Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Qur an halisi ni ile iliyoshuka kiarabu , wewe ndio unatafsiri kwenda lugha yao
Hakuna kitu kilichoshushwa, ni Waarabu wa Jangwani tu waliamua kukopi kwenye Vitabu vilivyotangulia na kuongezea mambo yao kisha wakachukua Panga na kuanza kuvamia Nchi za Watu.

Kwamba Allah kawatuma.
 
Tuanzie na wewe ulishawahi kua spiritual awakening through Holly spirit?
KUwa spiritual awakening ndio kitu gani ? kumbuka kwamba uisilamu ni tofauti na waisilamu.

NAtaka kujua maana yake kwa sababu unaweza ukawa unaita kitu kwa jina tofauti lakini kwenye uisilamu kiko kwa namna ingine ila maana ikawa ni ileile.

Nakupa mfano tu kuna kitu kinashauriwa sana na wataalamu wa saikolojia kinaitwa gratitude,hata rhonda byrne kwenye kitabu chake cha "THE MAGIC" aligusia,hiyo gratitude kwenye uisilamu ipo tena tunatakiwa tuifanyebasubuhi na jioni sasa huku tunaiita ADHKAR.

Nadhani unaelewa sasa kwa nini nataka unipe maana ya neno lako la spiritual awakening.
If no bado hujafika level za kuatach vitu spirituality hivyo bado hujajua Immortality code inafanyaje kazi vile vile Sio wewe tu hata Christian wengi Hii hawalijui hivyo inakua ngumu wao kuendesha mambo kwa kutumia Divine power
Mkuu mimi bado nitajikita palepale,lazma ufafanue hizi terminology zako zina maana gani ili tuone je kitu hicho kwenye uisilamu hakipo ?

Maana uisilamu una terminology zake.

Mfano wa Pili.

Unaweza ukadhani kweye uisilamu hakuna meditation kwa sababu haijatajwa,ila kwenye uisilamu meditation ipo lakini imetajwa kwa terminology zingine ila maana ni ile ile na malengo ni yale yake.

So bado narudia kusema kwamba kuleta terminology ambazo ni ngeni kwa baadhi yetu hiyo inaweza ikawa hatujui hizo terminology ila tukawa tunajua na tunafanyia kaz terminology hizo.

Najikita kutaka kujua maana ya hayo maneno,kwangu mimi sio ujinga kujifunza kile nisichokijua.
 
Hakuna kitu kilichoshushwa, ni Waarabu wa Jangwani tu waliamua kukopi kwenye Vitabu vilivyotangulia na kuongezea mambo yao kisha wakachukua Panga na kuanza kuvamia Nchi za Watu.

Kwamba Allah kawatuma.
Yale ni maneno yameshushwa kama ujumbe ....Hamna copy wala nn ili ni Mungu ni yle yule
 
KUwa spiritual awakening ndio kitu gani ? kumbuka kwamba uisilamu ni tofauti na waisilamu.

NAtaka kujua maana yake kwa sababu unaweza ukawa unaita kitu kwa jina tofauti lakini kwenye uisilamu kiko kwa namna ingine ila maana ikawa ni ileile.

Nakupa mfano tu kuna kitu kinashauriwa sana na wataalamu wa saikolojia kinaitwa gratitude,hata rhonda byrne kwenye kitabu chake cha "THE MAGIC" aligusia,hiyo gratitude kwenye uisilamu ipo tena tunatakiwa tuifanyebasubuhi na jioni sasa huku tunaiita ADHKAR.

Nadhani unaelewa sasa kwa nini nataka unipe maana ya neno lako la spiritual awakening.

Mkuu mimi bado nitajikita palepale,lazma ufafanue hizi terminology zako zina maana gani ili tuone je kitu hicho kwenye uisilamu hakipo ?

Maana uisilamu una terminology zake.

Mfano wa Pili.

Unaweza ukadhani kweye uisilamu hakuna meditation kwa sababu haijatajwa,ila kwenye uisilamu meditation ipo lakini imetajwa kwa terminology zingine ila maana ni ile ile na malengo ni yale yake.

So bado narudia kusema kwamba kuleta terminology ambazo ni ngeni kwa baadhi yetu hiyo inaweza ikawa hatujui hizo terminology ila tukawa tunajua na tunafanyia kaz terminology hizo.

Najikita kutaka kujua maana ya hayo maneno,kwangu mimi sio ujinga kujifunza kile nisichokijua.
Ooh ni hivi unamjua Roho Mtakatifu ni nani katika ukamilifu wa Mungu?
 
Vitu viwili tofauti Roma hawana uhusiano na uislamu kwa sababu wapo tofauti , ukristo umeanzisha na paulo baada ya Yesu kuondoka .
We jamaa nitakuelimisha hili la "Paulo kuleta ukristo" hadi lini? Mbona Kila siku unakaza fuvu mkuu?

Paulo(zamani sauli) alikuwa mpinga kristo mkubwa kabla ya makafiri wa kiislamu kuanza kuupinga msalaba hadi mnavyofanya leo.

Nakukumbusha kitu pia Leo,uchukue na hii;

Kanisa la Ethiopia lipo miaka mingi sana hata kabla ya uislamu kuexist Wala kabla paulo haujawepo duniani na wakristo wa Ethiopia ni wakristo wa asili,hawajaletewa kama sehemu zingine za Dunia. Lakini pia wakristo wa Lebanon ni wakristo wa asili though ni waarabu.
 
Mkuu Waarabu waliokuja East Africa ni wa Oman, uisilamu wao unaitwa Ibadhi, kwa Tanzania waisilamu ambao ni Ibadhi haifiki hata 0.1%.

Waisilamu ambao wapo Tanzania asilimia kubwa ni Sunni, uisilamu ambao upo practiced worldwide.

Ukisoma Historia ya Tanzania wakati wa vita na wareno kabla ya Oman kuja kuwa piga wareno,waisilamu wa East Africa waliomba msaada Kwenye khilafa akatumwa kamanda kuwasaidia wakapigwa, huu ni ushahidi kwamba uisilamu ulikuwepo kabla ya Waarabu/wazungu kuja Pwani hii.

Hii Ramani ya Africa ikionesha connection ya East Africa na Mecca/Madina.
View attachment 3037573
Mfalme Najash ambae alipokea waisilamu wakati wanauliwa Empire yake ya Aksum ilikuwa Eritrea/Ethiopia ya Leo,

Hii picha ya Msikiti wa Somalia ambao unaelekea Jerusalem, Kibla kilibadilishwa toka Jerusalem kwenda Mecca wakati bado mtume yupo hadi, Ushahidi kwamba kulikua na waisilamu ukanda wetu wakati mtume bado yupo Hai

View attachment 3037574
Uislamu unakuwepo vipi kablya ya kuja kwa waaran wakati uislam umeanza Karne ya sana na waarab wa mashariki ya kati wameshamiri kuja Karne ya 7 - 10 ?
Ndugu, ni dhahiri kuwa uislam huku Africa mashariki umeletwa na waislam. Tena kwa jihadi au biashara.
Karne ya 13 Africa magharini iligubikwa na jihad. Aftuka kaskazini ndiyo kabisaa au unafikiri waarabu wa Libya, Tunisia, Morroco etc Wana asili ya Africa?
 
Pole sana na hizo fiksi umeingizwa kingi.
Ulitaka Mungu aje na agano jipya , wanaisrael awape maelezo mengine na wazungu awape wengine 😀 😀

Mungu abadili masharti yake eti yalikuwa na makosa ndio akaleta agano jipya .
 
Ooh ni hivi Inamjua Roho Mtakatifu ni nani katika ukamilifu wa Mungu?
Mkuu bado unazunguka palepale,approsch yako inaweza kutukosesha sisi wengine kujifunza ingawaje una lengo zuri la kutoa elimu.

Ni kwamba hata wewe kuna mambo hauyajui lakini ukiambiwa maana utasema aaah kumbe maana yake hii basi hata mimi nafanyaga daily.

mfano tu nilipokuwa naangaliangalia kitabu cha rhonda byrne cha the secret akizungunzia sana the law of attraction nikagundua kwamba kumbe hiyo law of attraction naifanya kwenye maisha ya kawaida ila sikujua kama ile ndio the law of attraction.

SO mimi bado niko palepale mkuu,nikite kwenye kuelezea maana ya neno wewe kwanza alafu sasa ndio utuulize sisi waisialamu kama hicho kitu tunacho ama tunakifanya kwenye Dini yetu ? Ukifanya hivyo basi tutaenda vizuri
 
We jamaa nitakuelimisha hili la "Paulo kuleta ukristo" hadi lini? Mbona Kila siku unakaza fuvu mkuu?

Paulo(zamani sauli) alikuwa mpinga kristo mkubwa kabla ya makafiri wa kiislamu kuanza kuupinga msalaba hadi mnavyofanya leo.

Nakukumbusha kitu pia Leo,uchukue na hii;

Kanisa la Ethiopia lipo miaka mingi sana hata kabla ya uislamu kuexist Wala kabla paulo haujawepo duniani na wakristo wa Ethiopia ni wakristo wa asili,hawajaletewa kama sehemu zingine za Dunia. Lakini pia wakristo wa Lebanon ni wakristo wa asili though ni waarabu.
Waethipia wanasujudu nyie mnasujudu?

Hiyo bible ndio inasema Paulo baada ya kujenga kanisa ndio watu kwanza wakaitwa wakristo yesu alikuwa hayupo .
 
Una

miaka mingapi bwana accumen?

Kama unaamini kuwa Quran ilishuka Moja kwa Moja kutoka kwa Mungu,basi safari yako ni ndefu sana.
Mbona unalia sasa 😀 😀 😀 ilishuka na kunakiliwa sio hadithi za paulo ....
 
Back
Top Bottom