Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Kumpenda mwingine kama unavyojipenda wewe! Upendo wa kweli unaanza na kujipenda wewe kwanza
Matendo ya upendo ni kama kuwaheshimu wengine, kutowafanyia matendo mabaya ya kuwaumiza pia kuwachukulia madhaifu wako
Kwa hiyo upendo ni kwa watu tu ? Wadudu ,mimea na vingine aaaaa.
 
Mpaka Mtume Muhammad anaondoka hapakuwa na kitabu kinachoitwa Quran.
Muhammad mwenyewe hajui Qur'an ípoje na unasura ngapi Kwa sababu hakuiandika na Wakati inaandikwa hakuwepo

Hakuna dini isiyo na chawa.
Wakristo NI Chawa wa Yesu.
Waislam NI Chawa wa Muhammad

Angalau kidôgo Wayahudi
Duh!
 
Haina hata haja ya salamu Moja kwa moja kwenye mada.

Kiufupi nimejichimbia kwa kina kujua Saga la Abrahamic religion yaani Judaism, Christian na Islam
Wengi humu mnanijua katika engo ya kujua mambo ya Accient civilization ila leo nagusia religious issues,

Katika utafiti wangu mdogo nimegundua majority ya Islamic kuanzia viongozi wao hawana elimu juu ya historia ya kweli ya dini yao.

Yote tisa kumi ni kutojua historical chatline ya matukio, wengi wao ngumbaru first class yaani full kuchanganya mambo tena wengine utaona ni wasomi wa Elimu Dunia ila ikifika kwenye suala la dini yao ni kama wamekatwa kichwa.

Kubwa zaidi hawana Uelewa wa mambo ya kiroho yaani wanazidiwa mpaka na wale Buddha ukiachana na wenzao Wakristo ambao Wana uwezo wa kufanya chants na kuamsha nguvu chanya katika Ulimwengu wa Roho (Spiritual Realm Awakening)

Ila kiuhalisia wao wapo vizuri katika mambo ya morals and dogmas katika mambo ya kimwili kama kanuni za ibada,usafi wa mwili na taratibu nyingi za jamii,

Kiufupi Islam hata historia yao tu ina contradiction kibao ni rahisi kwa Mwanafunzi mchanga wa kikristo kuelezea historia ya Imani yao kuliko Muislam guru kukuelezea Mwanzo wa dini yake maana huwa hawafundishwi kwa kina kujenga hoja zaidi ya kukalili na kumezeshwa ujinga na hua hawajisumbui kutafuta ukweli wa mambo nje ya box!

Sorry yote hii imetokana na baadhi ya Members humu wafuasi wa Islam nabishana nao mambo fulani ya kihistoria na uhalisia ambayo yapo wazi kabisa ila Uelewa wao ni mdogo kuhusu maswala Spiritual ila ni wabishi sana na hakuna wanachojua na hawataki kujifunza wala kubishana kwa hoja ila mautusi na kejeli!

Anyway ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya!

Copy kwa FaizaFoxy na Stress Challenger

#La gizani!
😁😁
Abrahamic Religion, hizo ni propaganda za watu katika kutaka ku-justify utashi wao.
Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina. (Quran 3:67)
Kama kutapatikana maandishi ndani ya Taurati yaonyeshe Abraham alikuwa myahudi tunaomba yaletwe, au lipatikane andiko ndani ya Biblia kuwa Abraham ni mkristo naomba tupatiwe.
 
Kwa hiyo upendo ni kwa watu tu ? Wadudu ,mimea na vingine aaaaa.
Ni ngumu kuwafanyia upendo wadudu na mimea, kwahilo usijitoa ufahamu

Unafuga kuku right! Kwanini huwa unawauza na kuwachinja na usiwafuge tu wakae banadani miaka yote?
 
Kwani kuwachinja ndio kutowaonyesha upendo?
 
Wewe unawaonyeshaje upendo wanyama na mimea?
Unajua nimesoma biblia zaidi ya mara 20 sijaona mahali hadithi za kwenye biblia na Mungu zikionyesha upendo kwa vitendo zaidi ya habari za Govi Mia za wafilisti na na kila namna ya majivuno na mauaji ya kutisha mara kina Eliya wameua manabii wa baali na mambo mengi tu.
 
Na uliposoma Quran ukaona nini?
 
Nilishasema hivyo vitabu vinafanana kwa asilimia kubwa sana havina tofauti kimaudhui na dhima .
Tunarudi kwenye swali nililokuuliza

Unafanya nini kuwaonyesha upendo wanyama, wadudu, ndege na mimea?
 
Haina hata haja ya salamu Moja kwa moja kwenye mada.

Kiufupi nimejichimbia kwa kina kujua Saga la Abrahamic religion yaani Judaism, Christian na Islam
Wengi humu mnanijua katika engo ya kujua mambo ya Accient civilization ila leo nagusia religious issues,

Katika utafiti wangu mdogo nimegundua majority ya Islamic kuanzia viongozi wao hawana elimu juu ya historia ya kweli ya dini yao.

Yote tisa kumi ni kutojua historical chatline ya matukio, wengi wao ngumbaru first class yaani full kuchanganya mambo tena wengine utaona ni wasomi wa Elimu Dunia ila ikifika kwenye suala la dini yao ni kama wamekatwa kichwa.

Kubwa zaidi hawana Uelewa wa mambo ya kiroho yaani wanazidiwa mpaka na wale Buddha ukiachana na wenzao Wakristo ambao Wana uwezo wa kufanya chants na kuamsha nguvu chanya katika Ulimwengu wa Roho (Spiritual Realm Awakening)

Ila kiuhalisia wao wapo vizuri katika mambo ya morals and dogmas katika mambo ya kimwili kama kanuni za ibada,usafi wa mwili na taratibu nyingi za jamii,

Kiufupi Islam hata historia yao tu ina contradiction kibao ni rahisi kwa Mwanafunzi mchanga wa kikristo kuelezea historia ya Imani yao kuliko Muislam guru kukuelezea Mwanzo wa dini yake maana huwa hawafundishwi kwa kina kujenga hoja zaidi ya kukalili na kumezeshwa ujinga na hua hawajisumbui kutafuta ukweli wa mambo nje ya box!

Sorry yote hii imetokana na baadhi ya Members humu wafuasi wa Islam nabishana nao mambo fulani ya kihistoria na uhalisia ambayo yapo wazi kabisa ila Uelewa wao ni mdogo kuhusu maswala Spiritual ila ni wabishi sana na hakuna wanachojua na hawataki kujifunza wala kubishana kwa hoja ila mautusi na kejeli!

Anyway ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya!

Copy kwa FaizaFoxy na Stress Challenger

#La gizani!
😁😁
Umeeleza mambo mengi sana lakini ungeeleza tu haya ya mwishoni pale ungeeleweka "Sorry yote hii imetokana na baadhi ya Members humu wafuasi wa Islam nabishana nao mambo fulani ya kihistoria na uhalisia ambayo yapo wazi kabisa ila Uelewa wao ni mdogo kuhusu maswala Spiritual ila ni wabishi sana na hakuna wanachojua na hawataki kujifunza wala kubishana kwa hoja ila mautusi na kejeli"...
 
Back
Top Bottom