ukweli mchungu..

ukweli mchungu..

kishumbaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,183
Reaction score
1,619
kwa haya madudu ya TFF...kuunda kamati za wanasiasa, ligi mbovu iliyojaa rushwa na kutokuunda kamati technical sportsmen wa kushauri na kubuni strategies za ushindi kwa timu yetu ya taifa...

Tusitarajie chochote zaidi ya disappointment..kufuzu AFCON kwa njia hizi ni sawa na samaki kuendesha baiskeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Presha inapanda. Mavi yameanza kufuata chupi.
Tutasikia mengi mwishoni mwa msimu wakati mwanzoni timu fulani ilipokuwa ikishinda peke yake ilikuwa kimya. Ameanza kufukuzwa mwizi kelele haziishi. Kila siku kuna jipya.
ni kama vile umetoka nje mada mkuu, au hasira zimekutoa kwenye reli?!!
 
Read between the lines.Kusudi la bandiko ni kulalama kuhusu mambo ya mpira hayaendi sawa.
Why now??
 
kwa haya madudu ya TFF...kuunda kamati za wanasiasa, ligi mbovu iliyojaa rushwa na kutokuunda kamati technical sportsmen wa kushauri na kubuni strategies za ushindi kwa timu yetu ya taifa...

Tusitarajie chochote zaidi ya disappointment..kufuzu AFCON kwa njia hizi ni sawa na samaki kuendesha baiskeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
AFCON tunafuzu
 
Back
Top Bottom