UKWELI MDOGO KUHUDU KASONGO.....

UKWELI MDOGO KUHUDU KASONGO.....

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
UKWELI MDOGO KUHUDU KASONGO.....
1737867300956.jpg

Muite Ngiri(Phacochoerus africanus) au
Warthog(tamka Wart-hog) au muite Pumba.

Wenyewe mmeamua kumuita Kasongo(si jina Rasmi)

Ni Mnyama anayepatikana kwenye Familia inayoitwa Suidae ambayo miongoni mwao Wamo Nguruwe Pori(Hogs na Pigs) na Nguruwe wa Kufugwa.

Sifa zao kuu.....

-Wana kwato zilizogawanyika kwa mbili(Artiodactyls) lakini hawacheuwi(Non Ruminant)
-Wanazaa Watoto zaidi ya Mmoja au Mapacha(mulitiparous) na ni wao pekee wenye uwezo huu miongoni mwa wanyama wenye kwako...wawe wanacheuwa(Ruminants) au hawacheuwi.
...............................................................................................

×Pumba aka Kasongo anafanya shughuli zake Mchana(Diurnal) na usiku hulala.
×Makazi yake ni kwenye Mashimo(Fossorial) ambayo hachimbi mwenyewe bali huchimbwa na Muhanga wakati akijitafutia kitoweo ambacho ni Wadudu hasa Mchwa.

Pumba anakula Nyasi na Mizizi yake na ndio maana mara nyingi huonekana anakula huku amepiga magoti.Hii humsaidia kuchimba vizuri mizizi ya Nyasi kwa kutumia Pua yake.

Kumbuka taya la juu ni refu kuliko la chini na ana shingo fupi.Asipopiga Magoti zoezi la kukata nyasi na kuchimba mizizi lingekuwa gumu zaidi.

Tofauti na Sifa nyingi za Bandia anazopewa,Ngiri ni Mnyama anayekimbia Km 55 tu kwa saa lakini sifa yake nyingine ni kusahau mapema sana pale anapokimbizwa na adui na akafanikiwa kumzidi Mbinu na Maarifa.

Pia wakati anaingia kwenye Shimo lake la kulala huwa anageuka Kinyumenyume ili kesho asubuhi asipate tabu ya kuwaza anatokaje.Yaani pakikucha anachomoka Nduki Kali kwa hiyo kama kuna adui anamsubiri Mlangoni ataishia kuona Vumbi.

Sambamba na hilo anaingia Kinyumenyume ili hata ikitokea adui akataka kujaribu kuingia kwenye Shimo lake atakutana na Silaha nzito ambazo ni Meno yake makali na Marefu.

Kumbuka.....Ngiri/Pumba harushi mateke wala hawezi kujilinda kwa namna yoyote kutokea Nyuma.Ulinzi wake uko kwenye Meno pekee.Hata Pembe kanyimwa.

Analosahau ni hili......

Wakati akiwa ametoka asubuhi kwenda kuhemea ana uhakika gani kwamba adui hajatangulia kwenye Shimo lake ili anapoingia Kinyumenyume aanzwe Makalio?

Hapo tunaiachia Asili yenyewe ndio inajua kwa nini haimpi huo ufahamu wa kukagua kwanza Makazi yake!

Ukimtazama Pumba huyu pichani utaona kuna Meno yametokezea ambayo ndio silaha yake ya pekee lakini Chini ya Macho kidogo kuna hayo Manundu marefu.

Hayo yanamuongezea sura ya kutisha zaidi hivyo Adui anaweza kuona si Meno tu bali ana silaha nyingine kama Pembe hivi kumbe hizo ni Zuga tu hazitumiki kwenye Mapambano.

Kazi zake nyingine nawaachia kina BRAZA CHOGO ,braza bonge UMUGHAKA na wenzake wanaoshinda na kukesha chaka watusaidie huwa wanaona zinatumika Vipi.

Asanteni!
 
Wanasema huyo ndo mnyama Handsome na beautiful kushinda wote!, akifuatiwa na kiboko!.
Unaambiwa akila kitu kitamu sana basi huwa anatoa chozi kuashiria utamu wa kile kitu!
1737709804276.jpg
 
Maelezo mujarabu sana.

Kuhusu hatari iliyopo kwa Kasongo kuingia kinyume nyume kwenye shimo lake pasipo kujua kama kuna adui ndani ya shimo au la, nitaeleza kama ifuatavyo:-

1. Kwanza mashimo ya kasongo huwa ni membamba na madogo kiasi cha kutoruhusu wanyama kama simba kuingia kutokana na ukubwa wa miili yao.

2. Pili, Ni wazi mnyama mwenye umbo dogo kama chui anaweza kuingia ndani ya shimo la kasongo ili kumvizia wakati kasongo anarudi kinyume nyume kwenye shimo lake, lakini kwa tabia za chui ni ngumu kuzama shimoni eti kumsubiri kasongo, hawana hiyo intellectual mechanism, kwanza ni waoga wa kuzama kwenye mashimo. Hawapendi, na hawawezi. Wao wanavizia kwa nje tu.

3. Tatu, Hata kama chui au simba angezama kwenye shimo la kasongo ili kumvizia akiwa anarudi, kutokana na udogo wa shimo sijui akimkamata atamtoaje nje maana shimo litakuwa limejaa fulu. Ni ngumu KIUWINDAJI kwasababu simba au chui hawana physical capabilities za kusukuma windo KWENDA MBELE, wao wanaburuza tu.

Hatari iliyopo kwa Kasongo kuingia shimoni kinyume nyume labda ni pale ambapo joka limezama shimoni ili kujisitiri. Atapigwa SPANA za makalio kweli kweli.... usiombe huo mchomoko, atatoka nduki spidi 287.5.

NAOMBA KUWASILISHA.
S.L.P 456 UKEREWE.
brazachogo@gmail.com

"Kasongo yeyeeee, mombali nangaa, kasongo mbona wewoo"

Cc: Kalpana Bolotoba Lamomy Mbaga Jr Extrovert mshamba_hachekwi BLAZA Evelyn Salt ChoiceVariable Lucas mwaahambwa realMamy Lucas Mwashambwa secretarybird
 
UKWELI MDOGO KUHUDU KASONGO.....
View attachment 3214348
Muite Ngiri(Phacochoerus africanus) au
Warthog(tamka Wart-hog) au muite Pumba.

Wenyewe mmeamua kumuita Kasongo(si jina Rasmi)

Ni Mnyama anayepatikana kwenye Familia inayoitwa Suidae ambayo miongoni mwao Wamo Nguruwe Pori(Hogs na Pigs) na Nguruwe wa Kufugwa.

Sifa zao kuu.....

-Wana kwato zilizogawanyika kwa mbili(Artiodactyls) lakini hawacheuwi(Non Ruminant)
-Wanazaa Watoto zaidi ya Mmoja au Mapacha(mulitiparous) na ni wao pekee wenye uwezo huu miongoni mwa wanyama wenye kwako...wawe wanacheuwa(Ruminants) au hawacheuwi.
...............................................................................................

×Pumba aka Kasongo anafanya shughuli zake Mchana(Diurnal) na usiku hulala.
×Makazi yake ni kwenye Mashimo(Fossorial) ambayo hachimbi mwenyewe bali huchimbwa na Muhanga wakati akijitafutia kitoweo ambacho ni Wadudu hasa Mchwa.

Pumba anakula Nyasi na Mizizi yake na ndio maana mara nyingi huonekana anakula huku amepiga magoti.Hii humsaidia kuchimba vizuri mizizi ya Nyasi kwa kutumia Pua yake.

Kumbuka taya la juu ni refu kuliko la chini na ana shingo fupi.Asipopiga Magoti zoezi la kukata nyasi na kuchimba mizizi lingekuwa gumu zaidi.

Tofauti na Sifa nyingi za Bandia anazopewa,Ngiri ni Mnyama anayekimbia Km 55 tu kwa saa lakini sifa yake nyingine ni kusahamu mapema sana pale anapokimbizwa na adui na akafanikiwa kumzidi Mbinu na Maarifa.

👏👏👏
 
Sifa yake muhimu uliyosahau kuiandika ni namna alivyoumbwa na kunyimwa kumbumbu.

Akikumbana na mkasa wa kuhatarisha maisha yake na akasevu, dakika5 ni nyingi mno, anakuwa keshasahau yaliyopita na kuendelea na shughuli zake za kusaka riziki hata kama adui yake hajafika mbali na kutokomea.
 
Hii niemeiwndika mkuu
 
Maelezo mujarabu sana.

Kuhusu hatari iliyopo kwa Kasongo kuingia kinyume nyume kwenye shimo lake pasipo kujua kama kuna adui ndani ya shimo au la, nitaeleza kama ifuatavyo:-

1. Kwanza mashimo ya kasongo huwa ni membamba na madogo kiasi cha kutoruhusu wanyama kama simba kuingia kutokana na ukubwa wa miili yao.

2. Pili, Ni wazi mnyama mwenye umbo dogo kama chui anaweza kuingia ndani ya shimo la kasongo ili kumvizia wakati kasongo anarudi kinyume nyume kwenye shimo lake, lakini kwa tabia za chui ni ngumu kuzama shimoni eti kumsubiri kasongo, hawana hiyo intellectual mechanism, kwanza ni waoga wa kuzama kwenye mashimo. Hawapendi, na hawawezi. Wao wanavizia kwa nje tu.

3. Tatu, Hata kama chui au simba angezama kwenye shimo la kasongo ili kumvizia akiwa anarudi, kutokana na udogo wa shimo sijui akimkamata atamtoaje nje maana shimo litakuwa limejaa fulu. Ni ngumu KIUWINDAJI kwasababu simba au chui hawana physical capabilities za kusukuma windo KWENDA MBELE, wao wanaburuza tu.

Hatari iliyopo kwa Kasongo kuingia shimoni kinyume nyume labda ni pale ambapo joka limezama shimoni ili kujisitiri. Atapigwa SPANA za makalio kweli kweli.... usiombe huo mchomoko, atatoka nduki spidi 287.5.

NAOMBA KUWASILISHA.
S.L.P 456 UKEREWE.
brazachogo@gmail.com

"Kasongo yeyeeee, mombali nangaa, kasongo mbona wewoo"

Cc: Kalpana Bolotoba Lamomy Mbaga Jr Extrovert mshamba_hachekwi BLAZA Evelyn Salt ChoiceVariable Lucas mwaahambwa realMamy Lucas Mwashambwa secretarybird
😂😂😂 Umetisha ndo mana niliku tagg
 
Umeua mkuu😂
 
Back
Top Bottom