Ukweli ni huu, Feitoto atajiunga na Yanga Kombe la Mapinduzi

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Wengi wamechanganyikiwa baada ya kumuona Feitoto akichezea JKU, ukweli ni kuwa kiungo huyo atajiunga na Yanga wakati wa kombe la mapinduzi.

Kwa sasa anafanya mazoezi na JKU ili kujiweka fiti, pia Feitoto na uongozi wameona ni vyema wasubiri kombe la mapinduzi kutokana na mihemko ya mashabiki wajinga wajinga waliopo katika mchezo wa soka hapa bongo.

Kwahiyo Yanga ondoeni hofu, aliyosema albino kuwa haendi kokote ni ya kweli, Yanga akimaliza kucheza na Mtibwa wanaelekea Zanzibar kucheza kombe la mapinduzi na huko ndiko Feitoto atakaporudi rasmi Yanga.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Maana yake, Yanga hawatampa mkataba mpya baada ya huu wasasa kwisha. Watu wameshaharibu maisha ya mchezaji.
Nimemsikia leo Hersi akisema Feisal yupo Yanga na wanatazamia kuboresha mkataba wake

Feisal hakupewa malipo yanalolingana na thamani yake, management ya Yanga ilichukulia poa swala hilo kwasababu ilimu underestimate Feisal kuwa hana alternative.

Kitu ambacho Feisal amekifanya kilipaswa kuwa uhamsho kwa wachezaji wengine ambao wana vilio vya ndani wameviweka sirini.

Hili sakata kama likienda mwisho na kuamuliwa Feisal arudi Yanga kwa kupewa kile alichokitaka, for me hiyo itathibitisha Feisal ni mkubwa kuliko Yanga.
 
Mwakalebela alisema kesi ya morisson mmeimaliza mapema.
 
Hiyo inategemea na wewe umesoma paragraph ya ngapi kwenye post yangu
Rais wa mabingwa wa makombe yote nchini Tanzania Hajasema wanamuongezea mshahara Feitoto kwani tayari ana mkataba halali unaisha june 2024
 
Hizi story tushazichoka sasa
 
Angeondoka angekuwa mkubwa,mtoto,wazazi wamemlazimisha kurudi home.ataboreshewa kulingana na performance yake ila hizo ahadi za Azam aziache hukohuko Kama ana kaukukubwa akaripoti chamazi.mpira biashara Yanga wanataka money nenda Chamazi piga picha sign mkataba display.
 
Kama ni mkubwa kuliko yanga Azam wameshindwa nini kumtambulisha mpaka sasa? Unafikiri mambo yanakwenda kienyeji ivyo, Azam kama wako sahihi na mchezaji kama yuko sahihi wangekuwa washatambulishana wamekwama wapi sasa
 
Endeleeni na ndoto za wajinga,imeisha amefuata maisha yake
 
Uongo mwingi sana . Eng. Hersi jana kaibuka huko kuzima habari ya Fei kuoneka Znz na JKU.

Mara ooh! Yupo kambini. Ukweli ni kwamba Fei amekomaa status yake iheshimiwe.
Mahojiano ya Hersi yamefanyika Jumatano kipindi kimerushwa Alhamis, Feitoto amechezea JKU mechi ya kirafiki Alhamis Asubuhi Kwaiyo hakuna mwingiliano wowote.
Kwamujibu wa Hersi, Feitoto bado yupo na hakuna mpango wowote wa kumwongezea mkataba mpaka mwisho ni mwa mkataba wake mwaka 2024.
Sasa kama mchezaji anaona Hana mkataba na Yanga kwasasa ndio muda muafaka wa timu nyingine kumchukua.
 
Kama ni mkubwa kuliko yanga Azam wameshindwa nini kumtambulisha mpaka sasa? Unafikiri mambo yanakwenda kienyeji ivyo, Azam kama wako sahihi na mchezaji kama yuko sahihi wangekuwa washatambulishana wamekwama wapi sasa
Azam imeanza kuwa timu ya kihuni. Njia waliyotumia kutaka kumsajili Fei Toto ni ya kipuuzi.
Maana hata wao wenyewe kuna wachezaji wanawalipa mishahara midogo kuliko wengine. Sasa iweje wajione kama mkombozi kwa Fei Toto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…