Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Unaogopa nini kwani!?
Naogopa tena😄😄😄.

Kwani mimi ndio nina mashaka na hilo au wewe??wewe shusha uzi ukiainisha na sababu zako kisha tutimbe kama thanos.

YESU sio level za Allah kabisa,ukimjua vyema ndio utaelewa kwanini tunamwabudu.
 
Soma hiyo link niliyokupa uongeze maarifa,uone wakiristo wenzio ambao Wana uelewa kuliko wako juu ya bible uone maoni yao,Mimi muislam lakini husoma madhehebu yote ya kiislam, Imani zote Hadi ubudha
 
Soma hiyo link niliyokupa uongeze maarifa,uone wakiristo wenzio ambao Wana uelewa kuliko wako juu ya bible uone maoni yao,Mimi muislam lakini husoma madhehebu yote ya kiislam, Imani zote Hadi ubudha
wakristo wenye uelewa kunizidi unawajuaje?na unatupimaje??wanaongea kiingereza au wana rangi nyeupe??
Lusekelo pia husema yeye ni mbobezi wa theolojia,
Unawezamwita msomi sababu ana kitambi,lakini kwangu mimi huyu ni mgonjwa wa akili ktk ukristo.

Soma ili kuelewa,ni Quran pekee ndio unatakiwa uimbe tu hata kama huelewi unachomeza,hizi nyingine zote lazima uelewe.
 
Tupo kwenye kuandika Mfano wa QUR'AN bro,Kama umeshindwa sema ili twende kwenye hoja ya konyagi
Mfano wa Quran ukiwa unamaanisha nini??unajua mashairi ya harry potter,hayana mfano wake??yamesomwa na watu wengi?tuyape utukufu kwamba yanatoka kwa Allah??
 
"Je hamuoni tulivyoiumba Konyagi hakika wanywao Konyagi ni miongoni mwa waliofanikiwa..."something like this 👆 halafu wakati unasoma unaghani na kuyavuta maneno huku umejishika Shavu.
Hapo umekopi Aya ya QUR'AN ukapachika konyagi,acha ufala 🤣🤣🤣
 
Mfano wa Quran ukiwa unamaanisha nini??unajua mashairi ya harry potter,hayana mfano wake??yamesomwa na watu wengi?tuyape utukufu kwamba yanatoka kwa Allah??
Yana muongozo wa maisha ndani yake,namna ya kuabudu,Yana hoja yoyote ya kisayansi iliyothibitika,yanamuelezea Mungu na lengo la maisha?!..kwa kuanzia
 
Hapo umekopi Aya ya QUR'AN ukapachika konyagi,acha ufala 🤣🤣🤣
Imagine Allah anajisifu ktk kushusha Quran bora lakini si ktk kazi kubwa kabisa kama kuumba dunia na vilivyomo😃😃.

Mwamba amekuwekea konyagi sababu Allah amefanya jambo la kawaida kama mlevi yeyote anavyoweza kufanya,kujisifia kwa jambo ambalo kimsingi sio la ajabu.
 
Hivi atarudi kweli huyo Mtumwa wa Kiakili?! Aliyechotwa Akili na kushindwa kujikomboa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…