Ukweli na usemwe: Chemistry ya Diamond na Harmonize haijapata mpinzani

Ukweli na usemwe: Chemistry ya Diamond na Harmonize haijapata mpinzani

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Nimeiskiliza album yote ya Harmonize kusema ukweli kwangu mimi binafsi nyimbo nilizozielewa ni Bedroom (licha ya vionjo vya beat kufanana na Teamo wa Ray), Good, na Mpaka Kesho ila nilichogundua nyimbo zote alizoshirikisha wasanii wengine ni za kawaida sana na haziwezi kuwa hit ukitofautisha na zile ambazo amewahi kumshirikisha Diamond - Bado, Kainama na Kwangaru.

hapa ndipo nashawishika kusema bado hajatokea msanii wa kubeat down chemistry ya Diamond na Harmonize.

video-mp4-harmonize-kwangwaru-ft-diamond-platnumz.jpg
 
Nadhani sio harmonize Tu pekeake wasanii wengi wakifanya kolabo na diamond inakaa poa sana
 
Tangu lini msukule wa Diamond ukawa mtu huru.

Hiyo Album zaidi ya 92% ni HITS !

= = =

Ukishakuwa mfuasi kindakindani unakuwa kama taahira. Ni Sawa na shabiki lialia wa simba aisifie Yanga.

Wewe Juzi hapa ulikuwa unaponda SHOW ya BURNABOY aliyofanya Dar ( Ukiangalia sababu kubwa, eti ana ukaribu na Harmonize )

No wonder !

Kila msanii anaeonesha juhudi ukiona anamtishia Diamond unaanzisha THREADS za kumponda humu.

Ukianza na Aslay, Darassa, Mavocco na sasa Unapambana na Harmonize.

( Fukueni Threads za huyu mtu )

Kuweni Huru, Mnaabudu Watu Mpaka Mnakera.
 
Kuna "Shabiki na Mpuuzi" Hbaba alisemaga

Kwa watu tusiokuwa biased,hii album ya Kondeboy ni ya moto

Naistream hapa kupitia Deezer,aisee ya moto sana

Malaika ft Morgan Heritage[emoji91][emoji91][emoji91]
Kitu kizuri kipewe sifa, hii kaua
 
Back
Top Bottom