Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Kama atatamka nchale akimaanisha mshale ktk kitabu cha kiswahili kilichoandikwa mshale sina shida.
Tatizo ni kitabu chake cha kiswahili kikija kimeandikwa nchale badala ya mshale,na nchale ikisimama kwa maana nyingine.

Naweza nisiwe mkali kwake,lakini sitajigamba kwamba kitabu cha kiswahili popote kilipo ni neno kwa neno maana kwa maana.
 
Hiyo kauli yako hapo juu inadhihirisha ujinga na chuki iliyopitiliza.
Nachukuia upumbavu sana,upumbavu ni laana.
Na ukiona mtu unamwonyesha upumbavu anakuvumilia usimhesabu kama ndugu hakupendi wala hakujali.mimi nakujali wewe na waislam wengine wote.
Pamoja na tofauti za kiitikadi, sote tunaunganishwa na ubinadamu.
ubinaadam ndio unafanya napoteza nguvu hapa kujaribu kukuweka sawa wewe na wengine.sio jambo la busara kuona binaadam mwenzako yuko step moja shimoni unamuangalia.
Huwezi kuwa na akili timamu kisha ukaongea kauli kama hiyo., uwezo wa kujenga hoja hautegemei dini, kabila, jinsia na kadhalika bali ni uwezo ambao huwa ndani ya mtu regardless of racial, gender, religion etc.
😁😁😁utanichukia bure,lakini lazima ukweli nikwambie,hii dini kukuta mtu ana uwezo mzuri wa kutafakari ni nadra sana,ni mara moja ataiacha.utakutana na watu watulivu tu lakini sio makini.
 
Waislamu wengi wanaamini Majini na kuagua..yaaji kisomo.

ukipata nyumba dogo kwa jina ya Havijawa, hadija, hawa, sikidhan....kazi unayo ndugu utakula makolokolo kibao hadi ukome.. Na ukizunaa kwa mkeo hurud ha ha ha

.utasikia heee ana jini wake huyo mkali kama nini...akipanda tu basi ujue bwana ake ana malaya mwingine Guesti
 
Aaaaah wapi!! Huo upuuzi umeletwa na waarabu Acha kutonyesha mapichapicha na upuuzi wa kikristo umeletwa na wazungu, lengo lile lile kuwa brainwash waafrika na kuwatawala kupitia imani zao za hadithi za kubuni. We mimi hadithi za maisha ya Issa au Mwamedi inanisaidia nini?? Mtu unatakiwa uamini tu yaliyoandikwa eti usihoji!! Ujinga mtupu!
 
Hakuna kitu kama hicho chief, waislamu hamjawahi kuwa na Quran 1 pekee. So far mna Quran zaidi ya 17 japo madrassa mnafundishwa kuhusu Quran 1. Yassir Qadhi anasema your standard narrative has holes in it .Alishindwa hata kumjibu Mohamed HIijab kwamba ipi ni perfect mus haf.
 
Karne hii ya 21 bado unaamini hakuna data lol?

Pewpew reaserch na makampuni kibao wana data za Ulaya, Zipo za Usa na maeneo kibao maana ukipewa data za Asia utasema zimepikwa.


Uisilamu ndio dini pekee ambayo haina negative gain according to pew pew.

According to New York times 25% ya Waisilamu wa Usa ni kwa conversion

According to Huffing post Takriban watu 20,000 wana badili dini kuwa waisilamu Usa kila mwaka


According to. Pew pew tena uisilamu una net conversion 420,000 (wanaosilimu - wanaoritadi)


According to CNN watu 30,000 wana convert kila mwaka kwenda uisilamu Usa


According to Guardian watu 5000 wanasilimu kila mwaka Uingereza


Kwa miaka 6 inakadiriwa watu 100,000 wamesilimu ufaransa


So data zipo nyingi mno. Na tumeona watu wakubwa mno ambao hawana shida na maisha dunia hii wakisilmu, so uisilamu ndio dini pekee ambayo inagusa watu wote kuanzia matajiri hadi masikini, Waliofanikiwa hadi wenye shida. Hufanikiwi yote haya kwa Kuwa na kitabu dhaifu.
 
Karne hii ya 21 bado unaamini hakuna data lol?

Pewpew reaserch na makampuni kibao wana data za Ulaya, Zipo za Usa na maeneo kibao maana ukipewa data za Asia utasema zimepikwa.
Sijui kama unaelewa???nimekwambia unajua pia wanaocha uislam ni wangapi,au muhimu ni kufurahi tu???wanoingia ktk uislam ni ktk maana ya kuijua kweli au wanaingia kwa manufaa na kama fasion??

Kwa sasa uislam unapitia ktk tanuru kali sana"INTERNET"ambapo haujawahi kupitia toka usikike kwa mara ya kwanza.kwahiyo matokeo yanaweza kukushangaza miaka 20 au 30 ijayo,omba uzima.
Fatilia nchi zilizokuwa na uislam imara kama iran uone nini kinaendelea,sisi tunaona watu wanahamia tu ktk uislam,ila waislam wenyews ndio hawa akina tate na tyson wanavuta na bangi,basi tunabaki kucheka tu😁😁
wacha tuongeze kabisa iwe 50% swali wamehamia ktk uislam kama njia ya kweli au fassion??
au watu 100k wanabadili dini kila mwezi kuingia uislam kila mwaka US peke yake,hii ina prove vipi kwamba uislam ni dini ya kweli.
Hakika kabisa,watu kama akina tate na akina tyson,snoop,khaled,nk ni waislam wazuri kabisa pale marekani na huwaambii kitu kuhusu dini.

Yaani ulimwengu huu wa watu kukengeuka,mara freemason LBTQ nk,unafurahia wahuni kuingia ktk dini yako!!!!

Ndio maana nyinyi wenzetu tunasema mna uchache sana wa elimu ya kiroho,kwa mkristo hii ni ishara nyingine mbaya kabisa kwamba Uislam ndio njia sahihi kwa waendao motoni.

Nyinyi mtume wenu kawaambia mkazaane muongezeke muitawale dunia kitu ambacho hakitatimia hata hivyo,lakini sisi tumeambiwa siku za mwisho watu makundi kwa makundi watajitenga na ukweli,watafata njia zao wenyewe,kwahiyo ukihisi hiki kitu ni threat kwetu big NO ni unabii unatimia.
 

Namshukuru Allah kwa neema ya Uislam.

Ajabu ni kwamba hata katika mitihani inayoukumba Ummah bado inakuwa sababu ya watu wengi kuijua haqq. Genocide ya Gaza imewafanya watu wengi kuanza kuisoma Qur'an katika nchi za magharibi kujaribu kuelewa resilience ya wapalestina. Mtu anashangaa inakuwaje mtu anapigwa mabomu inakufa familia yake halafu anamtukuza Allah na kumsifu na ana matumaini makubwa. Sio kitu cha kawaida kwa wamagharibi wengi ambao kuna kiwango kikubwa cha suicide miongoni mwao. Mtu akipata mtihani kidogo tu miongoni mwao anakuwa na mashaka na mara awe atheist au agnostic. Hivyo resilience ya waislam wa palestina inawashangaza. Wanaanza kuitafuta Qur'an kuisoma wajaribu kujua sababu, ndio unakuta wengine wanaongoka.

Licha ya matusi yote unaotukanwa Uislam na Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) bado Uislam una vuta mioyo ya watu wengi, Al hamdulillah. Licha ya Uislam kusemwa kuwa unaruhusu mtu kuoa/kuolewa mapema, unapinga mapenzi ya jinsia moja, na kadhalika bado watu wanaufuatilia na kusilimu kwa wingi. Watu wanafuatilia na kugundua kuwa wanaousema Uislam vibaya wanafanya dhulma tu. Kama kuoa na kuolewa mapema ni jambo ambalo limeenea duniani kote na kwa zama zote. Na hakuna makubaliano ya binadamu wote ni umri upi wa kuoa na kuolewa na kwamba miaka 18, 16 au 14 au whatever kuwa umri wa utu uzima ni jambo la karne ya 20 tu hapo.

Ukweli ni kwamba Uislam haujashusha standards zake na kuharibu fundamentals zake ili ku stay relevant tofauti na ukristo unaojitahidi kwenda na kila upepo.

Kilichobaki ni husda na chuki za maadui wa Uislam badala ya kuikubali haqq wanaichukia na kuipiga vita. Watu wa mrengo wa kulia huko magharibi wanapambana na kushtushwa na kuenea kwa Uislam. Wako desperate. Ndio wanaanza kutupa matusi desperately wakati mwengine utawasikia wanawaambia wenzao kuhusu Waislam "kwanza hawa wanapinga hata ushoga, hivyo hawana uhuru tulionao" wakati huo huo wao wanajidai kupinga ushoga. Mara wamchafue Mtume kwa kumuoa Bibi 'Aisha akiwa na miaka 6 lakini wakati huo huo watawatukuza na kuwa na nostalgia na akina King Richard aliyemuoa Isabella akiwa na miaka 6 na Christian figures wengine wengi ambao "Conservatives" na "Right wing" wanawa admire. Hawako consistent na hawako honest. Na wala hawatashinda katika propaganda zao.

Allah awape nusra Waislam.

Namshukuru Allah kwa Neema ya Uislam. Neema ya Tawheed na Sunnah.
 
Ameen, well said mkuu
 
Basi asili ya uislamu ni uarabu hili halina wa kupinga ndugu, Arabic......allah wakbar.....Quran haiwezi kushuka kwa lugha ya kiarabu bila sababu.....
 
Kwa haraka haraka unaweza kudhani mtoa mada kaandika kitu cha msingi sana kumbe hata hana anachojua kuhusu uislamu. Nimefuatilia moja ya comment yake kumbe hadi Leo hajui kama mbegu pia zinatoka mgongoni na kwenye mbavu! Mtoa mada ulishawai kupiga puli au nyeto.????? Unajisikiaje kwenye mbavu manii zinapotoka.???

Mshenzi kabisa Huna unachojua kuhusu uislamu unatakiwa kufundishwa na sio unachukua aya moja unatafsiri vile unavyoka kwa uelewa wako
Hizo aya za quran zimekuja kwa sababu mbali mbali na visa mbalimbali kabla ya kushushwa
 
Wewe Unajua nini ambacho mimi sijui hizo hadithi za Watu wa jangwani?
Pumbaf elimu ipo wazi kwamba nisijue kuhusu Uislam kwani ulikuja toka Sayari ya pluto?
Ndio maana tunawashauri muingie class mjifunze historia ya dini yenu iloyoanzishwa na mjanja wa kale Mohammad Abdula bin Mutalib na causin wa Bi Khadija yule Waraqah Bin Nawfal!
Acha makasiriko Kafir wa Nanjilinji!
😁😁
 
Umeona ujinga wako ulipo.? Yan mpaka Leo unadhani uislamu umeanzishwa na mtume Muhammad swalahullahu alaih wasalam. Wakati yeye alikuwa anaendeleza uislamu ndio dini ya kwanza na dini ya Allah.

Ndio maana nabii Adamu ni muislamu na mke wake hawa na wao ndio viumbe wa kwanza duniani

Sikwambii wakina nabii yusuf ,Ibrahim na musa mana ntakuchanganyia mafile
 
 

Attachments

  • VID-20240713-WA0018.mp4
    2.4 MB
Punguzeni kunitupia mawe kwani hamkuona shekhe wenu kipoozeo?
😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…