mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Naogopa tena😄😄😄.Unaogopa nini kwani!?
Kwani mimi ndio nina mashaka na hilo au wewe??wewe shusha uzi ukiainisha na sababu zako kisha tutimbe kama thanos.
YESU sio level za Allah kabisa,ukimjua vyema ndio utaelewa kwanini tunamwabudu.