UKWELI MCHUNGU: Wazazi wengi hawana upendo wa kweli

Mtibeli umepiga kwenye chembe.

Watakaokupinga ndo imewagusa haswaa
 
"Kuwapenda watoto wenye vipato au wanaowapa vijizawadi ni dalili moja wapo inayoharibu ile dhana kuwa wazazi mnaupendo wa kweli kwa watoto wenu. Itaonekana kama propaganda tuu lakini uhalisia ni kinyume."

Hii 👆 imeenda😃
 
Hakuna something for nothing, hata huo wa mke na mme una condition kibao kama uwezo wa kufanya sex, kuhudumiana n. K.
 
"Kuwapenda watoto wenye vipato au wanaowapa vijizawadi ni dalili moja wapo inayoharibu ile dhana kuwa wazazi mnaupendo wa kweli kwa watoto wenu. Itaonekana kama propaganda tuu lakini uhalisia ni kinyume."

Hii 👆 imeenda😃

Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…