Uchaguzi 2020 Ukweli mchungu: Zipo kura za WanaCCM wa JF kwa Lissu, hazipo kura za wanaCHADEMA wa JF kwa Rais Magufuli. Ushindi unaanzia hapa!

Mimi h
Rais Magufuli umelikoroga sasa na ulinywe tuu maana hakuna namna.

Ukitumia ubabe kwa watanzania watakupiga kwenye sanduku la kura, sisi tunasema usitumie ubabe. Tukakusihi kutoka mwaka 2016 kwamba ubabe hausaidii, tukawambia usifanye hivyo ukakaidi, sasa utapigwa! Tulikuonya usiende na njia hiyo, ukaona sisi ni vibeberu uchwara, utapigwa! Na mimi nasema wakupige tu kwenye sanduku la kura maana hakuna namna sasa! Enh, ubabe ukiutumia kwenye uongozi utapigwa kwenye kura! Na acha upigwe tu!

Kiukweli njia ya uongozi na mwenendo alioenda nao Rais Magufuli kwa hii miaka mitano ni ya hovyo sana na akirudi kwa wananchi ataona matokeo yake. Mimi binafsi nimejikuta nikifurahia matokeo yake ingawa mwanzoni nilipaaza sauti abadilike. Namshukuru Mungu kwa kuendelea kumjengea ubabe. Sasa anaenda kuvuna!

Sina shaka na kina johnthebaptist aka bwasheeee, Pascal Mayalla na wengine wengi ambao ni wanaccm ILA kura zao hazitaenda kwa Magufuli. Hiyo ni hatua nzuri ya ushindi na bado huko mitaani.

Tukirudi kwa wanachadema sijaona na haitokaa itokee kura ya mwanachadema yeyote kwenda kwa Magufuli!

Upo uongozi wa kimsimamo unaozingatia sheria na ubabe uchwara, watanzania hawako tayari kuchagua "Ubabe uchwara, wamepitia mengi!
Mimi hapa so mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa Tanzania,ila kura yangu haiwezi kwenda kwa CCM kuanzia udiwani,ubunge au Urais.
Sikuwahi kuchagua hicho chama tangia turejee vyama Vingi 1995,nitahamasisha wengine pia wasikichague maana wamepoteza karama ya uongozi na wamepoteza dira hawafahamu tena wanatupeleka wapi.
Watanzania wenzangu,Mh.Lissu anatosha,ni kiongozi mwenye kila sifa za kuwa kiongozi bora na mzalendo.Mvumilivu na mwenye moyo wa kusamehe hata waliotaka kumfisha kimwili na kiroho.
Tusifanye makosa,propaganda nyingi zitafanywa ili kupotosha ukweli Hakuna kama Lissu.
 
Ndoto za Alinacha hizi.
Duniani humu, hakuna jambo linalokuja kwa bahati mbaya.. kila jambo linakuja kwa mpango wa aliye juu...jua hivo.. ukibisha tu, anakunyakua.. mkono wa Mungu si mchezo ndugu...
 
Kiujazacho moyo, utetezi wa kupiga vita ushoga ndiyo kichaka cha CCM Mpya.Hakuna Kamanda Shoga na hatotokea moja.
Ushoga ni ubakaji au?Kuna mwana CCM aliyelazimishwa kuwa shoga?Nenda Mahakamani unapoona wanakuchumbia bila hiari yako,acha kumhusisha Lissu na posa yako,hahusiki,jitetee mwenyewe na ukishindwa atakupa msaada wa kisheria.
Mkibanwa kwa hoja mnajitetea kwa kutumia kupinga ushoga?Hilo ndiyo linazuia Watanzania kujipatia maendeleo yao?Ni hatari kuliko umaskini unaowakabili mnaotuita wanyonge?
 
Rais Magufuli umelikoroga sasa na ulinywe tuu maana hakuna namna.

Ukitumia ubabe kwa watanzania watakupiga kwenye sanduku la kura, sisi tunasema usitumie ubabe. Tukakusihi kutoka mwaka 2016 kwamba ubabe hausaidii, tukawambia usifanye hivyo ukakaidi, sasa utapigwa! Tulikuonya usiende na njia hiyo, ukaona sisi ni vibeberu uchwara, utapigwa! Na mimi nasema wakupige tu kwenye sanduku la kura maana hakuna namna sasa! Enh, ubabe ukiutumia kwenye uongozi utapigwa kwenye kura! Na acha upigwe tu!

Kiukweli njia ya uongozi na mwenendo alioenda nao Rais Magufuli kwa hii miaka mitano ni ya hovyo sana na akirudi kwa wananchi ataona matokeo yake. Mimi binafsi nimejikuta nikifurahia matokeo yake ingawa mwanzoni nilipaaza sauti abadilike. Namshukuru Mungu kwa kuendelea kumjengea ubabe. Sasa anaenda kuvuna!

Sina shaka na kina johnthebaptist aka bwasheeee, Pascal Mayalla na wengine wengi ambao ni wanaccm ILA kura zao hazitaenda kwa Magufuli. Hiyo ni hatua nzuri ya ushindi na bado huko mitaani.

Tukirudi kwa wanachadema sijaona na haitokaa itokee kura ya mwanachadema yeyote kwenda kwa Magufuli!

Upo uongozi wa kimsimamo unaozingatia sheria na ubabe uchwara, watanzania hawako tayari kuchagua "Ubabe uchwara, wamepitia mengi!
Apigwe tu ameleta udikteta nchini apigwe.
 
  • Dislike
Reactions: UCD

Hata mwaka 2015 waliiba kura ni uchakachuaji pekee huwapa ushindi CCM kwa miaka ya karibuni CCM imepoteza mvuto hususani watumishi wa umma ambao hawana nyongeza za mishahara kwa kipindi kirefu,kuiba trilion 1.5 wakamtoa CAG kafara kuficha Aibu, uovu mwingi ikiwemo kuwabambikia kesi kesi wapinzani, hawafanyi maendeleo mda mwingi unatumika kukandamiza demokrasia kuwahujumu chadema kudhoofisha upinzani
 
Ni mpumbavu pekee anaeamini mwaka huu kuna jipya toka upinzani
Jipya ni kuzuia mbinu za uchakachuaji wizi wa kura ya Malawi Congo zambia yanakuja Tanzania
 
umeanza matusi sasa! Wewe ni nembo ya JF, ukianza matusi tutapotea wote
Bwashee hiyo ni lugha ya kisiasa tu iliwahi kutumiwa hata na Mwalimu Nyerere.

Au badala ya gololi ningesema " kichuguu" kama mzee Ruksa!
 
Gazeti moja ila style ya miandiko kati ya heading n heading inatofautiana. Lumumba huwa mnafanya ujinga kisha unawagharimu nyie wenyewe
Watetezi wa CCM mitandaoni wenguhushinda kukesha gheto kwa cyprian Musiba wakivuta Bangi huku wakikaririshwa ujinga mwingi ndiyo maana utetezi wao mitandaoni hufanana chunguza utabaini hilo
 
Huku mtazipata nyingi maana si ndo kichaga chenu Cha kutoa matusi tu baada ya kula bangi na kulewa konyagi.

JPM anakubalika Sana believe or not.
Ila si vibaya kujifurahisha na kutoa stress za hapa na pale kwa kuamini usiku kua mchana kisa una kibatari kinachokupa mwanga wa kuona tumbo lako
Anakubalika kwako wewe mnufaika wa udhalimu wake lakini kwa wapiga kura hakubaliki, maendeleo siyo Hisani za CCM, maendeleo yapi? Pesa za maendeleo katoa mfukoni mwake binafsi? Maendeleo huletwa na pesa za walipa kodi ambao wengi siyo wapenzi wa CCM.
 
Ni hesabu rahisi sana kutegemea JF kuingia ikulu! Ni kweli ni chombo cha habari ila sioni members wa kuweza kumuingiza Rais ikulu hapa! Subscriber wake bado ni wachache sana!

Wajikite zaidi kuwafikia wananchi na jamii ya chini hawa ndo wapiga kura!
Mtukufu aliwanyima uhuru wa kufanya siasa kwa miaka mitano akizani itamsaidia kuficha mapungufu yake, sasa ajiandae kwani madhaifu yake dhambi zake zote zitaanikwa live majukwaani
 
UCD
Ushoga haujawahi kuwa Tatizo kwa Tanzania kwa jamii haipendi ushoga automatic na hakuna mpinzani anahubiri ushoga acha kuwapakazia uongo wa kishamba, msaliti kivipi? Kwani bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi angekwenda ulaya? Msaliti ni wewe binafsi
 
Sina shaka na kina johnthebaptist aka bwasheeee, Pascal Mayalla na wengine wengi ambao ni wanaccm ILA kura zao hazitaenda kwa Magufuli. Hiyo ni hatua nzuri ya ushindi na bado huko mitaani.

Tukirudi kwa wanachadema sijaona na haitokaa itokee kura ya mwanachadema yeyote kwenda kwa Magufuli!

Upo uongozi wa kimsimamo unaozingatia sheria na ubabe uchwara, watanzania hawako tayari kuchagua "Ubabe uchwara, wamepitia mengi!
Hahahahaha ushindi wa rais upo JF
Kweli vijana wa ufipa tuwapime akili huu msimu
 
CCM wametumia pesa nyingi kudidimiza demokrasia badala ya maendeleo, pesa zilipotea kwenye ununuzi wa wabunge madiwani wa upinzani gharama za kurudia chaguzi ndogo kuwalipa mabilioni watengeneza propaganda akina le mutuz cyprian Musiba ni pesa nyingi mno ni pesa ambazo CCM wangezitumia kuleta maendeleo kujenga viwanda kila kata, vyuo vikuu kila wilaya, Hosptal za rufaa kubwa zenye madaktari Bingwa wa kimataifa Nchi Jirani waje kutibiwa, barabara bora vijijini kote, kujenga daraja mpaka Zanzibar na pemba, wangekuwa wamewekeza kwenye maendeleo tu wangevuna kura pasipo kutumia nguvu kubwa za kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani.
 
Mtukufu aliwanyima uhuru wa kufanya siasa kwa miaka mitano akizani itamsaidia kuficha mapungufu yake, sasa ajiandae kwani madhaifu yake dhambi zake zote zitaanikwa live majukwaani
Tatzo mnapenda kuskia kile kinachoburudisha maskio yenu.

Mmebanwa jinsi mlivyokua mnaiibia serikali pasipo kulipa Kodi.Sasa namba inasomega vizuri tu.
Wezi tu ndo wanamchukia JPM,
Ila mstaarabu na mtu asiye na doa Wala makandokando lazima amkubali JPM.
 
Hahahahaha ushindi wa rais upo JF
Kweli vijana wa ufipa tuwapime akili huu msimu
Usiidharau JF usiichukulie poa JF kumbuka hata baba yako Mtukufu haipendi anaiogopa JF ndiyo maana alimtengenezea kesi kesi boss mkuu wa JF , hakuna mtandao unasomwa na wanaccm kama JF kwani ni mtandao huru kupita yote kwa Tanzania, wewe binafsi ndiyo ukapimwe Akili kwani upeo wako Upo chini mno.
 
Tatzo mnapenda kuskia kile kinachoburudisha maskio yenu.

Mmebanwa jinsi mlivyokua mnaiibia serikali pasipo kulipa Kodi.Sasa namba inasomega vizuri tu.
Wezi tu ndo wanamchukia JPM,
Ila mstaarabu na mtu asiye na doa Wala makandokando lazima amkubali JPM.
Zipo wapi trilion 1.5 zilizomtoa kafara CAG? Kipo wapi kivuko cha Dsm Bagamoyo? Zipo wapi zile bilion 251 zilipotea wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa? CCM ni ile ile huko CCM hakuna malaika wa kumnyoshea mwingine mkono
 
Back
Top Bottom