Alilazimishwa kusaini kama aliona halipwi kulingana na thamani yakeNimemsikia leo Hersi akisema Feisal yupo Yanga na wanatazamia kuboresha mkataba wake
Feisal hakupewa malipo yanalolingana na thamani yake, management ya Yanga ilichukulia poa swala hilo kwasababu ilimu underestimate Feisal kuwa hana alternative.
Kitu ambacho Feisal amekifanya kilipaswa kuwa uhamsho kwa wachezaji wengine ambao wana vilio vya ndani wameviweka sirini.
Hili sakata kama likienda mwisho na kuamuliwa Feisal arudi Yanga kwa kupewa kile alichokitaka, for me hiyo itathibitisha Feisal ni mkubwa kuliko Yanga.
Kama haya yamesemwa na Hersi, basi ni katika jitihada ya kuweka mambo sawa tu ili wachezaji wengine wasiige alichofanya dogo au kuepusha kupunguza morali ya wachezaji wengine.Kwamujibu wa Hersi, Feitoto bado yupo na hakuna mpango wowote wa kumwongezea mkataba mpaka mwisho ni mwa mkataba wake mwaka 2024.
Sasa kama mchezaji anaona Hana mkataba na Yanga kwasasa ndio muda muafaka wa timu nyingine kumchukua.
Kwanza yale mahojiano ni ya wiki mbili zilizopita kabla Feisal hajatimkaRais wa mabingwa wa makombe yote nchini Tanzania Hajasema wanamuongezea mshahara Feitoto kwani tayari ana mkataba halali unaisha june 2024
Lini ulisikia Azam mwenyewe akisema anamtaka Feisal?Kama ni mkubwa kuliko yanga Azam wameshindwa nini kumtambulisha mpaka sasa? Unafikiri mambo yanakwenda kienyeji ivyo, Azam kama wako sahihi na mchezaji kama yuko sahihi wangekuwa washatambulishana wamekwama wapi sasa
OkeyMahojiano ya Hersi yamefanyika Jumatano kipindi kimerushwa Alhamis, Feitoto amechezea JKU mechi ya kirafiki Alhamis Asubuhi Kwaiyo hakuna mwingiliano wowote.
Kwamujibu wa Hersi, Feitoto bado yupo na hakuna mpango wowote wa kumwongezea mkataba mpaka mwisho ni mwa mkataba wake mwaka 2024.
Sasa kama mchezaji anaona Hana mkataba na Yanga kwasasa ndio muda muafaka wa timu nyingine kumchukua.
Sasa mnapayuka nini, iyo timu inayomtaka imtangaze si mnasema yuko sahihi kwa alichokifanya kwanini wamegwaya mpaka sasa kufanya ivyoLini ulisikia Azam mwenyewe akisema anamtaka Feisal?
. Yeye alichofanya ni kununua mkataba hayo anakwenda wapi ni Siri yakeSasa mnapayuka nini, iyo timu inayomtaka imtangaze si mnasema yuko sahihi kwa alichokifanya kwanini wamegwaya mpaka sasa kufanya ivyo