Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Nisijue Wapi kamanda Roman empire under Catholic influence created Islam Religion,
Huu ndio ukweli mchungu ambao hawatakaa watake kusikia,
Umewahi sikia kitu kinaitwa Napoleon Bonaparte secret code?
Sasa kama hufahamu ni Hivi, uislamu sio dini yenye wakati maalumu wa kuanzishwa, uislamu ni system ya maisha. Maana ya neno Islam kwa kiswahili ni unyenyekevu kwa Mungu mmoja.

Sasa kwa mantiki hiyo, binadamu wa kwanza ambaye ni Adam pia alikuwa muislamu. Yoyote anaye jisalimisha kwa Mungu mmoja huitwa Muislamu.
 
Msahafu wa kwanza umekuwa compiled kwa maandishi wakati wa Outhman, sasa huyo mbuzi labda alikuwa wa marvel na power za Time travel.
Sasa nakubaliana na mtoa mada ya kuwa wengi wenu uelewa ni hafifu, unazungumzia wakatiwa Outhman kwwani hujui wakati wa mtume Quran ilihifadhiwa katika sehemu mbapimbali ikiwemo kwenye ngozi n.k

Baada ya mtume kufariki ndipo wakaamua kukusanya kila mahali ilipo na walipomuendea Aisha awape baadhi ya sura alisema zililiwa na mbuzi

Hii nayo huijui ama ndio hivyo tena
 
Nyie makafiri kabla ya kuanza kubwabwaja humu mtandaoni kwanini msianze na kufanya tafiti tu hata kwa uchache kwenye vyanzo sahihi vya wahusika?
 
Haina hata haja ya salamu Moja kwa moja kwenye mada.

Kiufupi nimejichimbia kwa kina kujua Saga la Abrahamic religion yaani Judaism, Christian na Islam
Wengi humu mnanijua katika engo ya kujua mambo ya Accient civilization ila leo nagusia religious issues,

Katika utafiti wangu mdogo nimegundua majority ya Islamic kuanzia viongozi wao hawana elimu juu ya historia ya kweli ya dini yao.

Yote tisa kumi ni kutojua historical chatline ya matukio, wengi wao ngumbaru first class yaani full kuchanganya mambo tena wengine utaona ni wasomi wa Elimu Dunia ila ikifika kwenye suala la dini yao ni kama wamekatwa kichwa.

Kubwa zaidi hawana Uelewa wa mambo ya kiroho yaani wanazidiwa mpaka na wale Buddha ukiachana na wenzao Wakristo ambao Wana uwezo wa kufanya chants na kuamsha nguvu chanya katika Ulimwengu wa Roho (Spiritual Realm Awakening)

Ila kiuhalisia wao wapo vizuri katika mambo ya morals and dogmas katika mambo ya kimwili kama kanuni za ibada,usafi wa mwili na taratibu nyingi za jamii,

Kiufupi Islam hata historia yao tu ina contradiction kibao ni rahisi kwa Mwanafunzi mchanga wa kikristo kuelezea historia ya Imani yao kuliko Muislam guru kukuelezea Mwanzo wa dini yake maana huwa hawafundishwi kwa kina kujenga hoja zaidi ya kukalili na kumezeshwa ujinga na hua hawajisumbui kutafuta ukweli wa mambo nje ya box!

Sorry yote hii imetokana na baadhi ya Members humu wafuasi wa Islam nabishana nao mambo fulani ya kihistoria na uhalisia ambayo yapo wazi kabisa ila Uelewa wao ni mdogo kuhusu maswala Spiritual ila ni wabishi sana na hakuna wanachojua na hawataki kujifunza wala kubishana kwa hoja ila mautusi na kejeli!

Anyway ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya!

Copy kwa FaizaFoxy na Stress Challenger

#La gizani!
😁😁
Hahaha Mudi alikuwaga anapaka wanja. Lakini waislam wanamtetea alikuwa anafanya hivyo kwasababu alikuwa anamatatizo ya macho. Unabaki kushangaa wtf!
 
Wanaamini eti mbingunii watapewa bikra 72
Ukiwauliza huko mbingini wanaenda watu wenye miili na nyege juu
Wakasirika na kukutangazia fatwa
 
Mungu hayupo na hajawahi kuwepo dini ni hadithi za kutungwa tu hakuna ukweli wowote ktk vitabu vya dini kumejaaa habari za uwongo
Nyie mkikosa majawabu ya matatizo yenu mnakimbilia kwa wagaga kisirisri
Hadharani mnasema mungu hayuko
 
Dini ni Duniani, lakini wewe hata ukijiuliza Leo haujui kama utaenda Mbinguni. Yesu asema, Mimi ndimi njia, uzima na uhai. Na Quran inakiri kua anauwezo wa kumpa ndege uhai. Imani yenu imekuja miaka 500 baada ya Kristo, Bado mnajiaminisha kua nyie ndio "dini" ya kweli. Ukristo ni uhusiano na Mungu hapa Duniani, nyie mnaishi Kwa Imani ya matendo kama wapagani/Bhudhism Kwa Imani kua Mungu atawapokea. Mnajidanganya,

Uislam ni giza, mtafute Yesu mapema
Ukweli hauna miaka kwa kua wewe ulitangulia ndio useme wewe uko sahihi akati nyaraka zako hazimeki sense.
 
Haina hata haja ya salamu Moja kwa moja kwenye mada.

Kiufupi nimejichimbia kwa kina kujua Saga la Abrahamic religion yaani Judaism, Christian na Islam
Wengi humu mnanijua katika engo ya kujua mambo ya Accient civilization ila leo nagusia religious issues,

Katika utafiti wangu mdogo nimegundua majority ya Islamic kuanzia viongozi wao hawana elimu juu ya historia ya kweli ya dini yao.

Yote tisa kumi ni kutojua historical chatline ya matukio, wengi wao ngumbaru first class yaani full kuchanganya mambo tena wengine utaona ni wasomi wa Elimu Dunia ila ikifika kwenye suala la dini yao ni kama wamekatwa kichwa.

Kubwa zaidi hawana Uelewa wa mambo ya kiroho yaani wanazidiwa mpaka na wale Buddha ukiachana na wenzao Wakristo ambao Wana uwezo wa kufanya chants na kuamsha nguvu chanya katika Ulimwengu wa Roho (Spiritual Realm Awakening)

Ila kiuhalisia wao wapo vizuri katika mambo ya morals and dogmas katika mambo ya kimwili kama kanuni za ibada,usafi wa mwili na taratibu nyingi za jamii,

Kiufupi Islam hata historia yao tu ina contradiction kibao ni rahisi kwa Mwanafunzi mchanga wa kikristo kuelezea historia ya Imani yao kuliko Muislam guru kukuelezea Mwanzo wa dini yake maana huwa hawafundishwi kwa kina kujenga hoja zaidi ya kukalili na kumezeshwa ujinga na hua hawajisumbui kutafuta ukweli wa mambo nje ya box!

Sorry yote hii imetokana na baadhi ya Members humu wafuasi wa Islam nabishana nao mambo fulani ya kihistoria na uhalisia ambayo yapo wazi kabisa ila Uelewa wao ni mdogo kuhusu maswala Spiritual ila ni wabishi sana na hakuna wanachojua na hawataki kujifunza wala kubishana kwa hoja ila mautusi na kejeli!

Anyway ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya!

Copy kwa FaizaFoxy na Stress Challenger

#La gizani!
😁😁
Kundi moja la majini lilimuendea Mudy akawasomea Kuran wakasilimu, huo ndo muujiiza no. 1 wa Mudy.

Quote
 
Waislamu mpaka leo tena wanajua sababu ya kwa nn ni mwaka ule , sasa niambie huu mwaka ulianzaje mpaka unasema dunia leo ni mwaka 2024 , ukijibu nakupa hela dogo !?

Wakati wanasema binadamunaliishi miaka million iliyopita
Sisi tunafata mwaka tangu kuzaliwa Kwa Kristo. Ndio maana kabla ya Kristo tunaitwa BC. nyie caldnder yenu ni ya kumtafa mtume wa mungu wa uongo
 
Hata tarehe ya kuzaliwa Yesu hamuijui kabisa , huyo kristo kazaliwa mwaka gani ?
 
Hajui chochote, amekariri blablah za watu mitaani.
Wewe unajua nini ambacho sisi hatukijui?
Yaani wewe na huyo bibi yako Ajuza ndio kusema mnaujua sana uislamu kuliko mimi kwani huo Uislam mlitoka nao Sayari Kepra 154 huko 1000 light years kiasi kwamba ni mgeni kwa wenyeji kama mimi?
Ulichosoma nimekisoma tena zaidi hata yako na sasa nafikiria nje ya box yaani ubongo wangu Ni HmZ 5000 frequency endeleeni kujifungia kwenye shimo la tewa mtajua hamjui!
😁😁
 
Sasa nakubaliana na mtoa mada ya kuwa wengi wenu uelewa ni hafifu, unazungumzia wakatiwa Outhman kwwani hujui wakati wa mtume Quran ilihifadhiwa katika sehemu mbapimbali ikiwemo kwenye ngozi n.k

Baada ya mtume kufariki ndipo wakaamua kukusanya kila mahali ilipo na walipomuendea Aisha awape baadhi ya sura alisema zililiwa na mbuzi

Hii nayo huijui ama ndio hivyo tena
Unawafahamu hawa: Abdur-Rahman ibn ‘Auf, Zubayr ibn al-‘Awaam, Mu’aath ibn Jabal, ‘Ubay ibn Ka’b, Zayd ibn Thaabit, Abu Zayd, ‘Abdullah ibn ‘Amr n.k

Hao ni maswahaba wa Mtume Muhammad s.a.w ambao walihifadhi Qur'an kipindi cha Mtume Muhammad s.a.w. mwenyewe akiwa hai.

Hawakuwa hao tu! Bali hata Aboubakr Siddiq, Umar Ibn Khattwab, Uthman Dhun nurayn, Ally Ibn Abi Twaalib nao pia walihifadhi.

Maswahaba waliyohifadhi Qur'an yote kipindi cha Mtume Muhammad s.a.w ni wengi. Tukiwaacha wa hapo juu wengineo ni: Talhah, Saad, Ibn Mas-ood, Hudhayfah, Salem wa Abu Hudhayfah, Abu Hurayrah, Ibn Umar, Ibn Abbas, Amr ibn al-Aas na mwanaye Abdullah, Muaawiyyah, Ibn az-Zubayr, Abdullah ibn as-Saa-ib n.k Hao wote walihifadhi Qur'an yote kipindi cha Mtume Muhammad s.a.w akiwa hai.

Pia kwa wanawake ni Aa’ishah, Hafsah, Umm Salamah n.k

Quran iliandikwa kwa kukusanywa kwa pamoja baada ya vita ya Al Yamaama. Maswahaba wengi waliyohifadhi Qur'an waliuliwa kwenye hii vita. Takribani maswhaba 70 waliyohifadhi Qur'an yote walikufa kwenye hii vita.

Madai ya kusema kuwa baada ya mtume kufariki ndipo wakaamua kukusanya kila mahali ilipo na walipomuendea Aisha awape baadhi ya sura alisema zililiwa na mbuzi huu ni uongo ndugu yangu.
 
Haina hata haja ya salamu Moja kwa moja kwenye mada.

Kiufupi nimejichimbia kwa kina kujua Saga la Abrahamic religion yaani Judaism, Christian na Islam
Wengi humu mnanijua katika engo ya kujua mambo ya Accient civilization ila leo nagusia religious issues,

Katika utafiti wangu mdogo nimegundua majority ya Islamic kuanzia viongozi wao hawana elimu juu ya historia ya kweli ya dini yao.

Yote tisa kumi ni kutojua historical chatline ya matukio, wengi wao ngumbaru first class yaani full kuchanganya mambo tena wengine utaona ni wasomi wa Elimu Dunia ila ikifika kwenye suala la dini yao ni kama wamekatwa kichwa.

Kubwa zaidi hawana Uelewa wa mambo ya kiroho yaani wanazidiwa mpaka na wale Buddha ukiachana na wenzao Wakristo ambao Wana uwezo wa kufanya chants na kuamsha nguvu chanya katika Ulimwengu wa Roho (Spiritual Realm Awakening)

Ila kiuhalisia wao wapo vizuri katika mambo ya morals and dogmas katika mambo ya kimwili kama kanuni za ibada,usafi wa mwili na taratibu nyingi za jamii,

Kiufupi Islam hata historia yao tu ina contradiction kibao ni rahisi kwa Mwanafunzi mchanga wa kikristo kuelezea historia ya Imani yao kuliko Muislam guru kukuelezea Mwanzo wa dini yake maana huwa hawafundishwi kwa kina kujenga hoja zaidi ya kukalili na kumezeshwa ujinga na hua hawajisumbui kutafuta ukweli wa mambo nje ya box!

Sorry yote hii imetokana na baadhi ya Members humu wafuasi wa Islam nabishana nao mambo fulani ya kihistoria na uhalisia ambayo yapo wazi kabisa ila Uelewa wao ni mdogo kuhusu maswala Spiritual ila ni wabishi sana na hakuna wanachojua na hawataki kujifunza wala kubishana kwa hoja ila mautusi na kejeli!

Anyway ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya!

Copy kwa FaizaFoxy na Stress Challenger

#La gizani!
😁😁
Umekutana na waislam wangapi mkuu ? Umewahoji wangapi ?
Maana hata ukisema umewahoji 1000 bado idadi ni ndogo mno waislam ni wengi xx cjui takwim zako kama zina ukweli
 
Back
Top Bottom