Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Toka shetani amlaghai Adam na mkewe bustanini mpaka utatu wa Paulo kanisani,ni kipindi kirefu, kabla ya hapo shetani alibuni uongo gani wa kiimani binaadam wakawa wahangaika nao!?..tatizo huwa mnafikiri nusunusu
Ni Wapi Paul kaleta Utatu?.
Ni Paul huyu huyu aliyesema Mungu ni mmoja alikuja akageuka na kusema Mungu ni watatu?.
Ama unamuongelea Paulo Ng'wani?. 😊.
Nb: uongo mkubwa ni Mungu hana mwana(islam).
Mungu ni watatu ndani ya mmoja(trinity)Christianitians .
 
Unamuabudu Mungu au yesu?..au ni wote kitu kimoja?..acha kabobo,maana huwa mnachanganyikiwa hata kuelewa mnachoeleza hamuelewi
Hivi unaelewa mafundisho ya Kristo?
Umeshawahi isoma gospel yyaote au unahadithiwa na sheikh wako?

Unaelewa mafundisho ya Ukristo ni complex mpaka kuyaelewa inahitaji uwe na siri ya Roho Mtakatifu?
Unajua Ukristo ni imani na Sio Dini?
Unajua nini maaana ya e?
Mungu ni Jina ,cheo ,au Asili?
Twende Ili tujue Uelewa wenu wa mambo tusije tukawa tunabishana na vipofu wanaojaribu kuuelezea Mwezi!
 
Hiyo itakua tafsiri,na zipo mpaka za kichina..nilianza na mfano wa baba kumpiga mwanae kwa kuwa alilewa,nikauliza aliyekua kalewa ni baba au mtoto,lengo ilikua kuonesha kwamba tafsiri bila maelezo ni rahisi kupotosha ujumbe
Kitabu cha STORY kikiandikwa kwenye LUGHA mbali mbali ile lengo KUU ni ile STORY.

Kwa Mfano Muazini anapoazini Kiarabu anasema "Mungu ni Mkubwa njooni Mswali..." inaweza kuimbwa Kiswahili tu bila hatq ya wasi wasi.
 
Papa Francis asingebariki ushoga kama angekua anajua historia ya yesu
 
Kama maneno yaliyo kwenye Qurani ni ya allah, huoni kama kupitia haya maneno kwenye surah hii allah anamuimba Mungu wake?
 
Si ungeweka hata kamfano kunogesha uzi.
 
Hebu nipe haya inayosema '... mkiristu a.k.a pagan akijenga jengo la ibada waisilam wote baada ya ibada ya ijumaa wakalivunje na kuharibu kila kitu'
 
Allah ameagiza Mauaji ya kutisha kabisa dhidi ya wasioamini porojo zake swali ni je mbona Allah asiwaue yeye mwenyewe badala ya kuagiza fanatics???!!

Ati wameagizwa👆😁😁😂
 
Sio hao tu, Sema wenye dini wote kuanzia Ukristo mpaka Uislam na janjajanja zote za imani.
 
Kuwa na Adabu ww
kuwa na adabu ww ukiiuzungumzia Uislam iman gn ya kiroho kunyishwa detol ndo kuwa na iman ya kiroh?
Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • export_1719811910202.mov
    3.5 MB
  • ssstik.io_@prophet_atigya_1719845065238.mp4
    2.5 MB
Kitabu cha STORY kikiandikwa kwenye LUGHA mbali mbali ile lengo KUU ni ile STORY.

Kwa Mfano Muazini anapoazini Kiarabu anasema "Mungu ni Mkubwa njooni Mswali..." inaweza kuimbwa Kiswahili tu bila hatq ya wasi wasi.
Huwezi kupata ladha ileile ya kitabu kilichotafsiriwa,kutafsiri ni kujitahidi tu kumuelewesha asiyejua hiyo lugha,happy birthday unaimba kiingereza,adhana hutaki ipigwe kiarabu,hizi chuki za kijinga
 
Kuwa na Adabu ww

kuwa na adabu ww ukiiuzungumzia Uislam iman gn ya kiroho kunyishwa detol ndo kuwa na iman ya kiroh?
View attachment 3038470
Hahaha tatizo lenu ndio hapo umeenda kuokoteza ujinga huko unaleta hapa,
Sasa unadhani nakataa basi hao ni wajinga kama nyie wasiotaka kujua mambo ya kiroho wao binafsi ila wanaamini mpaka waende kwa mtumishi
Ukitaka kuujua Ukweli na kua deep kiroho tafuta mgonjwa hapo mitaani kwenu na kamwekee mkono na uamuru ugonjwa umwachie katika jina la Yesu Kristo
Halafu achana nae utakuja kunipa ushuhuda wa nguvu za hilo Jina la Yesu
Sometimes fanya vitendo usiogope mkuu ajabu ni kua hio formula I apply kwa kila kiumbe hai bila kujali dini wala kabila
Nenda field achana na hizo drama halafu nitakufundisha kitu na nitakupa siri!
 
Mafundisho ya ukiristo siyo complex Bali vague,sababu wakiristo wenyewe tukiwauliza ikiwa yesu ni Mungu au laa,wenyewe mnatofautiana,kudai huwezi elewa mafundisho ya ukiristo mpaka uwe na roho mtakatifu maana yake yesu hakueleweka,maana yesu alisema atakuja mtu kuwafundisha na huyo mtu huwa mnadai ni roho mtakatifu na alikuja baadae,dini ni mfumo wa maisha,huwezi kuwa na amri kumi zinazouongoza mwili wako na ukaziamini na kuzifuata halafu useme huna dini,wakati una utaratibi wa kuabudu,kula,ndoa,kuzika,hayo ya spirituini ya watu waliopagawa tu kwa kushindwa kuelewa mambo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…