Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Haina hata haja ya salamu Moja kwa moja kwenye mada.

Kiufupi nimejichimbia kwa kina kujua Saga la Abrahamic religion yaani Judaism, Christian na Islam
Wengi humu mnanijua katika engo ya kujua mambo ya Accient civilization ila leo nagusia religious issues,

Katika utafiti wangu mdogo nimegundua majority ya Islamic kuanzia viongozi wao hawana elimu juu ya historia ya kweli ya dini yao.

Yote tisa kumi ni kutojua historical chatline ya matukio, wengi wao ngumbaru first class yaani full kuchanganya mambo tena wengine utaona ni wasomi wa Elimu Dunia ila ikifika kwenye suala la dini yao ni kama wamekatwa kichwa.

Kubwa zaidi hawana Uelewa wa mambo ya kiroho yaani wanazidiwa mpaka na wale Buddha ukiachana na wenzao Wakristo ambao Wana uwezo wa kufanya chants na kuamsha nguvu chanya katika Ulimwengu wa Roho (Spiritual Realm Awakening)

Ila kiuhalisia wao wapo vizuri katika mambo ya morals and dogmas katika mambo ya kimwili kama kanuni za ibada,usafi wa mwili na taratibu nyingi za jamii,

Kiufupi Islam hata historia yao tu ina contradiction kibao ni rahisi kwa Mwanafunzi mchanga wa kikristo kuelezea historia ya Imani yao kuliko Muislam guru kukuelezea Mwanzo wa dini yake maana huwa hawafundishwi kwa kina kujenga hoja zaidi ya kukalili na kumezeshwa ujinga na hua hawajisumbui kutafuta ukweli wa mambo nje ya box!

Sorry yote hii imetokana na baadhi ya Members humu wafuasi wa Islam nabishana nao mambo fulani ya kihistoria na uhalisia ambayo yapo wazi kabisa ila Uelewa wao ni mdogo kuhusu maswala Spiritual ila ni wabishi sana na hakuna wanachojua na hawataki kujifunza wala kubishana kwa hoja ila mautusi na kejeli!

Anyway ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya!

Copy kwa FaizaFoxy na Stress Challenger

#La gizani!
😁😁
Mkuu nilitamani sana kuona umeweka hoja na mifano katika bandiko hiili ambalo naliangalia kwa jicho la tatu.

Badala yake naona ni tuhuma ambazo umezitoa juu ya watu fulani ambao umekuwa ukijadiliana nao.

Ni vyema sana tuhuma hizi ungezisemea huko ambako umekuwa ukijadilina nao ila sisi wengine unatupa shida ya kuanza kung'amua.

Usngetuwekea na mifano namna gani wako watupu kwenye spiritual issues
 
Sawa, unawalaumu waislamu kutokujua historia yao wakati na wewe hakuna unachojua kuhusu historia hiyo
Nisijue Wapi kamanda Roman empire under Catholic influence created Islam Religion,
Huu ndio ukweli mchungu ambao hawatakaa watake kusikia,
Umewahi sikia kitu kinaitwa Napoleon Bonaparte secret code?
 
Tunarudi kwenye swali nililokuuliza

Unafanya nini kuwaonyesha upendo wanyama, wadudu, ndege na mimea?
Wanyama wadudu ndege na mimea vina uhusiano mkubwa na wewe na mpo pamoja , ukiweza kuwa na uwiano mzuri wa ego yako na hisia zako utaweza kupata msawazo sahihi wa upendo.
 
Wanyama wadudu ndege na mimea vina uhusiano mkubwa na wewe na mpo pamoja , ukiweza kuwa na uwiano mzuri wa ego yako na hisia zako utaweza kupata msawazo sahihi wa upendo.
Mpaka hapa unachenga kunijibu swali langu
Nipe jibu ndiyo uendelee na risala
 
Mpaka hapa unachenga kunijibu swali langu
Nipe jibu ndiyo uendelee na risala
Sijakuchenga popote , nmekufafanulia kwa mawanda mapana zaidi, ila upendo ni hisia za ndani kabisa za kuhurumia na kujali katika uwiano sahihi
 
Sijakuchenga popote , nmekufafanulia kwa mawanda mapana zaidi, ila upendo ni hisia za ndani kabisa za kuhurumia na kujali katika uwiano sahihi
Jibu swali kama umeshindwa sema ili tufunge mjadala
 
Unawaonyesha vipi upendo wanyama, wadudu na mimea?

'Ninawaonyesha upendo kwa kuwafanyia........'. Ungeorodhesha
Kwa kuwajali na kuwahurumia inapobidi katika uwiano sahihi, kwasababu wao ni wewe na wewe ni wao katika cheni ya kiikolojia.
 
Kwa kuwajali na kuwahurumia inapobidi katika uwiano sahihi, kwasababu wao ni wewe na wewe ni wao katika cheni ya kiikolojia.
Sasa hilo kila mtu analifanya
Hoja yako ni dhaifu na umeshindwa kuitetea kwa namna ya pekee
 
Sasa hilo kila mtu analifanya
Hoja yako ni dhaifu na umeshindwa kuitetea kwa namna ya pekee
Kwanini umeona ni dhaifu ? Onyesha madhaifu yake yapo wapi kwa kuichambua hoja yangu katika mawanda yake.
 
Mkuu nilitamani sana kuona umeweka hoja na mifano katika bandiko hiili ambalo naliangalia kwa jicho la tatu.

Badala yake naona ni tuhuma ambazo umezitoa juu ya watu fulani ambao umekuwa ukijadiliana nao.

Ni vyema sana tuhuma hizi ungezisemea huko ambako umekuwa ukijadilina nao ila sisi wengine unatupa shida ya kuanza kung'amua.

Usngetuwekea na mifano namna gani wako watupu kwenye spiritual issues
Tuanzie na wewe ulishawahi kua spiritual awakening through Holly spirit?
If no bado hujafika level za kuatach vitu spirituality hivyo bado hujajua Immortality code inafanyaje kazi vile vile Sio wewe tu hata Christian wengi Hii hawalijui hivyo inakua ngumu wao kuendesha mambo kwa kutumia Divine power nao Wana uzi wao utawahusu kila mtu atafikiwa Ili tutoe illusion za Dini na tupime watu kwa nguvu zao kiroho na Sio kwa dini zao tushachoka kuitana makafiri wakati wote hamjui kitu kuhusu Uungu!

Wait and see
Hii ni mada chokozi tu true saga is coming soon!
😁😁
 
Kwanini umeona ni dhaifu ? Onyesha madhaifu yake yapo wapi kwa kuichambua hoja yangu katika mawanda yake.
Unawatendea kama ambavyo kila mtu anawatendea
Mifugo ikiumwa wanatafutiwa madaktari
Wengine wamejitolea kusomea utaalamu wa wanyama na mimea
 
Unawatendea kama ambavyo kila mtu anawatendea
Mifugo ikiumwa wanatafutiwa madaktari
Wengine wamejitolea kusomea utaalamu wa wanyama na mimea
Yah na huo ndio upendo wa dhati kwa mifugo na mimea ,kwani udhaifu upo wapi apo?
 
Back
Top Bottom