Nimemsikia leo Hersi akisema Feisal yupo Yanga na wanatazamia kuboresha mkataba wake
Feisal hakupewa malipo yanalolingana na thamani yake, management ya Yanga ilichukulia poa swala hilo kwasababu ilimu underestimate Feisal kuwa hana alternative.
Kitu ambacho Feisal amekifanya kilipaswa kuwa uhamsho kwa wachezaji wengine ambao wana vilio vya ndani wameviweka sirini.
Hili sakata kama likienda mwisho na kuamuliwa Feisal arudi Yanga kwa kupewa kile alichokitaka, for me hiyo itathibitisha Feisal ni mkubwa kuliko Yanga.