Ukweli na uwazi wa serikali ya Rais Samia umeleta utulivu na Amani, Kuaminika na Kuungwa Mkono na watanzania

Wewe Lukasi hivi ni mwaka gani ulisikia Tanzsnia kuna vita au watu wanakimbiakimbia, siku zote watu wametulia tuli kama maji ya mtungi.
 
Hivi wewe ni mzima kweli kichwani! Hata kama ni chawa huwezi kuwa hivi! Huu uongozi wa kindezi uliofeli ndio kila leo unautungia thread!? Stupid!
[emoji38] [emoji38] Dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…