Ukweli ni huu, Feitoto atajiunga na Yanga Kombe la Mapinduzi

Ukweli ni huu, Feitoto atajiunga na Yanga Kombe la Mapinduzi

Nimemsikia leo Hersi akisema Feisal yupo Yanga na wanatazamia kuboresha mkataba wake

Feisal hakupewa malipo yanalolingana na thamani yake, management ya Yanga ilichukulia poa swala hilo kwasababu ilimu underestimate Feisal kuwa hana alternative.

Kitu ambacho Feisal amekifanya kilipaswa kuwa uhamsho kwa wachezaji wengine ambao wana vilio vya ndani wameviweka sirini.

Hili sakata kama likienda mwisho na kuamuliwa Feisal arudi Yanga kwa kupewa kile alichokitaka, for me hiyo itathibitisha Feisal ni mkubwa kuliko Yanga.
Alilazimishwa kusaini kama aliona halipwi kulingana na thamani yake
 
Kwamujibu wa Hersi, Feitoto bado yupo na hakuna mpango wowote wa kumwongezea mkataba mpaka mwisho ni mwa mkataba wake mwaka 2024.
Sasa kama mchezaji anaona Hana mkataba na Yanga kwasasa ndio muda muafaka wa timu nyingine kumchukua.
Kama haya yamesemwa na Hersi, basi ni katika jitihada ya kuweka mambo sawa tu ili wachezaji wengine wasiige alichofanya dogo au kuepusha kupunguza morali ya wachezaji wengine.

Lakini under carpet lazima wamboreshee maslahi yake.
 
Rais wa mabingwa wa makombe yote nchini Tanzania Hajasema wanamuongezea mshahara Feitoto kwani tayari ana mkataba halali unaisha june 2024
Kwanza yale mahojiano ni ya wiki mbili zilizopita kabla Feisal hajatimka

Azam wameweka ufafanuzi hapa unaweza ukaona

Screenshot_20221230-125709.png

Kwa maana hiyo ishu ya Feisal bado ni kipengele
 
Kama ni mkubwa kuliko yanga Azam wameshindwa nini kumtambulisha mpaka sasa? Unafikiri mambo yanakwenda kienyeji ivyo, Azam kama wako sahihi na mchezaji kama yuko sahihi wangekuwa washatambulishana wamekwama wapi sasa
Lini ulisikia Azam mwenyewe akisema anamtaka Feisal?
 
Mahojiano ya Hersi yamefanyika Jumatano kipindi kimerushwa Alhamis, Feitoto amechezea JKU mechi ya kirafiki Alhamis Asubuhi Kwaiyo hakuna mwingiliano wowote.
Kwamujibu wa Hersi, Feitoto bado yupo na hakuna mpango wowote wa kumwongezea mkataba mpaka mwisho ni mwa mkataba wake mwaka 2024.
Sasa kama mchezaji anaona Hana mkataba na Yanga kwasasa ndio muda muafaka wa timu nyingine kumchukua.
Okey
 
Lini ulisikia Azam mwenyewe akisema anamtaka Feisal?
Sasa mnapayuka nini, iyo timu inayomtaka imtangaze si mnasema yuko sahihi kwa alichokifanya kwanini wamegwaya mpaka sasa kufanya ivyo
 
Sasa mnapayuka nini, iyo timu inayomtaka imtangaze si mnasema yuko sahihi kwa alichokifanya kwanini wamegwaya mpaka sasa kufanya ivyo
. Yeye alichofanya ni kununua mkataba hayo anakwenda wapi ni Siri yake
JamiiForums-369227019.jpg
 
Back
Top Bottom