Point yangu ni kwamba kama kuna mvamizi amekuja akawapiga,akapora mali nakisha kawaacha mnaendelea kupigana,nyinyi ni wapumbavu.Kesho nikija kwako nikakuua halafu nikachukua Mali zako na kumuacha mwanao yatima na ufukara bila hata nguo mimi nitakua sina lawama na mwanao ndio wa kulaumiwa?
Mentality hizo zenu ndio sababu kuu ya Bara hili kuwa masikini
Aya itakuwa Quran ama inayofanana na Quran??Ni challenge ya mwenyezi Mungu ipo kwenye Quran kama Quran sio neno la mwenyezi Mungu basi tengenezeni Quran nyengine kama hio, ama hata sura ama hata kama Aya tu, mpaka leo challenge zimesimama miaka 1400 sasa.
Nadhani ingependeza kwa wajinga kuficha ujinga wao.ile picha niliyokutumia ni hii hapa.
Hayo maneno ni mawili tofauti ktk vitabu vivili matoleo tofauti.
Sijui kama ulielewa toka mwanza.
View attachment 3039684
Hicho sio kitabu Cha mwisho, kazi ilianza na Mungu kazi na iliisha na Mungu kupitia Yesu Kristo.Kama waliandika binadamu toka Quran ishuke kama kitabu cha mwisho umeona wapi kitabu kingine chenye mfanano huo?
Tuna super computers, machine learning, Ai na tech kibao, ilikua ni rahisi kuproduce chengine ila so far hakuna binadamu mwenye uwezo huo na promise ya mwenyez Mungu hakuna anaweza kuvunja.
Uelewa wako wa Mungu ni mdogo, na hiyo mungu mnaemwamini pia huna uelewa pia mdogo ambao mnajitianujumhishi kua sisi "waIslam" lakini ukweli upo na uliamua kutafuta Mungu atakifunulia mwenyewe. Usikaze Moyo, Mungu yupo Wala usisubiri ufe ndio umjue. Usiweke misimano, haufaidi chochote, mgeukie Leo atakupokea kama mtoto wake.So unakubali Biblia imeandikwa na binadamu?
QURAN, Injil, Taurat, Zabur na sahifa mbalimbali za mitume zilishushwa na Malaika Jibreel (Gabriel) kwa mitume husika, hazijaandikwa na Binadamu. Na kitu kuandikwa miaka mingi haimaanishi ni genuine bali vice versa is true.
Mbona huu ni utumboHicho sio kitabu Cha mwisho, Ulianza na Mungu kazi na iliosha na Mungu.
Na Yesu alishatuonya juu ya manabii wa uongo kama wa kwenu. Manabii Mungu ndie alikua anawaleta, mtume wenu katumws na nani?
Mtu alieoa katoto alitumwa na nani? Huyo alikua na agenda zake za shetani. Hakuna uhusiano kati yake na MUNGU wetu.
Elezea utumbo huo?Mbona huu ni utumbo
Mzee wa flat earth πππ,yaani wewe tafsiri halisi ya akili za kiislam.Nadhani ingependeza kwa wajinga kuficha ujinga wao.
Nisomee hayo maneno yameandikwaje sababu unajiaibisha tu hapa, hapo ni Malik na Maalik hizo ni dialect za kiarabu kutokana na eneo na eneo tofauti ya Hafs na warsh na Hafs ni hio A iliongezeka.ile picha niliyokutumia ni hii hapa.
Hayo maneno ni mawili tofauti ktk vitabu vivili matoleo tofauti.
Sijui kama ulielewa toka mwanza.
View attachment 3039684
Sawa Pambaneni na dini yenu. Sababu kila siku ina kosa relevanceHicho sio kitabu Cha mwisho, kazi ilianza na Mungu kazi na iliisha na Mungu kupitia Yesu Kristo.
Na Yesu alishatuonya juu ya manabii wa uongo kama wa kwenu. Manabii Mungu ndie alikua anawaleta, mtume wenu katumwa na nani?
Mtu alieoa katoto alitumwa na nani? Huyo alikua na agenda zake za shetani. Hakuna uhusiano kati yake na MUNGU wetu.
Ili?Elezea utumbo huo?
Hahh wenzako mpaka leo wameshindwa kuthibitisha vitu vidogo tu.Mzee wa flat earth πππ,yaani wewe tafsiri halisi ya akili za kiislam.
Soma all my comments, hakuna hata Moja umejibu Kwa reference.Sawa Pambaneni na dini yenu. Sababu kila siku ina kosa relevance
Kwahiyo sasa unakubali Quran ni tofauti kati ya moja na nyingine??maana naona nyie watu tofauti yenu na mbuzi ni kwato tu.Nisomee hayo maneno yameandikwaje sababu unajiaibisha tu hapa, hapo ni Malik na Maalik hizo ni dialect za kiarabu kutokana na eneo na eneo tofauti ya Hafs na warsh na Hafs ni hio A iliongezeka.
View attachment 3039731
Ungegoogle to utofauti wa hizo dialect hapo hapo ungepata jibu.
Kwamba ni timeless, miaka 1000 iliopita mtu kaitumia kama way of life mpaka leo inatumika, watu kibao wana badili dini kila Kikicha kufuata, watu ambao wamekamilisha mengi duniani ila wakipata muda wa kuisoma Quran wa naona ukweli walio miss kwenye maisha yao.Aya itakuwa Quran ama inayofanana na Quran??
hizi dhana achieni watoto wa madrasa,wewe mtu mzima kuandika huu upuuzi sio jambo salama kwa akili zako.
Yaani upekee wa Quran uko ktk nini??
Hakuna muislam anayeweza kujenga hoja za msingi kwa jambo lolote,wewe sio kule kwenye mada ya flat earth wala hapa unapoweza kujadili jambo lolote.kila kitu kwako kinaonekana kinakuzidi kimo.Hahh wenzako mpaka leo wameshindwa kuthibitisha vitu vidogo tu.
anyway,uache ujinga sasa yaani unasema neno 'MALIK' na 'MALIK' ni tofauti?
Ngoja niishie hapa maana huwezi ukakubali kama umeingia chaka.
Nimekuuliza swali mmakonde akisema Nchale na wewe Ukisema Mshale ni tofauti? Ama ni dialect za kiswahili tu? Kiarabu ni lugha pana neno moja linatamkwa tofauti baina ya eneo na eneo sababu neno hilo hilo huyu katamka hivi na yule katamka vingine haimaanishi ni neno tofauti maana ile ile ila utamkaji tofauti.Kwahiyo sasa unakubali Quran ni tofauti kati ya moja na nyingine??maana naona nyie watu tofauti yenu na mbuzi ni kwato tu.
Maana kama inatofauti ya utamkwaji wa maneno sehemu na sehemu sio tofauti hiyo???
There is no way leo hii mtu timamu kiakili utamwambia kiongozi wa Uma,mfano wa waislam alioa mtoto wa miaka 6 kisha akiwa timamu kiakili akakubali kuifata dini hiyo,watu wanaofata uislam kwa sasa,ni wale wenye malengo yao na uma wa kiislam au wana matatizo ya akili.Kwamba ni timeless, miaka 1000 iliopita mtu kaitumia kama way of life mpaka leo inatumika, watu kibao wana badili dini kila Kikicha kufuata, watu ambao wamekamilisha mengi duniani ila wakipata muda wa kuisoma Quran wa naona ukweli walio miss kwenye maisha yao.
Hizi dhana pia ziko misikitini huko,ndiko mnaamini uislam unachafuliwa,mkibanwa kisawa sawa mnajibu waislam sio uislam.kama wanatenda makosa wahukumiwe kama waislam sio uislam wenyewe.Just imagine matrilioni ya pesa yanayotumima kuchafua uisilamu, zaidi ya 99% movies zote inaongelea vibaya uisilamu, media na propaganda kibao ila still ndio kwanza unakua kwa kasi, kumelipuliwa Usa na lawama zote akapewa uisilamu matokeo yake watu wamezidi kuwa interested na uisilamu na kuanza kusoma Quran na idadi ya wanaosilimu kuongezeka.
Hiyo kauli yako hapo juu inadhihirisha ujinga na chuki iliyopitiliza.Hakuna muislam anayeweza kujenga hoja za msingi kwa jambo