Ukweli ni kuwa Urusi haichukiwi na nchi nyingi katika mgogoro huu

Ukweli ni kuwa Urusi haichukiwi na nchi nyingi katika mgogoro huu

Mpka sometime najiuliza Warusi wamewafanya nini waingereza Kwa sababu Naona waingereza wanawachukia Sana warusi.
Mrusi alishampa sumu polonium xKGB double agent fulani, ndani ya UK, London, aliiabisha Sana Intelligensia ya UK, jamaa wakataka muhusika akashtakiwe UK, Putin akasema kamwe hiyo haitokuja kutokea! Na hakuwapa ushirikiano! Pia oligarchy Warusi wana mihela na property UK, anatamani kuzitaifisha lakini hawezi! Sheria zake UK na EU zitamlipisha damages za kufa mtu!

Yule jamaa alikufa kifo cha maumivu makali Sana. Ilikuwa radioactive poisoning!
 
Ahaa sawa
 
Germany na France wamegoma kuweka vikwazo zaidi maana vinawaumiza wananchi wao.Hata Nato wenyewe leo wamekataa kuisaidia ukraine kuweka no flying zone hawataki vita.Sasa mashabiki wa Western wanavyoelezea humu JF eti Russia kashindwa vita.Zelensky si angeacha kuomba misaada ya kijeshi.Russia wanapiga kimya kimya tu.
Mi Russia namkubali ye haongei ni Vitendo tu. US yeye ni kuimba taarabu tu
 
Na vipi kuhusu nchi zinazoichukia UKRAINE?
Wala hakuna nchi zinazoichukia Ukraine,hata Urusi haiichukii Ukraine,Ukraine imeponzwa na Marekani.
Kumkaribisha Adui nyumbani kwake ndio kosa la Ukra.
Ukra na Russia ni ndugu.
 
Back
Top Bottom