Unajaribu kunitaka nifanye nini hasa?.
Quran imejaa maneno ya Muhammad mwenyewe.
Quran ni Muhammad na Muhammad ni Quran.
So, tunapima maneno yake na maneno ya manabii wengine. Manabii wengine walisemaje kuhusu Mungu, ukifanya hivyo ndiyo unajua ukweli ni upi.
Mnasema mnaamini Quran, Zaburi, Torati na Injili.
Je, waandishi wa hivyo vitabu wanasema Mungu hana mwana kama Muhammad asemavyo?.
Ukivisoma vitabu hivyo vyote vinakubali Mungu ana Mwana.. Sasa ni why Muhammad akatae na anasema ni vitabu vya Mungu?.