Kwahiyo ndivyo mnavyodanganyana?Islam>judaism>Muhammad>Quran
Mnasema hayo ni maneno ya MUNGU?!Huwezi kupata ladha ileile ya kitabu kilichotafsiriwa
Hawa ndio Waislamu halisi yaani wafia Dini.Allah ameagiza Mauaji ya kutisha kabisa dhidi ya wasioamini porojo zake swali ni je mbona Allah asiwaue yeye mwenyewe badala ya kuagiza fanatics???!!
View attachment 3038463
Ati wameagizwa👆😁😁😂
Islam imeletwa na Qur'an? Or not?Islam>judaism>Muhammad>Quran
Hatusemi sisi Bali yenyewe,ukibisha,yenyewe inasema jaribu kutengeneza sura moja TU Kama ya Quran,hoja Yako nini!?Mnasema hayo ni maneno ya MUNGU?!
Hapo nini kimefosiwa!?Hawa ndio Waislamu halisi yaani wafia Dini.
Allah kawasisitiza kuwa
وَمَن يَبْتَغِ غَيْرَ الْإِسْلَامِ دِينًا فَلَن يُقْبَلَ مِنْهُ وَهُوَ فِي الْآخِرَةِ مِنَ الْخَاسِرِينَ
[ AL I'MRAN - 85 ]
Na anaye tafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye kukhasiri.
Wafosi kwa hali na mali kila mtu awe Muislamu.
Sijui ni kwanini wanalazimisha watu kuwa Waislamu.
Be Muslim or be Killed.
Mkuu nsomba kufahamu kutoka kwako maarifa ya kiroho ni yapi kwa mujibu wa ukristo na ningeshukuru sana kama utanipa na mifano ya mafundisho ya kiroho.Waislamu hawaja pewa maarifa ya Kiroho na wapo kimwili mwili tu.
Mambo ya kutawadha na kuusujudia mji wa Maka.
Hivyo katika mada hii hawana cha maana cha kuchangia.
وَيَسْأَلُونَكَ عَنِ الرُّوحِ ۖ قُلِ الرُّوحُ مِنْ أَمْرِ رَبِّي وَمَا أُوتِيتُم مِّنَ الْعِلْمِ إِلَّا قَلِيلًا
[ AN NAH'L - 85 ]
Na wanakuuliza khabari za Roho. Sema: Roho ni katika mambo ya Mola wangu Mlezi. Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo tu.
Ndio maana wanajiita katika habari za Majini.
Wanayajua Majini yote na tabia zao.
Cc. Dr. Sule.
Cc. Shehe Sharifu Majini.
Kwanza Muanzisha mada hata Hajui ni nini anachokiongelea na hata hajui ni nini anachotaka Wadau wachangie...DR Mambo Jambo sijakuona mkuu upande huu
Uzuri unasema tabia za waislamu sio kwamba unasema uislam unasemaje. Leta hoja juu ya huo uisĺam ambao umesoma wewe. Tatizo hoja zako ni za ku attack waislamu. Tambua uislam ni muongozo na muislam ni mfataji muongozo. Sasa weka hoja sio ku attack tabia za baadhi ya watuAlitumwa na Majini
Na ni Dini ya Majini.
Ndio maana Leo unawasikia wenye Dini wanajiita
Shehe Sharifu Majini.
Na kuna misikiti ya Majini
Shehe Sule anasema kuwatumia majini kujiingizia kipato ni jambo Jema, akisingizia eti yale Majini mema.
Utamjuaje Jini Mwema?
Je unamjua Binadamu Mwema?
Hilo ndilo chaka wanalo jificha nalo
Na bado wanasema na mtawasikia tu.
Weka hoja za kielimu. Uislam ndio umefundisha hvyoo?? Au nitabia ya chuki . Nioneshe Bible ya kwqnza kuwa imeandikwa lugha ya kiswahili unachotumia wewe.???Unakopi Dini za Watu halafu unatengeneza Dini yako ya Kimagumashi kisha unachukukua Upanga na kuanza kuwavamia wenzako na kuwaambia kuwa ya kwako ndio sahihi na kuanza kuwachinja
Unaanza kuwafosi Watu waongee LUGHA yako ili kuabudu unaanza kufosi kuita Watu kwenda kuabudu kwa LUGHA yako na kuanza kufuga mzuzu.
Halafu Mtu asieamini Magumashi yako unamuita KAFIRI wakati ni sawa sawa na Mchina akopi Mercedes Benz ya Mjerumani halafu anaanza kusema Benzi ya Mjerumani sio Orijino na kwamba Mjerumani kalaaniwa na Allah 😄
Wewe ni muumini wa propaganda yaani hizi picha unazoonesha ndio uislam unavyoeleza hvyo au just copy and paste tabia za watu.Kipindi hicho Waarabu wa Hejazi walikuwa wanaabudu Masanamu yao bila kuchinjana ndipo Misahafu ya Kiaramaik ikapelekwa na kukopiwa na ritual nyingine kukopiwa kutoka kwenye Zoroastranism na kwenye Upagani.
Watu wakaanza kuchinjwa kwa kisingizio cha Jihaad ambayo inasumbua Dunia mpaka leo kwa umwagaji mkubwa wa Damu.
Na kupenda Damu 👇
View attachment 3038330
View attachment 3038335
Ibada hizi👆 ni za Kipagani.View attachment 3038340View attachment 3038343
Wanawachinja wenzao halafu wanasema Allaahu Akbar!!
Ninyi pia mmepewa kidogo katika imani yenu.Mkuu nsomba kufahamu kutoka kwako maarifa ya kiroho ni yapi kwa mujibu wa ukristo na ningeshukuru sana kama utanipa na mifano ya mafundisho ya kiroho.
Hivyo vitabu ameandika naniSio najiona ni kitu halisia ninacho nilianzia kusoma Sumerian tablet and Code of gods Annunak,
Kemet code mpaka kufikia New Testament the code of Yashua Amasiach Nazarene (Jesus Christ of Nazareth)
Ikawa hitimisho la kua Spiritual enlightenment kwa kiwango cha juu!
Hivyo naongea kwa experience na kujiamini najua nachokisema sijasimuliwa nakifanya kwa mfano!
Hiyo vitabu ameandika nani??,Nimesoma secret documents za Roman empire,
Zilizobebwa na
Napoleon Bonaparte alipo mteka Papa Pius VI,
Ambazo zinaonesha Roman empire under Catholic Church ndio founder wa Islam Religion under secret agent Nestorian Monk Bahira wa Bosra
Ndio waliompa Mohammad Bin Abdula Mutalib utume kwa manufaa yao!
Hili unalifahamu?
Wakristo wa wapi wanatofautiana kwenye Uungu wa Yesu,Mafundisho ya ukiristo siyo complex Bali vague,sababu wakiristo wenyewe tukiwauliza ikiwa yesu ni Mungu au laa,wenyewe mnatofautiana,kudai huwezi elewa mafundisho ya ukiristo mpaka uwe na roho mtakatifu maana yake yesu hakueleweka,maana yesu alisema atakuja mtu kuwafundisha na huyo mtu huwa mnadai ni roho mtakatifu na alikuja baadae,dini ni mfumo wa maisha,huwezi kuwa na amri kumi zinazouongoza mwili wako na ukaziamini na kuzifuata halafu useme huna
Mafundisho ya ukiristo siyo complex Bali vague,sababu wakiristo wenyewe tukiwauliza ikiwa yesu ni Mungu au laa,wenyewe mnatofautiana,kudai huwezi elewa mafundisho ya ukiristo mpaka uwe na roho mtakatifu maana yake yesu hakueleweka,maana yesu alisema atakuja mtu kuwafundisha na huyo mtu huwa mnadai ni roho mtakatifu na alikuja baadae,dini ni mfumo wa maisha,huwezi kuwa na amri kumi zinazouongoza mwili wako na ukaziamini na kuzifuata halafu useme huna dini,wakati una utaratibi wa kuabudu,kula,ndoa,kuzika,hayo ya spirituini ya watu waliopagawa tu kwa kushindwa kuelewa mambo
dini,wakati una utaratibi wa kuabudu,kula,ndoa,kuzika,hayo ya spirituini ya watu waliopagawa tu kwa kushindwa kuelewa mambo
Makusudia ya hayo maneno unayajua au just copy and paste.na histori ya hayo maneno kushuka unajua?? Soma kwanza historia mpaka ikashushwa hiyo Aya. Na maudhi ya mwqnzishaji mada yapo hapo kuhusu roho.Ninyi pia mmepewa kidogo katika imani yenu.
Sasa ni kwanini hukijui hicho kidogo ulichoopewa ?
AN NAH'L - 85
Na wanakuuliza khabari za Roho.
Sema: Roho ni katika mambo ya Mola wangu Mlezi. Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo tu.
Very very complicatedWakristo wa wapi wanatofautiana kwenye Uungu wa Yesu,
Msingi wa Ukristo ni Ubinadamu wa Yesu na Uungu wa Yesu vyote vikienda sambamba kimaandiko na kiuhalisia
Mkristo anaepinga Uungu wa Yesu hayupo labda awe mamluki wa Ibilisi maana hiyo ni common na ndio Ukristo upo hivyo
Uungu wa Yesu hauna mjadala wala longo longo
Tatizo lenu nyie dini mmeipata miaka 600 baada ya Ukristo hivyo mpo non informed na mpo weak theological yaani nyie bado sana kwenye kipengele cha Theology na Spiritual
Hivyo hamuwezi elewa concept ya Uungu!
Kibiti waislamu wangapi uliwaona kwa macho yako ?, na je,,? Ndio mafundisho ya uislam yalivyo na pia katika ukristo mitume wa uongo si wamekemewa sasa mbona kila leo mitume na manabii wanazuka. Watu wanatapeliwa kwahiyo hayo ndio mafundisho ya dini yenu??Waislam wetu si ndio wale wa Kibiti na Tanga? Wengine ndio hawa waganga wavuta majini na waganga. Waislam wengi wazuri ni wale liberals, hawa wengine wa swala tano ni changamoto.
Kibiti waislamu wangapi uliwaona kwa macho yako ?, na je,,? Ndio mafundisho ya uislam yalivyo na pia katika ukristo mitume wa uongo si wamekemewa sasa mbona kila leo mitume na manabii wanazuka. Watu wanatapeliwa kwahiyo hayo ndio mafundisho ya dini yenuWaislam wetu si ndio wale wa Kibiti na Tanga? Wengine ndio hawa waganga wavuta majini na waganga. Waislam wengi wazuri ni wale liberals, hawa wengine wa swala tano ni changamoto.
Ndio kwahiyo,??? Tunajifunza niniMtoto wa Anko wa Bi Khadija yule Waraqah Bin Nawfal yulee aliyekua padre na agent wa Roman!
😁😁