R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,815 Reaction score 103,955 Dec 21, 2025 #1 Proof ni hii moja tu inatosha kudhihirisha kuwa mahakama iko compromised. MASAJU WAELEZE WATANZANIA, NINI KIMESIMAMISHA KESI YA LISU ISIENDELEE?
Proof ni hii moja tu inatosha kudhihirisha kuwa mahakama iko compromised. MASAJU WAELEZE WATANZANIA, NINI KIMESIMAMISHA KESI YA LISU ISIENDELEE?
February Makamba JF-Expert Member Joined Jan 31, 2020 Posts 2,204 Reaction score 3,060 Dec 21, 2025 #2 Dah bora uzaliwe north Korea kuliko Bongoland
C Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 14,424 Reaction score 30,799 Dec 21, 2025 #3 Mahakama bongo ni kinyago walichochonga CCM. Ni kinyago chao, hawakiogopi. Mahakama bongo hii ni "Mwanasesele" wa Serikali. Wap ndio wanakichezesha kinyago hicho. Nakumbuka zamaniN kulikuwa na "ngongoti" au "kijeba" au "kitembelea miti" watu wanakipitisha mitaani watoto wanakimbia. 😊
Mahakama bongo ni kinyago walichochonga CCM. Ni kinyago chao, hawakiogopi. Mahakama bongo hii ni "Mwanasesele" wa Serikali. Wap ndio wanakichezesha kinyago hicho. Nakumbuka zamaniN kulikuwa na "ngongoti" au "kijeba" au "kitembelea miti" watu wanakipitisha mitaani watoto wanakimbia. 😊