Ukweli mchungu, Zari ndie kamuoa Diamond...

Tangu mwanzo nimesema huu ni ukwel mchungu nao mashabiki wakike na wakiume mnakuja tetea kuolewa kaka huku mkiwa hamna vifurush vya kutosha. Mpaka zari awatumie
 
N
Njoo na wewe Mke wangu akuoe... siuntamani kuweka ndani
 
Kwanini muda kama wa huyu jamaa wengine tunautafuta hatuupati? Watu wana raha jamani, wana muda wa kutosha na msalani bado wanaenda! Haya ndugu mama kaivisha ubwabwa nenda kale.
 
Ni upuuzi kuhangaika na maisha ya mtu mwingine badala ya kujiongeza kivyako!
 

hata kama ni kweli lakini HAYAKUHUSU...mind ur own bizz and if u cant appreciate atleast dont judge...I dedicate the song #DontBother ikuliwaze huko ulipo...m#$@^&@*@,@*f
 
Kama mwanamke kaoa nawe umeolewa na Ivan mbona anakutesavsana Diamond au ulitaka akuchape wewe
 
Mleta uzi una wivu wa kitoto,pambafu!!!Kiswahili chenyewe kibovu,kwenda huko!!@##$
 
Amejichanganya mwenyewe yule,unaweza ukawa na hela lakini ukawa mlugaluga,eti anasema yule dada ni mbichi mno hahaha,sizani kwamba anawajua madem wabichi offcourse najua anamlinganisha na akina wema
 
eti haruhusiwi ata kumpiga denda wakati kamdharisha mtoto wewe mleta uzi acha mbishe za ajabu ebuu acha kulinganisha mambo ya ajabu ivan ndo nani sasa
 
Fala kweli wewe..mwanaume mzima mbeeeeyaa tafuta hela acha majungu na mb zako za chuo
 
TOTO TATU DIAMOND NNE IVANI WAMETOKA MBALI NA UTAJIRI WOTE ANAKIRI YEYE NA IVAN
DOM KWELI UMEVAMIA TREN KWA MBELE
SIKILIZ YOU TUBE ONE ON ONE ZARI
 
shoga upo?
 
Mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.

Ukiwa huishi kuongelea ya watu, ya kwako yatalala.
 
Probably ni kweli lakini inakuhusu nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…