buhoro ksl
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 248
- 246
Makolo tangu mechi ya kigoma na yanga hawawezi kushinda mpaka refa afanye mazingira ya kuwatoa wapinzani kwenye mchezo kwa kutoa kadi nyekundu, Makolo hawaamini kama timu yao Haina ubora tena wamebaki ni watu wa malalamiko.
Niwambie tu enyi makolokolo a.k.a mbumbumbu fc kuwa kama Dodma FC wasingepata red card basi jana kingeumana na pamoja na refa kuwabeba tena mkiwa 11 na wenzenu wakiwa 9 mkaambulia goli Moja tu, hiyo ni kwa Makolo wote.
Sasa imebaki ni kujifariji eti mnakamiwa, jengeni Timu lenu bovu maana kila timu itashinda mechi zake.