Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Ukweli mchungu: Waumini wengi wa Dini ya Kiislamu wamefungwa ufahamu kwenye Uelewa wa mambo ya Kiroho (Spiritual enlightenment)

Uislamu unakuwepo vipi kablya ya kuja kwa waaran wakati uislam umeanza Karne ya sana na waarab wa mashariki ya kati wameshamiri kuja Karne ya 7 - 10 ?
Ndugu, ni dhahiri kuwa uislam huku Africa mashariki umeletwa na waislam. Tena kwa jihadi au biashara.
Karne ya 13 Africa magharini iligubikwa na jihad. Aftuka kaskazini ndiyo kabisaa au unafikiri waarabu wa Libya, Tunisia, Morroco etc Wana asili ya Africa?
Uislamu ulikuwepo kabla ya hapo kama ungesambaa kwa jihad usingefika hata nusu ya Africa , story za kina othamn don fodia ni uongo kama stori za binadamu wa kwanza kuwa nyani .

Pia wengi mnadanganywa kama jihad ni vita ya kusambaza uislamu , ila jihad ni pana sana ikiwa na maana ya kujitolea ....Jihad ilikuwa waislamu kujilinda na kushambulia sio wao walianzisha jihad walipewa maelezo ya kujilinda .

Jihad haikupiganiwa kweny makazi ya watu , palikuwa na viwanja vya vita mbali na mkazi ya watu ....Nje ya hapo hakuna jihad ni uongo
 
Sasa uislam unasambaaje kabla ya kuanza au haukuanza Karne ya 6?
 
B
Mbona unalia sasa 😀 😀 😀 ilishuka na kunakiliwa sio hadithi za paulo ....
Ilishuka Baada ya Mohamed kuingiwa na mapepo pale jabal Hira siyo? Alafu mkewe na anko wake mkristo kumwambia huyo aliyekutana nae ni malaika Gabriel kwa hiyo kuanzia sasa yeye ni mtume?

We jamaa una shida kubwa sana.
 
Nachojua ni kwamba Roman empire founded Catholic church ndio hao hao founder wa Islam Religion don't ask me why and how!
Kwamba roman empire ya kipagan ikaanzisha ukatoliki,ili?!..lakini pia ikaanzisha uislam unaopinga upagani na ukatoliki,ili iweje!?..wewe ndiye great thinker,au umeamua kuanzisha Uzi wa kudhihaki waislam ili Uzi wako ujae watu!?..kupenda attention ni tabia za wanawake kahaba
 
B

Ilishuka Baada ya Mohamed kuingiwa na mapepo pale jabal Hira siyo? Alafu mkewe na anko wake mkristo kumwambia huyo aliyekutana nae ni malaika Gabriel kwa hiyo kuanzia sasa yeye ni mtume?

We jamaa una shida kubwa sana.
Mapepo ndiyo nini we punguani!?..anko wake yupi alikua mkiristo!?
 
Mapepo ndiyo nini we punguani!?..anko wake yupi alikua mkiristo!?
We ndiyo una mihemko kuliko huyo ninayejibizana nae.

Hunaga hoja zaidi ya kuongea pumba points tu.

Sasa Mohamed alitokewa na nani kama siyo mapepo/mashetani pale pangoni?
 
We ndiyo una mihemko kuliko huyo ninayejibizana nae.

Hunaga hoja zaidi ya kuongea pumba points tu.

Sasa Mohamed alitokewa na nani kama siyo mapepo/mashetani pale pangoni?
Na hizi ndiyo hoja?!..unaweza tuonesha ulikotoa haya?!
 
Wewe si ndio unaufahamu vema Bibie Nasikitika kukwambia Mtume Mohammad Bin Abdula ni babu yako Damu Damu!
😁😁
Qur'an 33:40. Muhammad si baba wa yeyote katika wanaume wenu, bali ni Mtume wa Mwenyezi Mungu na Mwisho wa Manabii, na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu. 40
 
Sasa nakubaliana na mtoa mada ya kuwa wengi wenu uelewa ni hafifu, unazungumzia wakatiwa Outhman kwwani hujui wakati wa mtume Quran ilihifadhiwa katika sehemu mbapimbali ikiwemo kwenye ngozi n.k

Baada ya mtume kufariki ndipo wakaamua kukusanya kila mahali ilipo na walipomuendea Aisha awape baadhi ya sura alisema zililiwa na mbuzi

Hii nayo huijui ama ndio hivyo tena
Haikua primary method kusema kwamba huyo aliehifadhi basi imepotea basi Quran nayo imepotea, achana na wakati wa mtume hadi leo 2024 primary method ya kusoma Quran ni kuihifadhi, watu wengi hawasomi Quran kwa kuangalia makaratasi wengi wa nasoma toka moyoni. And that's the beuty of Quran.
 
We ndiyo una mihemko kuliko huyo ninayejibizana nae.

Hunaga hoja zaidi ya kuongea pumba points tu.

Sasa Mohamed alitokewa na nani kama siyo mapepo/mashetani pale pangoni?
Its a lifetime and timeless challenge, kama Quran imetoka kwa mapepo wana uwezo wa kutengeneza nyengine nyingi ila so far Quran ni ile ile na imekuwa timeless miaka 1400 sasa ujumbe wake upo relevant na mabilioni ya watu wanafuata wakati vitabu vingine ni mapambio tu.
 
Uislamu unakuwepo vipi kablya ya kuja kwa waaran wakati uislam umeanza Karne ya sana na waarab wa mashariki ya kati wameshamiri kuja Karne ya 7 - 10 ?
Ndugu, ni dhahiri kuwa uislam huku Africa mashariki umeletwa na waislam. Tena kwa jihadi au biashara.
Karne ya 13 Africa magharini iligubikwa na jihad. Aftuka kaskazini ndiyo kabisaa au unafikiri waarabu wa Libya, Tunisia, Morroco etc Wana asili ya Africa?
Tushaongea huko nyuma narudia tena.

Uisilamu wakati bado mtume yupo hai ulikuwa na phase mbili,

Phase ya kwanza mtume alisambaza uisilamu kwa siri akiwa Mecca na phase ya pili kwa dhahiri akiwa Medina.

Wakati wa phase ya kwanza bado uisilamu haujasambaa na mtume yupo Mecca, waisilamu hao wachache walikuwa wakiteswa na Kuuliwa, ukashuka wahai kwamba kuna mfalme yupo Africa ni mwema atawasaidia waisilamu, ndio migration ya kwanza ikafanyika kuja Ethiopia/Eritrea ya Leo na mfalme wake wakati huo Najash akawapokea.

Wakati huo waisilamu walikuwa wakifanya ibada kuelekea Jerusalem, kuwepo kwa magofu ya misikiti iliolekea Jerusalem ni ushahidi wa kihistoria kwamba uisilamu ulikuwepo ukanda wetu kabla haujasambaa nchi za kiarabu.

Ukanda wetu huu waarabu ambao tulikuwa na contact nao ni wa Oman, version yao ya uisilamu ni Ibadhi, sisi hatufuati Ibadhi huu ni ushahidi mwengine kwamba sio wao waliotuletea uisilamu bali walikuja na kukuta tayari watu humu ni waisilamu.
 
Kweli mkuu fikiria kwa mbali hizi dini zimeletwa kukutawala kifikra tu hakuna kweli yoyote wakristo wanasema w wanasema Yesu hana baba na waislam wanaamini hivyo
Hivi kweli karne ya 21 unaamini huo ujinga yaan mtu azaliwe bila ya baba
Kwani Adam alizaliwa na Baba gani we shetani?
 
Uzuri wa uisilamu ni kuwa na misimamo tu hapo napenda sana, yaani muumini akiambiwa na kiongozi wake chinja ajiulizi wala kujioji.
Wewe unaongelea kwa Mwamposa labda.
Kwenye uislamu waumini huwa wanaangalia maandiko yanasemaje kiongozi akitoa neno la uongo ambalo halipo kwenye kitabu anakosolewa hapohapo,hakuna uchawa.
Kwenye ukristo padri akisema kuna mafuta yametoka mbinguni anauza milioni hakuna wa kumpinga wote wanaingia kichwakichwa.
 
B

Ilishuka Baada ya Mohamed kuingiwa na mapepo pale jabal Hira siyo? Alafu mkewe na anko wake mkristo kumwambia huyo aliyekutana nae ni malaika Gabriel kwa hiyo kuanzia sasa yeye ni mtume?

We jamaa una shida kubwa sana.
Paulo ndio alianzisha ukristo kasome matendo ya mitume 11:26 😀 😀 😀 .

Paulo yeye anasema ni mtume wa Yesu , halafu mnasema yesu aliwaonya kuhusu mitume wa uongo ...Ni wapi Yesu alitabiri atakuja paulo?

Mungu alikamatwa na watu wake wakamtesa
 
Version kwa maana ya dialect, sio mara ya kwanza kudiscuss hili jambo ila kila mkielimishwa mnalirudia. Quran ni ile ile haijabadilika, dialect hai badili maana bali hubadili tu namna ya kutamka maneno.

Leo mmakonde akisema "ukisimama Nchale, ukikaa Nchale" haja badili maana ya neno Mshale bali dialect yake ya kiswahili anatamka Mshale kama Nchale.
Asipouelewa huo mfano basi huyo ana kichwa kizito.
 
Version kwa maana ya dialect, sio mara ya kwanza kudiscuss hili jambo ila kila mkielimishwa mnalirudia. Quran ni ile ile haijabadilika, dialect hai badili maana bali hubadili tu namna ya kutamka maneno.

Leo mmakonde akisema "ukisimama Nchale, ukikaa Nchale" haja badili maana ya neno Mshale bali dialect yake ya kiswahili anatamka Mshale kama Nchale.
Watakusumbua tu maana wanafikiria Qur n ni kile kitabu cha karatasi wakati ni yale maneno watu wanaosoma ma kuhifadhi , ndio maana kila siku wanataka kuchoma kile kitabu
 
Uisilamu haujakuja na wakoloni misconception nyengine ni hii, uisilamu umekuja Africa hata kabla haujaenea Arabuni, historia zipo wazi ila tunaziacha na kufuata narrative zisizo na ushahidi wowote.
kwa maana hiyo mtume alizaliwa na kualianzishq harakati zake Afrika sio?

aaah basi sawa
 
Kwamba roman empire ya kipagan ikaanzisha ukatoliki,ili?!..lakini pia ikaanzisha uislam unaopinga upagani na ukatoliki,ili iweje!?..wewe ndiye great thinker,au umeamua kuanzisha Uzi wa kudhihaki waislam ili Uzi wako ujae watu!?..kupenda attention ni tabia za wanawake kahaba
Hahaha kwamba Nianzieshe uzi wa kuwadhihaki Waislam Ili nigundue nini?
Tatizo lenu nyie wengi wenu ni weak kiakili na kiroho hampendi challenge na ukianzishwa mjadala wowote mnaona kama mnadhihakiwa wakati hapa ni nafasi adhimu ya kujimwaga na ndio inawapa chance ya kueleza kwa kina makusudi ya dini yenu,
Na vile vile mnaweza mkajifunza vitu vingine pia ambavyo hamvijui ila ajabu ni waoga waoga na mna dhihaka na matusi na wengi wenu hapa ni ngumbaru tu ilitakiwa nafasi kama hizi ndio mnajimwaga watu wengi wenu wajifunze Halafu nikupe siri Moja,
Ukianzisha Uzi wowote humu unahusu dini Yako na ukaanza kwa point na point hutapata watu ila akitokea mtu kama mimi au wewe ukaja na uzi korofi kama huu utajaza nyomi ndio wakati sahihi watu kufunguka kwa uwazi Maana watu wanapenda kujadili mambo hasi ya kitu fulani badala ya chanya
Ukiwa na D mbili utanielewa
Please Muslims don't afraid me take chance hit em!
😁😁
 
Back
Top Bottom