Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Wengi wamechanganyikiwa baada ya kumuona Feitoto akichezea JKU, ukweli ni kuwa kiungo huyo atajiunga na Yanga wakati wa kombe la mapinduzi.
Kwa sasa anafanya mazoezi na JKU ili kujiweka fiti, pia Feitoto na uongozi wameona ni vyema wasubiri kombe la mapinduzi kutokana na mihemko ya mashabiki wajinga wajinga waliopo katika mchezo wa soka hapa bongo.
Kwahiyo Yanga ondoeni hofu, aliyosema albino kuwa haendi kokote ni ya kweli, Yanga akimaliza kucheza na Mtibwa wanaelekea Zanzibar kucheza kombe la mapinduzi na huko ndiko Feitoto atakaporudi rasmi Yanga.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app