luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
- Thread starter
- #21
🤣🤣🤣🤣 Ana ruka ruka misili ya ndegeDk 11 hajagusa mpira 😀😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣 Ana ruka ruka misili ya ndegeDk 11 hajagusa mpira 😀😀😀😀
🤣🤣 Engineer kawapiga na kitu kizito Tena wananchi ... Eti Wana jifarijiKwa nini hajapata time,jibu ni moja hana uwezo
Acha kuongea upupuu ww bocco ktk game 10 za mwisho ana goli 2 Je MAKAMBO ktk game 10 za mwisho (mechi za ushindani) ana goli ngapi ?Wengi wenu humu bado hamuwezi kuchambua na kung'amua mambo.
HM19 bado hajapata muda wa kutosha wa kucheza,ila quality yake ni ile ile.
Kingine,ukiwa unamuwaza HM19 pia uwe una muwaza na John Bocco ambaye amekuwa flop karibuni, amepata game time ya kutosha ila ameshindwa ku prove.
Kuhusu HM19 ni swala la muda tu.
Unamuongelea Makambo wa msimu huu? Au wa msimu upi?Acha kuongea upupuu ww bocco ktk game 10 za mwisho ana goli 2 Je MAKAMBO ktk game 10 za mwisho (mechi za ushindani) ana goli ngapi ?
Kumbuka Bocco unae mzungumzia ni mchezaj ambae last season kacheza game nyingi na pia Ali score magoli kibaoo ktk ligi + CAF CL
Sasa HM 19 last season akiwa na Horoya alicheza game 3 tu Msimu mzima , Basi kwann asi perform huu Msimu ? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hapa ndio utagundua Mmepigwa
🤣🤣🤣🤣 Ama hakika ww hata soka la bongo hulijuiUnamuongelea Makambo wa msimu huu? Au wa msimu upi?
Mm namuongelea Bocco wa msimu huu na sio iliopita.
Msimu huu Makambo ana goal mbili katika mechi mbili za kirafiki.
Bocco hana hata la offside.
Sawa mkuu umeshinda[emoji23].[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ama hakika ww hata soka la bongo hulijui
Sasa MAKAMBO ana goli 2 za friend match
Bocco ana goli 2 CAF CL au hujui ilo? Ndugu usiendelee kujiaibisha
Huyu Bocco wa Msimu huu ni mchezaj ambae last season alicheza every match za Simba SC na alikuwa ana score ila huyu HM 19 wenu last season game 3 tu ndio alicheza na hakufunga hata goli moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Makambo amecheza dakika almost sawa na John Bocco jana....Tafuta clip ya goli alilofunga siku ya utambulisho wa wachezaji siku ya mwananchi halafu ndio urudi tena.
Umemfuatilia lini?na kwa taarifa yako huyu makambo bado hajapata muda wa kucheza tokea acheze gameile amekua akiingia sub na kucheza kwa -10 minutes.
Sasa utamjaji vipi mchezaji ambae hajapata time ya kutosha uwanjani?
Bocco anagoli champion leagueUnamuongelea Makambo wa msimu huu? Au wa msimu upi?
Mm namuongelea Bocco wa msimu huu na sio iliopita.
Msimu huu Makambo ana goal mbili katika mechi mbili za kirafiki.
Bocco hana hata la offside.
hajapata muda wa kucheza ndiyo maana kaisha. Sasa unatetea nini wakati kiwango kimeshuka.Tafuta clip ya goli alilofunga siku ya utambulisho wa wachezaji siku ya mwananchi halafu ndio urudi tena.
Umemfuatilia lini?na kwa taarifa yako huyu makambo bado hajapata muda wa kucheza tokea acheze gameile amekua akiingia sub na kucheza kwa -10 minutes.
Sasa utamjaji vipi mchezaji ambae hajapata time ya kutosha uwanjani?
Tafuta clip ya goli alilofunga siku ya utambulisho wa wachezaji siku ya mwananchi halafu ndio urudi tena.