Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Sasa kama hufahamu ni Hivi, uislamu sio dini yenye wakati maalumu wa kuanzishwa, uislamu ni system ya maisha. Maana ya neno Islam kwa kiswahili ni unyenyekevu kwa Mungu mmoja.Nisijue Wapi kamanda Roman empire under Catholic influence created Islam Religion,
Huu ndio ukweli mchungu ambao hawatakaa watake kusikia,
Umewahi sikia kitu kinaitwa Napoleon Bonaparte secret code?
Hajui chochote, amekariri blablah za watu mitaani.Kwa muandiko wake tu, hana analolifahamu kuhusu Uislam.
Sasa nakubaliana na mtoa mada ya kuwa wengi wenu uelewa ni hafifu, unazungumzia wakatiwa Outhman kwwani hujui wakati wa mtume Quran ilihifadhiwa katika sehemu mbapimbali ikiwemo kwenye ngozi n.kMsahafu wa kwanza umekuwa compiled kwa maandishi wakati wa Outhman, sasa huyo mbuzi labda alikuwa wa marvel na power za Time travel.
Nyie makafiri kabla ya kuanza kubwabwaja humu mtandaoni kwanini msianze na kufanya tafiti tu hata kwa uchache kwenye vyanzo sahihi vya wahusika?Sasa nakubaliana na mtoa mada ya kuwa wengi wenu uelewa ni hafifu, unazungumzia wakatiwa Outhman kwwani hujui wakati wa mtume Quran ilihifadhiwa katika sehemu mbapimbali ikiwemo kwenye ngozi n.k
Baada ya mtume kufariki ndipo wakaamua kukusanya kila mahali ilipo na walipomuendea Aisha awape baadhi ya sura alisema zililiwa na mbuzi
Hii nayo huijui ama ndio hivyo tena
Hahaha Mudi alikuwaga anapaka wanja. Lakini waislam wanamtetea alikuwa anafanya hivyo kwasababu alikuwa anamatatizo ya macho. Unabaki kushangaa wtf!Haina hata haja ya salamu Moja kwa moja kwenye mada.
Kiufupi nimejichimbia kwa kina kujua Saga la Abrahamic religion yaani Judaism, Christian na Islam
Wengi humu mnanijua katika engo ya kujua mambo ya Accient civilization ila leo nagusia religious issues,
Katika utafiti wangu mdogo nimegundua majority ya Islamic kuanzia viongozi wao hawana elimu juu ya historia ya kweli ya dini yao.
Yote tisa kumi ni kutojua historical chatline ya matukio, wengi wao ngumbaru first class yaani full kuchanganya mambo tena wengine utaona ni wasomi wa Elimu Dunia ila ikifika kwenye suala la dini yao ni kama wamekatwa kichwa.
Kubwa zaidi hawana Uelewa wa mambo ya kiroho yaani wanazidiwa mpaka na wale Buddha ukiachana na wenzao Wakristo ambao Wana uwezo wa kufanya chants na kuamsha nguvu chanya katika Ulimwengu wa Roho (Spiritual Realm Awakening)
Ila kiuhalisia wao wapo vizuri katika mambo ya morals and dogmas katika mambo ya kimwili kama kanuni za ibada,usafi wa mwili na taratibu nyingi za jamii,
Kiufupi Islam hata historia yao tu ina contradiction kibao ni rahisi kwa Mwanafunzi mchanga wa kikristo kuelezea historia ya Imani yao kuliko Muislam guru kukuelezea Mwanzo wa dini yake maana huwa hawafundishwi kwa kina kujenga hoja zaidi ya kukalili na kumezeshwa ujinga na hua hawajisumbui kutafuta ukweli wa mambo nje ya box!
Sorry yote hii imetokana na baadhi ya Members humu wafuasi wa Islam nabishana nao mambo fulani ya kihistoria na uhalisia ambayo yapo wazi kabisa ila Uelewa wao ni mdogo kuhusu maswala Spiritual ila ni wabishi sana na hakuna wanachojua na hawataki kujifunza wala kubishana kwa hoja ila mautusi na kejeli!
Anyway ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya!
Copy kwa FaizaFoxy na Stress Challenger
#La gizani!
😁😁
Wanaamini eti mbingunii watapewa bikra 72Haina hata haja ya salamu Moja kwa moja kwenye mada.

Nyie mkikosa majawabu ya matatizo yenu mnakimbilia kwa wagaga kisirisriMungu hayupo na hajawahi kuwepo dini ni hadithi za kutungwa tu hakuna ukweli wowote ktk vitabu vya dini kumejaaa habari za uwongo
Ukweli hauna miaka kwa kua wewe ulitangulia ndio useme wewe uko sahihi akati nyaraka zako hazimeki sense.Dini ni Duniani, lakini wewe hata ukijiuliza Leo haujui kama utaenda Mbinguni. Yesu asema, Mimi ndimi njia, uzima na uhai. Na Quran inakiri kua anauwezo wa kumpa ndege uhai. Imani yenu imekuja miaka 500 baada ya Kristo, Bado mnajiaminisha kua nyie ndio "dini" ya kweli. Ukristo ni uhusiano na Mungu hapa Duniani, nyie mnaishi Kwa Imani ya matendo kama wapagani/Bhudhism Kwa Imani kua Mungu atawapokea. Mnajidanganya,
Uislam ni giza, mtafute Yesu mapema
Kundi moja la majini lilimuendea Mudy akawasomea Kuran wakasilimu, huo ndo muujiiza no. 1 wa Mudy.Haina hata haja ya salamu Moja kwa moja kwenye mada.
Kiufupi nimejichimbia kwa kina kujua Saga la Abrahamic religion yaani Judaism, Christian na Islam
Wengi humu mnanijua katika engo ya kujua mambo ya Accient civilization ila leo nagusia religious issues,
Katika utafiti wangu mdogo nimegundua majority ya Islamic kuanzia viongozi wao hawana elimu juu ya historia ya kweli ya dini yao.
Yote tisa kumi ni kutojua historical chatline ya matukio, wengi wao ngumbaru first class yaani full kuchanganya mambo tena wengine utaona ni wasomi wa Elimu Dunia ila ikifika kwenye suala la dini yao ni kama wamekatwa kichwa.
Kubwa zaidi hawana Uelewa wa mambo ya kiroho yaani wanazidiwa mpaka na wale Buddha ukiachana na wenzao Wakristo ambao Wana uwezo wa kufanya chants na kuamsha nguvu chanya katika Ulimwengu wa Roho (Spiritual Realm Awakening)
Ila kiuhalisia wao wapo vizuri katika mambo ya morals and dogmas katika mambo ya kimwili kama kanuni za ibada,usafi wa mwili na taratibu nyingi za jamii,
Kiufupi Islam hata historia yao tu ina contradiction kibao ni rahisi kwa Mwanafunzi mchanga wa kikristo kuelezea historia ya Imani yao kuliko Muislam guru kukuelezea Mwanzo wa dini yake maana huwa hawafundishwi kwa kina kujenga hoja zaidi ya kukalili na kumezeshwa ujinga na hua hawajisumbui kutafuta ukweli wa mambo nje ya box!
Sorry yote hii imetokana na baadhi ya Members humu wafuasi wa Islam nabishana nao mambo fulani ya kihistoria na uhalisia ambayo yapo wazi kabisa ila Uelewa wao ni mdogo kuhusu maswala Spiritual ila ni wabishi sana na hakuna wanachojua na hawataki kujifunza wala kubishana kwa hoja ila mautusi na kejeli!
Anyway ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya!
Copy kwa FaizaFoxy na Stress Challenger
#La gizani!
😁😁
Sisi tunafata mwaka tangu kuzaliwa Kwa Kristo. Ndio maana kabla ya Kristo tunaitwa BC. nyie caldnder yenu ni ya kumtafa mtume wa mungu wa uongoWaislamu mpaka leo tena wanajua sababu ya kwa nn ni mwaka ule , sasa niambie huu mwaka ulianzaje mpaka unasema dunia leo ni mwaka 2024 , ukijibu nakupa hela dogo !?
Wakati wanasema binadamunaliishi miaka million iliyopita
Kama ni ufunuo wake ina yumkinika vipi kwa Muhammad kutokuujua ufunuo wake?Ufunuo wa Muhammad
Hata tarehe ya kuzaliwa Yesu hamuijui kabisa , huyo kristo kazaliwa mwaka gani ?Sisi tunafata mwaka tangu kuzaliwa Kwa Kristo. Ndio maana kabla ya Kristo tunaitwa BC. nyie caldnder yenu ni ya kumtafa mtume wa mungu wa uongo
Qur an halisi ni ile iliyoshuka kiarabu , wewe ndio unatafsiri kwenda lugha yaoHiyo version mlitokaririshwa kushindana ni Version ya Kisaudi Arabia.
Wewe unajua nini ambacho sisi hatukijui?Hajui chochote, amekariri blablah za watu mitaani.
Ilishuka toka wapi shekhe wangu?Qur an halisi ni ile iliyoshuka kiarabu , wewe ndio unatafsiri kwenda lugha yao
We shetani acha uongo.Kipofu ana mcheka kiwete Uislam na Ukrtisto wote sawa Dini ni habari za mwanadam kumtawala binadam mwenzake kwa hiyo zote ni habari za kutunga tu
Tunaposema ilishuka ni maneno ndio Qur an sio kitabu yaani yale maneno alikuwa anaambiwa mtume , sio kitabu kwamba kilishuka 😀 😀Ilishuka toka wapi shekhe wangu?
😁
Unawafahamu hawa: Abdur-Rahman ibn ‘Auf, Zubayr ibn al-‘Awaam, Mu’aath ibn Jabal, ‘Ubay ibn Ka’b, Zayd ibn Thaabit, Abu Zayd, ‘Abdullah ibn ‘Amr n.kSasa nakubaliana na mtoa mada ya kuwa wengi wenu uelewa ni hafifu, unazungumzia wakatiwa Outhman kwwani hujui wakati wa mtume Quran ilihifadhiwa katika sehemu mbapimbali ikiwemo kwenye ngozi n.k
Baada ya mtume kufariki ndipo wakaamua kukusanya kila mahali ilipo na walipomuendea Aisha awape baadhi ya sura alisema zililiwa na mbuzi
Hii nayo huijui ama ndio hivyo tena
Umekutana na waislam wangapi mkuu ? Umewahoji wangapi ?Haina hata haja ya salamu Moja kwa moja kwenye mada.