Horoya fan
Member
- Mar 13, 2023
- 79
- 253
Mimi nikiwa shabiki wa damu wa Horoya Football Club nakiri hadharani kuwa hapa hakuna timu. Japo tupo klabu bingwa lakini klabu yetu imejichokea sana, hatuna wachezaji wowote wa maana wanaojua hata kupiga pasi mbili tatu, tumejaza wachezaji warefu wasiojua kucheza mpira.
Niwaambie tu Simba kuwa kutufunga sisi goli 7 kusiwafanye wakajiona Bora, kwani timu zote zilizoingia robo fainali zipo level moja na Raja kwaio wajiandae nao kupokea mvua ya magoli.
Niwaambie tu Simba kuwa kutufunga sisi goli 7 kusiwafanye wakajiona Bora, kwani timu zote zilizoingia robo fainali zipo level moja na Raja kwaio wajiandae nao kupokea mvua ya magoli.