Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Nimeiskiliza album yote ya Harmonize kusema ukweli kwangu mimi binafsi nyimbo nilizozielewa ni Bedroom (licha ya vionjo vya beat kufanana na Teamo wa Ray), Good, na Mpaka Kesho ila nilichogundua nyimbo zote alizoshirikisha wasanii wengine ni za kawaida sana na haziwezi kuwa hit ukitofautisha na zile ambazo amewahi kumshirikisha Diamond - Bado, Kainama na Kwangaru.
hapa ndipo nashawishika kusema bado hajatokea msanii wa kubeat down chemistry ya Diamond na Harmonize.
hapa ndipo nashawishika kusema bado hajatokea msanii wa kubeat down chemistry ya Diamond na Harmonize.