Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Allah ameagiza Mauaji ya kutisha kabisa dhidi ya wasioamini porojo zake swali ni je mbona Allah asiwaue yeye mwenyewe badala ya kuagiza fanatics???!!
View attachment 3038463
Ati wameagizwa👆😁😁😂
Hawa ndio Waislamu halisi yaani wafia Dini.
Allah kawasisitiza kuwa
وَمَن يَبْتَغِ غَيْرَ الْإِسْلَامِ دِينًا فَلَن يُقْبَلَ مِنْهُ وَهُوَ فِي الْآخِرَةِ مِنَ الْخَاسِرِينَ

[ AL I'MRAN - 85 ]
Na anaye tafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye kukhasiri.

Wafosi kwa hali na mali kila mtu awe Muislamu.
Sijui ni kwanini wanalazimisha watu kuwa Waislamu.
Be Muslim or be Killed.
 
Muhammad

Muhammad was the founder of Islam and the proclaimer of the Qurʾān, Islam's sacred scripture. He spent his entire life in what is now the country of Saudi Arabia, from his birth about 570 CE in Mecca to his death in 632 in Medina.

(According to Accredited undeniable sources).
 
Hawa ndio Waislamu halisi yaani wafia Dini.
Allah kawasisitiza kuwa
وَمَن يَبْتَغِ غَيْرَ الْإِسْلَامِ دِينًا فَلَن يُقْبَلَ مِنْهُ وَهُوَ فِي الْآخِرَةِ مِنَ الْخَاسِرِينَ

[ AL I'MRAN - 85 ]
Na anaye tafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye kukhasiri.

Wafosi kwa hali na mali kila mtu awe Muislamu.
Sijui ni kwanini wanalazimisha watu kuwa Waislamu.
Be Muslim or be Killed.
Hapo nini kimefosiwa!?
 
Waislamu hawaja pewa maarifa ya Kiroho na wapo kimwili mwili tu.
Mambo ya kutawadha na kuusujudia mji wa Maka.
Hivyo katika mada hii hawana cha maana cha kuchangia.

وَيَسْأَلُونَكَ عَنِ الرُّوحِ ۖ قُلِ الرُّوحُ مِنْ أَمْرِ رَبِّي وَمَا أُوتِيتُم مِّنَ الْعِلْمِ إِلَّا قَلِيلًا

[ AN NAH'L - 85 ]
Na wanakuuliza khabari za Roho. Sema: Roho ni katika mambo ya Mola wangu Mlezi. Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo tu.

Ndio maana wanajiita katika habari za Majini.
Wanayajua Majini yote na tabia zao.
Cc. Dr. Sule.
Cc. Shehe Sharifu Majini.
Mkuu nsomba kufahamu kutoka kwako maarifa ya kiroho ni yapi kwa mujibu wa ukristo na ningeshukuru sana kama utanipa na mifano ya mafundisho ya kiroho.
 
DR Mambo Jambo sijakuona mkuu upande huu
Kwanza Muanzisha mada hata Hajui ni nini anachokiongelea na hata hajui ni nini anachotaka Wadau wachangie...

so kama angekuwa Anajua anachotaka maybe ningechangia 😅😅..

Inaonekana Muanzisha mada amesukumwa na Chuki tu Kuanzisha Uzi..

Kichwa cha habari amesema Mambo ya Kiroho tena "Spiritual Enlaghtments" au kwa Lugha nyingine tungeita "Illumination" ila kwenye Context (Maudhui) amezungumzia Historia na mambo ya Dogma na mapokeo ya Kidini..

So hivyo ni vitu Viwili tofauti na ambavyo haviendani kabisa Spiritual Enlightments its Far beyond Na Religion entanglements..

yeye Yupo Kajifunga kwenye Religions Entanglements na ndo anachokiita yeye Spiritual Enlightments..

atleast Awaulize Wenzake wakina Rabbon Kuhusu Spiritual Realm.😅😅
Wamfundishe Kwanza kondoo wao..

Wanaosema wanaijua elimu ya Kiroho (Spirituality) kiufupi ni kuwa Hawaijui kabisa..

Katika Quran Imeandika kuwa Mungu hakumpa Binadamu Elimu ya Kiroho ila Kidogo sana na hicho kidogo ni lazime akitafute..


Mwambie Asome katika Surah Ban-israil aya ya 85-87...
(Quran 17:85-87)

"...Na wakikuuliza khabari za Roho (Spirit). Sema: Roho (Spirit) ni katika mambo ya Mola wangu Mlezi. Nanyi hamkupewa katika ilimu ya Roho (Spirituality)ila kidogo tu. Na tungeli penda tungeli yaondoatuliyo kufunulia. Kisha usingeli pata mwakilishi wa kukupigania kwetu kwa haya. Isipo kuwa iwe rehema itokayo kwa Mola wako Mlezi. Hakika fadhila yake kwako ni kubwa.....

CC: Dumas the terrible
 
Alitumwa na Majini
Na ni Dini ya Majini.

Ndio maana Leo unawasikia wenye Dini wanajiita
Shehe Sharifu Majini.

Na kuna misikiti ya Majini

Shehe Sule anasema kuwatumia majini kujiingizia kipato ni jambo Jema, akisingizia eti yale Majini mema.
Utamjuaje Jini Mwema?
Je unamjua Binadamu Mwema?
Hilo ndilo chaka wanalo jificha nalo
Na bado wanasema na mtawasikia tu.
Uzuri unasema tabia za waislamu sio kwamba unasema uislam unasemaje. Leta hoja juu ya huo uisĺam ambao umesoma wewe. Tatizo hoja zako ni za ku attack waislamu. Tambua uislam ni muongozo na muislam ni mfataji muongozo. Sasa weka hoja sio ku attack tabia za baadhi ya watu
 
Unakopi Dini za Watu halafu unatengeneza Dini yako ya Kimagumashi kisha unachukukua Upanga na kuanza kuwavamia wenzako na kuwaambia kuwa ya kwako ndio sahihi na kuanza kuwachinja

Unaanza kuwafosi Watu waongee LUGHA yako ili kuabudu unaanza kufosi kuita Watu kwenda kuabudu kwa LUGHA yako na kuanza kufuga mzuzu.

Halafu Mtu asieamini Magumashi yako unamuita KAFIRI wakati ni sawa sawa na Mchina akopi Mercedes Benz ya Mjerumani halafu anaanza kusema Benzi ya Mjerumani sio Orijino na kwamba Mjerumani kalaaniwa na Allah 😄
Weka hoja za kielimu. Uislam ndio umefundisha hvyoo?? Au nitabia ya chuki . Nioneshe Bible ya kwqnza kuwa imeandikwa lugha ya kiswahili unachotumia wewe.???
Achana na hoja za ubinafsi weka hoja za msomi sio maneno ya mipasho
 
Kipindi hicho Waarabu wa Hejazi walikuwa wanaabudu Masanamu yao bila kuchinjana ndipo Misahafu ya Kiaramaik ikapelekwa na kukopiwa na ritual nyingine kukopiwa kutoka kwenye Zoroastranism na kwenye Upagani.

Watu wakaanza kuchinjwa kwa kisingizio cha Jihaad ambayo inasumbua Dunia mpaka leo kwa umwagaji mkubwa wa Damu.

Na kupenda Damu 👇
View attachment 3038330
View attachment 3038335
Ibada hizi👆 ni za Kipagani.View attachment 3038340View attachment 3038343
Wanawachinja wenzao halafu wanasema Allaahu Akbar!!
Wewe ni muumini wa propaganda yaani hizi picha unazoonesha ndio uislam unavyoeleza hvyo au just copy and paste tabia za watu.

Ni mfano wa sanamu la yesu na mama yake yaliyopo makanisani kwa kuwaaminisha watu kuwa ni yesu kweli kumbe ni muigizaji wa Hollywood.
Kuwa na fact bro acha propaganda
 
Mkuu nsomba kufahamu kutoka kwako maarifa ya kiroho ni yapi kwa mujibu wa ukristo na ningeshukuru sana kama utanipa na mifano ya mafundisho ya kiroho.
Ninyi pia mmepewa kidogo katika imani yenu.
Sasa ni kwanini hukijui hicho kidogo ulichoopewa ?
AN NAH'L - 85
Na wanakuuliza khabari za Roho.
Sema: Roho ni katika mambo ya Mola wangu Mlezi. Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo tu.
 
Sio najiona ni kitu halisia ninacho nilianzia kusoma Sumerian tablet and Code of gods Annunak,
Kemet code mpaka kufikia New Testament the code of Yashua Amasiach Nazarene (Jesus Christ of Nazareth)
Ikawa hitimisho la kua Spiritual enlightenment kwa kiwango cha juu!
Hivyo naongea kwa experience na kujiamini najua nachokisema sijasimuliwa nakifanya kwa mfano!
Hivyo vitabu ameandika nani
Nimesoma secret documents za Roman empire,
Zilizobebwa na
Napoleon Bonaparte alipo mteka Papa Pius VI,
Ambazo zinaonesha Roman empire under Catholic Church ndio founder wa Islam Religion under secret agent Nestorian Monk Bahira wa Bosra
Ndio waliompa Mohammad Bin Abdula Mutalib utume kwa manufaa yao!

Hili unalifahamu?
Hiyo vitabu ameandika nani??,
Nisawa sawa umlete mwana CCM kuchambua Irani ya chadema.
Utapata nini??
Kichwa cha Habari na yaliyoandikwa ndani ni tofauti. Ukiwa msomi mzuri leta similarities upande moja na mwingine ndio tutaweka hoja za kielimu now ni just story na chuki. Ambazo hata mwaka wa uchambuzi mmoja hauna ni just days or week unakuja kupotosha
 
Mafundisho ya ukiristo siyo complex Bali vague,sababu wakiristo wenyewe tukiwauliza ikiwa yesu ni Mungu au laa,wenyewe mnatofautiana,kudai huwezi elewa mafundisho ya ukiristo mpaka uwe na roho mtakatifu maana yake yesu hakueleweka,maana yesu alisema atakuja mtu kuwafundisha na huyo mtu huwa mnadai ni roho mtakatifu na alikuja baadae,dini ni mfumo wa maisha,huwezi kuwa na amri kumi zinazouongoza mwili wako na ukaziamini na kuzifuata halafu useme huna
Mafundisho ya ukiristo siyo complex Bali vague,sababu wakiristo wenyewe tukiwauliza ikiwa yesu ni Mungu au laa,wenyewe mnatofautiana,kudai huwezi elewa mafundisho ya ukiristo mpaka uwe na roho mtakatifu maana yake yesu hakueleweka,maana yesu alisema atakuja mtu kuwafundisha na huyo mtu huwa mnadai ni roho mtakatifu na alikuja baadae,dini ni mfumo wa maisha,huwezi kuwa na amri kumi zinazouongoza mwili wako na ukaziamini na kuzifuata halafu useme huna dini,wakati una utaratibi wa kuabudu,kula,ndoa,kuzika,hayo ya spirituini ya watu waliopagawa tu kwa kushindwa kuelewa mambo

dini,wakati una utaratibi wa kuabudu,kula,ndoa,kuzika,hayo ya spirituini ya watu waliopagawa tu kwa kushindwa kuelewa mambo
Wakristo wa wapi wanatofautiana kwenye Uungu wa Yesu,
Msingi wa Ukristo ni Ubinadamu wa Yesu na Uungu wa Yesu vyote vikienda sambamba kimaandiko na kiuhalisia
Mkristo anaepinga Uungu wa Yesu hayupo labda awe mamluki wa Ibilisi maana hiyo ni common na ndio Ukristo upo hivyo
Uungu wa Yesu hauna mjadala wala longo longo
Tatizo lenu nyie dini mmeipata miaka 600 baada ya Ukristo hivyo mpo non informed na mpo weak theological yaani nyie bado sana kwenye kipengele cha Theology na Spiritual
Hivyo hamuwezi elewa concept ya Uungu!
 
Ninyi pia mmepewa kidogo katika imani yenu.
Sasa ni kwanini hukijui hicho kidogo ulichoopewa ?
AN NAH'L - 85
Na wanakuuliza khabari za Roho.
Sema: Roho ni katika mambo ya Mola wangu Mlezi. Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo tu.
Makusudia ya hayo maneno unayajua au just copy and paste.na histori ya hayo maneno kushuka unajua?? Soma kwanza historia mpaka ikashushwa hiyo Aya. Na maudhi ya mwqnzishaji mada yapo hapo kuhusu roho.
 
Wakristo wa wapi wanatofautiana kwenye Uungu wa Yesu,
Msingi wa Ukristo ni Ubinadamu wa Yesu na Uungu wa Yesu vyote vikienda sambamba kimaandiko na kiuhalisia
Mkristo anaepinga Uungu wa Yesu hayupo labda awe mamluki wa Ibilisi maana hiyo ni common na ndio Ukristo upo hivyo
Uungu wa Yesu hauna mjadala wala longo longo
Tatizo lenu nyie dini mmeipata miaka 600 baada ya Ukristo hivyo mpo non informed na mpo weak theological yaani nyie bado sana kwenye kipengele cha Theology na Spiritual
Hivyo hamuwezi elewa concept ya Uungu!
Very very complicated
Mara yesu mungu!!!
Mara mwana wa mungu!!.
Mara roho wa mungu.

Sasa yesu aliyekuwa anamuta baba ni nani?
Na salamu ya baba yetu uliyembinguni amesema nani??

Very complicated
 
Waislam wetu si ndio wale wa Kibiti na Tanga? Wengine ndio hawa waganga wavuta majini na waganga. Waislam wengi wazuri ni wale liberals, hawa wengine wa swala tano ni changamoto.
Kibiti waislamu wangapi uliwaona kwa macho yako ?, na je,,? Ndio mafundisho ya uislam yalivyo na pia katika ukristo mitume wa uongo si wamekemewa sasa mbona kila leo mitume na manabii wanazuka. Watu wanatapeliwa kwahiyo hayo ndio mafundisho ya dini yenu??
 
Waislam wetu si ndio wale wa Kibiti na Tanga? Wengine ndio hawa waganga wavuta majini na waganga. Waislam wengi wazuri ni wale liberals, hawa wengine wa swala tano ni changamoto.
Kibiti waislamu wangapi uliwaona kwa macho yako ?, na je,,? Ndio mafundisho ya uislam yalivyo na pia katika ukristo mitume wa uongo si wamekemewa sasa mbona kila leo mitume na manabii wanazuka. Watu wanatapeliwa kwahiyo hayo ndio mafundisho ya dini yenu
Mtoto wa Anko wa Bi Khadija yule Waraqah Bin Nawfal yulee aliyekua padre na agent wa Roman!
😁😁
Ndio kwahiyo,??? Tunajifunza nini
 
Back
Top Bottom