Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Naona unapenda sana kupakwa mafutaTehtehetehteh,kapakwe mafuta na matatizo yako ya akili
Hadi ukajiita
inamankusweke,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unapenda sana kupakwa mafutaTehtehetehteh,kapakwe mafuta na matatizo yako ya akili
Ni Wapi Paul kaleta Utatu?.Toka shetani amlaghai Adam na mkewe bustanini mpaka utatu wa Paulo kanisani,ni kipindi kirefu, kabla ya hapo shetani alibuni uongo gani wa kiimani binaadam wakawa wahangaika nao!?..tatizo huwa mnafikiri nusunusu
Tena kwenye Taurat si Mwana tu kwa maana ya mmoja bali wana.Taurati/torati ipi usomayo inayosema Mungu ana mwana?
Hivi unaelewa mafundisho ya Kristo?Unamuabudu Mungu au yesu?..au ni wote kitu kimoja?..acha kabobo,maana huwa mnachanganyikiwa hata kuelewa mnachoeleza hamuelewi
Kitabu cha STORY kikiandikwa kwenye LUGHA mbali mbali ile lengo KUU ni ile STORY.Hiyo itakua tafsiri,na zipo mpaka za kichina..nilianza na mfano wa baba kumpiga mwanae kwa kuwa alilewa,nikauliza aliyekua kalewa ni baba au mtoto,lengo ilikua kuonesha kwamba tafsiri bila maelezo ni rahisi kupotosha ujumbe
Kama maneno yaliyo kwenye Qurani ni ya allah, huoni kama kupitia haya maneno kwenye surah hii allah anamuimba Mungu wake?Tatizo lako hutegi sikio la kuelewa bali unatega sikio la ukishajibiwa ujibu nini!
Na ndiyo maana watu wengineo hawakujibu. Wanakuacha uandike kwa nafsi yako mpaka itakapo kinai.
Jawabu la swali lako ni kwamba
Suratul Fatiha ni sura imebeba mambo mawili.
Mosi imebeba mja kumuitakidi anaye kwamba yeye ni mja wa Allah na ndiye anaye muabudu tu.
Pili, imebeba maombi kwa mja ya kwamba baada ya mimi kukuabudu wewe basi maombi yangu niongoe.
Nidyo maana mwanzo wa fatiha mja anasema:
-Kwa jina la Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu.
-Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola mlezi wa viumbe wote.
- Mwingi wa rehema mwenye kurehemu.
-Mwenye kumiliki siku ya Malipo.
-Wewe tu tunakuabudu, na wewe tu tunakuomba msaada.
Baada ya hapo aya zinazofuata ni za kumuomba huyo anayemuabudu na anayemuomba msaada. Hivyo mja anamuomba Mungu wake kwa kuwa dunia imejaa mitihani na yeye binadamu amekuja kutahiniwa hapa duniani. Hivyo!
-Tuongoze njia iliyonyooka.
-Njia ya uliyowaneemesha, siyo ya waliyokasirikiwa wala waliyopotea.
Hebu nipe haya inayosema '... mkiristu a.k.a pagan akijenga jengo la ibada waisilam wote baada ya ibada ya ijumaa wakalivunje na kuharibu kila kitu'Wewe unaongelea kwa Mwamposa labda.
Kwenye uislamu waumini huwa wanaangalia maandiko yanasemaje kiongozi akitoa neno la uongo ambalo halipo kwenye kitabu anakosolewa hapohapo,hakuna uchawa.
Kwenye ukristo padri akisema kuna mafuta yametoka mbinguni anauza milioni hakuna wa kumpinga wote wanaingia kichwakichwa.
Kuwa na Adabu wwHaina hata haja ya salamu Moja kwa moja kwenye mada.
Kiufupi nimejichimbia kwa kina kujua Saga la Abrahamic religion yaani Judaism, Christian na Islam
Wengi humu mnanijua katika engo ya kujua mambo ya Accient civilization ila leo nagusia religious issues,
Katika utafiti wangu mdogo nimegundua majority ya Islamic kuanzia viongozi wao hawana elimu juu ya historia ya kweli ya dini yao.
Yote tisa kumi ni kutojua historical chatline ya matukio, wengi wao ngumbaru first class yaani full kuchanganya mambo tena wengine utaona ni wasomi wa Elimu Dunia ila ikifika kwenye suala la dini yao ni kama wamekatwa kichwa.
Kubwa zaidi hawana Uelewa wa mambo ya kiroho yaani wanazidiwa mpaka na wale Buddha ukiachana na wenzao Wakristo ambao Wana uwezo wa kufanya chants na kuamsha nguvu chanya katika Ulimwengu wa Roho (Spiritual Realm Awakening)
Ila kiuhalisia wao wapo vizuri katika mambo ya morals and dogmas katika mambo ya kimwili kama kanuni za ibada,usafi wa mwili na taratibu nyingi za jamii,
Kiufupi Islam hata historia yao tu ina contradiction kibao ni rahisi kwa Mwanafunzi mchanga wa kikristo kuelezea historia ya Imani yao kuliko Muislam guru kukuelezea Mwanzo wa dini yake maana huwa hawafundishwi kwa kina kujenga hoja zaidi ya kukalili na kumezeshwa ujinga na hua hawajisumbui kutafuta ukweli wa mambo nje ya box!
Sorry yote hii imetokana na baadhi ya Members humu wafuasi wa Islam nabishana nao mambo fulani ya kihistoria na uhalisia ambayo yapo wazi kabisa ila Uelewa wao ni mdogo kuhusu maswala Spiritual ila ni wabishi sana na hakuna wanachojua na hawataki kujifunza wala kubishana kwa hoja ila mautusi na kejeli!
Anyway ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya!
Copy kwa FaizaFoxy na Stress Challenger
#La gizani!
😁😁
kuwa na adabu ww ukiiuzungumzia Uislam iman gn ya kiroho kunyishwa detol ndo kuwa na iman ya kiroh?Haina hata haja ya salamu Moja kwa moja kwenye mada.

Huwezi kupata ladha ileile ya kitabu kilichotafsiriwa,kutafsiri ni kujitahidi tu kumuelewesha asiyejua hiyo lugha,happy birthday unaimba kiingereza,adhana hutaki ipigwe kiarabu,hizi chuki za kijingaKitabu cha STORY kikiandikwa kwenye LUGHA mbali mbali ile lengo KUU ni ile STORY.
Kwa Mfano Muazini anapoazini Kiarabu anasema "Mungu ni Mkubwa njooni Mswali..." inaweza kuimbwa Kiswahili tu bila hatq ya wasi wasi.
Hahaha tatizo lenu ndio hapo umeenda kuokoteza ujinga huko unaleta hapa,Kuwa na Adabu ww
kuwa na adabu ww ukiiuzungumzia Uislam iman gn ya kiroho kunyishwa detol ndo kuwa na iman ya kiroh?
View attachment 3038470
Mafundisho ya ukiristo siyo complex Bali vague,sababu wakiristo wenyewe tukiwauliza ikiwa yesu ni Mungu au laa,wenyewe mnatofautiana,kudai huwezi elewa mafundisho ya ukiristo mpaka uwe na roho mtakatifu maana yake yesu hakueleweka,maana yesu alisema atakuja mtu kuwafundisha na huyo mtu huwa mnadai ni roho mtakatifu na alikuja baadae,dini ni mfumo wa maisha,huwezi kuwa na amri kumi zinazouongoza mwili wako na ukaziamini na kuzifuata halafu useme huna dini,wakati una utaratibi wa kuabudu,kula,ndoa,kuzika,hayo ya spirituini ya watu waliopagawa tu kwa kushindwa kuelewa mamboHivi unaelewa mafundisho ya Kristo?
Umeshawahi isoma gospel yyaote au unahadithiwa na sheikh wako?
Unaelewa mafundisho ya Ukristo ni complex mpaka kuyaelewa inahitaji uwe na siri ya Roho Mtakatifu?
Unajua Ukristo ni imani na Sio Dini?
Unajua nini maaana ya e?
Mungu ni Jina ,cheo ,au Asili?
Twende Ili tujue Uelewa wenu wa mambo tusije tukawa tunabishana na vipofu wanaojaribu kuuelezea Mwezi!
Hii ni opinion yako badala ya Fact. Ungeelezea kwa mifano zaidi
Sisi waisilamu historia yetu ni safi na imenyooka wala haina shaka, si tu according na waisilamu hata wasio waisilamu, msahafu wa kwanza toka kipindi cha mtume upo Museum ya Birmingham upo Exactly sawa na msahafu unaotumika leo nothing changed nothing added, je unaweza uka sema hili kwa dini nyengine? Biblia ya leo Yesu anaijua? Tora ya leo Musa anaijua?
Pia sisi Tunakuwa Encouraged kuwa na elimu kwa kila tunachofanya, hatutakiwi kufuata mambo kwa mkumbo, dini yetu ipo practical zaidi na tunaiishi dini na sio kama dini nyengine unakuta waumini ni chawa tu wanatukuza wakubwa wao ila wao si wafuasi wa mafundisho ya dini zao
Hapo ni 4Kipi kilianza Kati ya hivi:-
1. Islam
2. Qur'an
3. Mohamed
4. Judaism?
Islam>judaism>Muhammad>QuranKipi kilianza Kati ya hivi:-
1. Islam
2. Qur'an
3. Mohamed
4. Judaism?
Hahahah ila Waislamu!Islam>judaism>Muhammad>Quran