,wengi wao wanachuki nasi japo wanaonesha nyuso ziso na chuki,wanayoficha nyoyoni makubwa zaidi, Quran haiongopi,watu Wanachukia sijda,hijabu..wapuuzi sana
 
inamankusweke

Umemuona mtu wako?

🤣🤣🤣🤣🤣
 
wakiristo
Kuna wanaoswali Jumamosi - wasabato
Jumapili - Wakatoliki
Juma tatu - Kanisa la Yohova.
waislam wao siku 1 ni ijumaa.
sasa nani kachanganyakiwa?
katika hizo siku unadhani MUNGU siku yake ni ipi?akuadhibu kwa ajili ya siku tu kifikra sahihi unaona iko sawa?yaani gaidi na ijumaa yake,uvaaji wake,lugha yake,kibra yake ndio apate pepo?upumbavu ni mbaya sana!
 
Kama Quran ilivyosema,wengi wao wanachuki nasi japo wanaonesha nyuso ziso na chuki,wanayoficha nyoyoni makubwa zaidi, Quran haiongopi,watu Wanachukia sijda,hijabu..wapuuzi sana
Hawa watu wana chuki sana na uislam. Halafu wenyewe wanajiona wema kweli.

Utamuona mtu anasema dini yao inafundisha upendo ila anachokiandika juu ya uislam na waislam ni chuki tupu!
 
inamankusweke

Umemuona mtu wako?

🤣🤣🤣🤣🤣
Katika Waislamu wote wa humu wewe ndio angalau umepata mwanga nini kinaendelea yote nilikusudia kabisa na nisingejifunua kwenye ile comment ungeendelea kua gizani
Wengine wote humu,hawaelewi Mada inahusu nini!
Ngoja nikupe ufafanuzi!
 
Nimemuona,hawezi vumilia
Sio siwezi vumilia nilikusudia kabisa baada ya kuona bado mpo gizani kwanza hata wewe hujajua mada inahusu nini ila ungekua na akili kichwa cha uzi kingekupa kengere kichwani
Waislamu kutokuelewa maswala ya kiroho ina maana gani na hiyo Spiritual enlightenment ni nini ila wote mmekua blind ndio hasa lengo la Mada yangu,
Yaani nyie bado hamjui kufumbua mafumbo magumu mnatolewa kwenye reli kirahisi hivyo huko Madrasa mnaenda kusomea ujinga?
😁😁
 
Mafumbo magumu ya yesu kuwa ndiye Mungu na kuwa mwana wa Mungu hapohapo!?..huna Cha kumfunza muislam wewe,we mwenyewe hujui unaabudu nini
 
Waislamu hawaja pewa maarifa ya Kiroho na wapo kimwili mwili tu.
Mambo ya kutawadha na kuusujudia mji wa Maka.
Hivyo katika mada hii hawana cha maana cha kuchangia.

وَيَسْأَلُونَكَ عَنِ الرُّوحِ ۖ قُلِ الرُّوحُ مِنْ أَمْرِ رَبِّي وَمَا أُوتِيتُم مِّنَ الْعِلْمِ إِلَّا قَلِيلًا

[ AN NAH'L - 85 ]
Na wanakuuliza khabari za Roho. Sema: Roho ni katika mambo ya Mola wangu Mlezi. Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo tu.

Ndio maana wanajiita katika habari za Majini.
Wanayajua Majini yote na tabia zao.
Cc. Dr. Sule.
Cc. Shehe Sharifu Majini.
 
Unajaribu kunitaka nifanye nini hasa?.
Quran imejaa maneno ya Muhammad mwenyewe.
Quran ni Muhammad na Muhammad ni Quran.
So, tunapima maneno yake na maneno ya manabii wengine. Manabii wengine walisemaje kuhusu Mungu, ukifanya hivyo ndiyo unajua ukweli ni upi.
Mnasema mnaamini Quran, Zaburi, Torati na Injili.
Je, waandishi wa hivyo vitabu wanasema Mungu hana mwana kama Muhammad asemavyo?.
Ukivisoma vitabu hivyo vyote vinakubali Mungu ana Mwana.. Sasa ni why Muhammad akatae na anasema ni vitabu vya Mungu?.
 
Kama Kurani ni MANENO au UJUMBE basi unaweza kuandikwa katika LUGHA yoyote ile.
Hiyo itakua tafsiri,na zipo mpaka za kichina..nilianza na mfano wa baba kumpiga mwanae kwa kuwa alilewa,nikauliza aliyekua kalewa ni baba au mtoto,lengo ilikua kuonesha kwamba tafsiri bila maelezo ni rahisi kupotosha ujumbe
 
Taurati/torati ipi usomayo inayosema Mungu ana mwana?
 
Mafumbo magumu ya yesu kuwa ndiye Mungu na kuwa mwana wa Mungu hapohapo!?..huna Cha kumfunza muislam wewe,we mwenyewe hujui unaabudu nini
Hapo ndipo mnapo dhihilisha kiwango chenu cha ujinga Muslims hua mnakimbilia conclusion badala ya kujifunza na kufanya utafiti
Maswala ya Spiritual enlightenment hayahusu dini ila yanamhusisha Yesu Kristo kama master of Realm na hii ndio siri ya Ukristo kuanza kama imani kwa mtu mmoja mmoja na baadae ikatengenezwa dini kama kundi
Kifupi bila hii elimu nyie Muslims mtaendelea kuzidiwa kiroho na waganga na wachawi!
Yaani mpo empty sana nahamtaki kujua kwa kukiona mnajua ila watu wenu wengi wanakimbilia kea manabii kina Mwamposa na hamjui kwanini na hapa ndio nakupa siri!
 
Mimi ninachojua na nilichogundua Hadithi za Kiyahudi na Kiarabu zimetuletea matatizo makubwa sana Halafu unakuta Mleta Mada Uzi wake ni lengo la kuwatetea hao Wayahudi wakati yeye ni Mu Africa yaani Africa tuna safari ndefu sana...
 
Unamuabudu Mungu au yesu?..au ni wote kitu kimoja?..acha kabobo,maana huwa mnachanganyikiwa hata kuelewa mnachoeleza hamuelewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…