Ukweli na usemwe, simba msimu huu nafasi ya tatu kwenye ligi inawahusu

Ukweli na usemwe, simba msimu huu nafasi ya tatu kwenye ligi inawahusu

buhoro ksl

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2019
Posts
248
Reaction score
246
Makolo tangu mechi ya kigoma na yanga hawawezi kushinda mpaka refa afanye mazingira ya kuwatoa wapinzani kwenye mchezo kwa kutoa kadi nyekundu, Makolo hawaamini kama timu yao Haina ubora tena wamebaki ni watu wa malalamiko.

Niwambie tu enyi makolokolo a.k.a mbumbumbu fc kuwa kama Dodma FC wasingepata red card basi jana kingeumana na pamoja na refa kuwabeba tena mkiwa 11 na wenzenu wakiwa 9 mkaambulia goli Moja tu, hiyo ni kwa Makolo wote.

Sasa imebaki ni kujifariji eti mnakamiwa, jengeni Timu lenu bovu maana kila timu itashinda mechi zake.
 
*najua mnajua, lakini acha niwakumbushe.

Hivi mnajua kama kidato cha nne wanaenda kufanya mitihani yao ya mwisho mwezi ujao wakiwa na kumbukumbu ya kutoshuhudia yanga akiwa bingwa wa ligi kuu kwa miaka yote tangu wameingia sekondari.

Inasikitisha sana 😀😀😀😀😀
 
Kwani kuna uwezekano wa hilo swali kutoka ?? Au kuna point inahitaji mfano kama huo??? Kama noo bc hoja yako haina mantiki.
 
Kwani kuna uwezekano wa hilo swali kutoka ?? Au kuna point inahitaji mfano kama huo??? Kama noo bc hoja yako haina mantiki.
Kaaa utulie tuli ewe utopolo
 
Makolo tangu mechi ya kigoma na yanga hawawezi kushinda mpaka refa afanye mazingira ya kuwatoa wapinzani kwenye mchezo kwa kutoa kadi nyekundu...
Kwa lawama hizi walizoanza mapema hakika wana hali Tete hata nafasi ya tatu umewapendelea..
 
😁😁😁
Aynnm.jpg
 
Back
Top Bottom