Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Kashishi yetu ,mbona wachangiaji wengi ni sawa na wewe ?ina maana wewe ni wa ovyo ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binadamu hawezi kuujua ukweli. Binadamu huishi kwa theories(nadharia) na principles(kanuni). Ukweli upo tu kwenye falsafa. Falsafa ya ukweli itakupeleka kwenye mamlaka ya mwisho ambayo ni Mungu. Hakuna binadamu anayeweza kuwa na hakika ya asilimia mia moja kuwa anasimamia ukweli. Ila binadamu anapojiweka chini ya mamlaka, ataishi kwa kufuata nadharia na kanuni za ile mamlaka, nayo kwake ndiyo itakuwa kweli. Hii inapelekea hitimisho kuwa hakuna universal truth kwa binadamu. Universal truth exists only under authority external to human beings.Ukweli ni mantiki inayokubalika na wengi.
Bwana YESU hakumjibu pilato kwa sababu moja tuu ni sawa na ww unamjua raisi wa nchi afu siku unaonana nae sehemu ana kwa ana unaanza kumuuliza huyo raisi kuwa raisi n nani ndivo ilivotokea kwa pilato kuuliza kweli ni nini wakati ukwel n kuwa KWELI alikuwa amesimama mbele yake katika mahubiri yake alisema waziwazi YEYE NDIYE NJIA, KWELI NA UZIMAHabari wana JF
Wakati tunaelekea mwisho wa mwaka kwenye msimu wa sikukuu nimejaribu kutafakari peke yangu hili jambo tajwa hapo juu (ukweli ni kitu gani?) bila mafanikio. Msingi wa tafakari yangu unatokana na maandiko matakatifu (biblia agano jipya) ambapo Yesu aliulizwa na Pilato je ukweli ni kitu gani? Bahati mbaya muandishi hakueleza kama Yesu alijibu na jibu lake lilikua ni lipi? (kwa wale wenye uelewa zaidi ya huu watanijuza pia).
Kwa kutumia uwezo wangu nimejaribu kujiuliza hili swala muda mrefu sana nisipate jibu lake. Mara nyingine utaona watu wanabishana na kila mmoja ana amini anachosema ni cha ukweli, sasa hapo shida ndipo inapoanza ukweli ni upi sasa?
Tafsiri ya kwanza inaweza ikawa, ukweli unaweza ukawa ni maneno au jambo analolisema mtu amabalo analoliamini na yuko tayari kulishuhudia lakini linaweza likawa sahihi au siyo sahihi. Ni nini basi kinachoamua usahiii wa jambo? mara nyingi ni imani (dini au mila), mapokeo, maono (jinsi lilivyoonwa) na mazoea. Hali kadhalika imani, mapokeo, maono na mazoea yanaweza yakawa na tafsiri tofauti kati ya waumini wa imani moja na nyingine, au jamii moja na nyingine au mtazamaji mmoja na mwingine.
Kwa maana hiyo basi jambo moja linaweza likawa na tafsiri zaidi ya moja kulingana na imani, maono, mapokeo na mazoea. Kwa mustakabali huo basi, ukweli ni kitu gani? je kuna ukweli mmoja (universal truth) au kuna various versions of truths? Naomba kujuzwa.
Ukweli ni kile ambacho kimetendeka au hakikutendeka ambacho kinyume chake ni uongo. Uongo ni kile ambacho hakikutendekea au kile ambacho kimetendeka. Ukweli ni kinyume cha uongoHabari wana JF
Wakati tunaelekea mwisho wa mwaka kwenye msimu wa sikukuu nimejaribu kutafakari peke yangu hili jambo tajwa hapo juu (ukweli ni kitu gani?) bila mafanikio. Msingi wa tafakari yangu unatokana na maandiko matakatifu (biblia agano jipya) ambapo Yesu aliulizwa na Pilato je ukweli ni kitu gani? Bahati mbaya muandishi hakueleza kama Yesu alijibu na jibu lake lilikua ni lipi? (kwa wale wenye uelewa zaidi ya huu watanijuza pia).
Kwa kutumia uwezo wangu nimejaribu kujiuliza hili swala muda mrefu sana nisipate jibu lake. Mara nyingine utaona watu wanabishana na kila mmoja ana amini anachosema ni cha ukweli, sasa hapo shida ndipo inapoanza ukweli ni upi sasa?
Tafsiri ya kwanza inaweza ikawa, ukweli unaweza ukawa ni maneno au jambo analolisema mtu amabalo analoliamini na yuko tayari kulishuhudia lakini linaweza likawa sahihi au siyo sahihi. Ni nini basi kinachoamua usahiii wa jambo? mara nyingi ni imani (dini au mila), mapokeo, maono (jinsi lilivyoonwa) na mazoea. Hali kadhalika imani, mapokeo, maono na mazoea yanaweza yakawa na tafsiri tofauti kati ya waumini wa imani moja na nyingine, au jamii moja na nyingine au mtazamaji mmoja na mwingine.
Kwa maana hiyo basi jambo moja linaweza likawa na tafsiri zaidi ya moja kulingana na imani, maono, mapokeo na mazoea. Kwa mustakabali huo basi, ukweli ni kitu gani? je kuna ukweli mmoja (universal truth) au kuna various versions of truths? Naomba kujuzwa.
Mhnn..!!! Wakikutana waongo watupu watakubaliana na ùwongoUkweli ni mantiki inayokubalika na wengi.
Habari wana JF
Wakati tunaelekea mwisho wa mwaka kwenye msimu wa sikukuu nimejaribu kutafakari peke yangu hili jambo tajwa hapo juu (ukweli ni kitu gani?) bila mafanikio. Msingi wa tafakari yangu unatokana na maandiko matakatifu (biblia agano jipya) ambapo Yesu aliulizwa na Pilato je ukweli ni kitu gani? Bahati mbaya muandishi hakueleza kama Yesu alijibu na jibu lake lilikua ni lipi? (kwa wale wenye uelewa zaidi ya huu watanijuza pia).
Kwa kutumia uwezo wangu nimejaribu kujiuliza hili swala muda mrefu sana nisipate jibu lake. Mara nyingine utaona watu wanabishana na kila mmoja ana amini anachosema ni cha ukweli, sasa hapo shida ndipo inapoanza ukweli ni upi sasa?
Tafsiri ya kwanza inaweza ikawa, ukweli unaweza ukawa ni maneno au jambo analolisema mtu amabalo analoliamini na yuko tayari kulishuhudia lakini linaweza likawa sahihi au siyo sahihi. Ni nini basi kinachoamua usahiii wa jambo? mara nyingi ni imani (dini au mila), mapokeo, maono (jinsi lilivyoonwa) na mazoea. Hali kadhalika imani, mapokeo, maono na mazoea yanaweza yakawa na tafsiri tofauti kati ya waumini wa imani moja na nyingine, au jamii moja na nyingine au mtazamaji mmoja na mwingine.
Kwa maana hiyo basi jambo moja linaweza likawa na tafsiri zaidi ya moja kulingana na imani, maono, mapokeo na mazoea. Kwa mustakabali huo basi, ukweli ni kitu gani? je kuna ukweli mmoja (universal truth) au kuna various versions of truths? YOUR TRUTH, MY TRUTH AND THE TRUTH, Naomba kuju

Subjective and objective truth
Kuna kweli za aina mbili...ukweli unaoujua wewe pengine kutokana na vyanzo ulivyovitaja hapo juu na ukweli unaotokana na uhalisia wa jambo husika.Habari wana JF
Wakati tunaelekea mwisho wa mwaka kwenye msimu wa sikukuu nimejaribu kutafakari peke yangu hili jambo tajwa hapo juu (ukweli ni kitu gani?) bila mafanikio. Msingi wa tafakari yangu unatokana na maandiko matakatifu (biblia agano jipya) ambapo Yesu aliulizwa na Pilato je ukweli ni kitu gani? Bahati mbaya muandishi hakueleza kama Yesu alijibu na jibu lake lilikua ni lipi? (kwa wale wenye uelewa zaidi ya huu watanijuza pia).
Kwa kutumia uwezo wangu nimejaribu kujiuliza hili swala muda mrefu sana nisipate jibu lake. Mara nyingine utaona watu wanabishana na kila mmoja ana amini anachosema ni cha ukweli, sasa hapo shida ndipo inapoanza ukweli ni upi sasa?
Tafsiri ya kwanza inaweza ikawa, ukweli unaweza ukawa ni maneno au jambo analolisema mtu amabalo analoliamini na yuko tayari kulishuhudia lakini linaweza likawa sahihi au siyo sahihi. Ni nini basi kinachoamua usahiii wa jambo? mara nyingi ni imani (dini au mila), mapokeo, maono (jinsi lilivyoonwa) na mazoea. Hali kadhalika imani, mapokeo, maono na mazoea yanaweza yakawa na tafsiri tofauti kati ya waumini wa imani moja na nyingine, au jamii moja na nyingine au mtazamaji mmoja na mwingine.
Kwa maana hiyo basi jambo moja linaweza likawa na tafsiri zaidi ya moja kulingana na imani, maono, mapokeo na mazoea. Kwa mustakabali huo basi, ukweli ni kitu gani? je kuna ukweli mmoja (universal truth) au kuna various versions of truths? YOUR TRUTH, MY TRUTH AND THE TRUTH, Naomba kujuzwa.
Your version of the truth, my version of the truth and the truthKuna kweli za aina mbili...ukweli unaoujua wewe pengine kutokana na vyanzo ulivyovitaja hapo juu na ukweli unaotokana na uhalisia wa jambo husika.