Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
makelele tupu wimbo una fujo nyingiMalaika ile na Morgan Heritage ,ule mkwaju hatari.
Tangu lini msukule wa Diamond ukawa mtu huru.
Hiyo Album zaidi ya 92% ni HITS !
= = =
Ukishakuwa mfuasi kindakindani unakuwa kama taahira. Ni Sawa na shabiki lialia wa simba aisifie Yanga.
Wewe Juzi hapa ulikuwa unaponda SHOW ya BURNABOY aliyofanya Dar ( Ukiangalia sababu kubwa, eti ana ukaribu na Harmonize )
No wonder !
Kila msanii anaeonesha juhudi ukiona anamtishia Diamond unaanzisha THREADS za kumponda humu.
Ukianza na Aslay, Darassa, Mavocco na sasa Unapambana na Harmonize.
( Fukueni Threads za huyu mtu )
Kuweni Huru, Mnaabudu Watu Mpaka Mnakera.
Hapa umedhihirisha kuwa una nongwa imekukaba kwenye koo.makelele tupu wimbo una fujo nyingi
Haha watu mna maneno balaa😁😁😁
Kwa watu tusiokuwa biased,hii album ya Kondeboy ni ya motoNilimdaharau sana Harmo..Lakini kwa hii Album nimemuappreciate
Kitu kizuri kipewe sifa, hii kauaKwa watu tusiokuwa biased,hii album ya Kondeboy ni ya moto
Naistream hapa kupitia Deezer,aisee ya moto sana
Malaika ft Morgan Heritage[emoji91][emoji91][emoji91]