Ukweli mchungu, Zari ndie kamuoa Diamond...

Mkuu UOTE="Jizi, post: 15674458, member: 346076"]Aliyekutuma mwambie Tanzania imejipanga,hatukujibu watafute waganda wenzako ndio uwalishe hiyo habari.[/QUOTE]
Mkuu haya mambo si ni private?? Una maana gani kusema Tanzania imejipanga??
 
Maandishi yote yana rangi ilio jaa wivu mtupu....[emoji15]
Alafu.......
Sjui kwanini nimesoma huu uzi
Agghhhh.....[emoji187]
Ebu ngoja kwanza
 
Iwe kweli isiwe kweli , Hayanisaidii kitu katika harakati zangu za kutafuta pesa.
Kumbe unatafuta pesa? Muone falcon mombasa atakufunza namna au nenda arusha kwa batee. Nyang'@u wewe
 
Kumbe unatafuta pesa? Muone falcon mombasa atakufunza namna au nenda arusha kwa batee. Nyang'@u wewe

Kabisa natafuta pessa afu nikuhonge, niendelee kukutepetesha ... unatanua kwa pesa zangu afu unaleta kelele ... kenge kweli wewe!
 
kwa staili hii ya mawazo hakika mashoga watazidi kuongezeka......
 
Hapa nimeingia kwenye jukwaa la Uganda ngoja niwasubiri watanzania wenzangu turudi bongo
Aliyekutuma mwambie Tanzania imejipanga,hatukujibu watafute waganda wenzako ndio uwalishe hiyo habari.
Mleta uzi we ni popoma kweli kazi kufuatilia maisha ya watu huna kazi ya kufanya afu dnd ndo nini?
Eti ``hakili``
Hata kuhandika hujuhi kajifunze kuhandika ndiho huje na humbeha wako
Noises of the door cant make the owner of the house to have no bed rest.
....na venye nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinaga....
Pumbavu Kweli wewe! Na wewe Nenda kamuoe basi..!!! Halafu ujinga ujinga Kama huu uwe unaishia huko huko FB.. !


Mmemimd

Huo ndo ukweli jamaa kalenga mulemule
 
Nimeshasema na nitasema vijana acheni ujinga. Somen muelewe atupo kwenye ngoma apa. Niujinga kusema eti Diamönd anapesa pasipokuwa mapato na matumizi. Tukiweka apa wote mtaaibika. Msion watu wanachukua poa. Mkubal mwanamke kaoa kama hamtaki kula boda
 
Inasikitisha sana pale mtu anapokaa kuandika uzi mrefu kumkandia mwenzie ambae nina hakika hamjui binafsi zaidi ya kimziki. Mbaya zaidi ni kuwa anakandia mtu ambae anavyo alivyoachieve na vinajulikana. Utakuta mtoa mada hana hata baiskeli na analala ukumbini kwa shangazi yake lakini kwa vile kapata kifurushi cha chuo basi anaanza kubwatuka ili tu nafsi yake ijiridhishe kuwa kuna makapuku kama yeye.

Inawezekana Diamond hana pesa ama kauli kulinganisha na Ivan au Zari, lakini swali linakuja kwako mto mada imekuathiri vipi katika muendelezo wa maisha yako ya kila siku labda?

Inauma sana kuwa hii ndio nguvu kazi ya TZ.
 
Nadhani ulitaka uolewe wewe. Tafuta Ivan ikuwowe ukipata hela utaolewa Na wewe kisha upate utamu wa kuambiwa mumeo umemuwowa.
 
Wewe kichaa kweli
 
Kwa hiyo? Kama Mwanamke ka oa wewe shida yako nini?
 
Mmemimd

Huo ndo ukweli jamaa kalenga mulemule
Huyo Ni MwaNamke Mkuu! Si vema kumuita Jamaa! Vyovyote vile Ni kwamba Diamond anashine kwa Sasa! Hiyo Ndio point.
 
Watu hampingi hoja kwa facts ila mmebaki kurusha mawe baada yakushindwa ngumi. Pingine hoja diamöd hajaolewa maana tamadun zetu afrika mwanaume ndie anaowa wala sio kuolewa. Kama kwel yeye nikidume kuliko mwenzake leten facts.

Haya nawaöngezeen doz, ukifuwatilia histor ya Zari hakuna jambo jipya Diamond kaleta ktk maisha ya huyo mam. Mwanamke anakizaz chake fresh nawenye nguvu zao walisha zalisha diamönd kadandia tren. Ndio maana nasema msitoe mapovu leten facts kupinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…