passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Mpka sometime najiuliza Warusi wamewafanya nini waingereza Kwa sababu Naona waingereza wanawachukia Sana warusi.Ila BORIS Johnson anaonekana kuwa na chuki Sana na RUSSIA...
Nadhani kambi ya other EU members wanamuona kama mkono wa US
Mrusi alishampa sumu polonium xKGB double agent fulani, ndani ya UK, London, aliiabisha Sana Intelligensia ya UK, jamaa wakataka muhusika akashtakiwe UK, Putin akasema kamwe hiyo haitokuja kutokea! Na hakuwapa ushirikiano! Pia oligarchy Warusi wana mihela na property UK, anatamani kuzitaifisha lakini hawezi! Sheria zake UK na EU zitamlipisha damages za kufa mtu!Mpka sometime najiuliza Warusi wamewafanya nini waingereza Kwa sababu Naona waingereza wanawachukia Sana warusi.
Ahaa sawaMrusi alishampa sumu polonium xKGB double agent fulani, ndani ya UK, London, aliiabisha Sana Intelligensia ya UK, jamaa wakataka muhusika akashtakiwe UK, Putin akasema kamwe hiyo haitokuja kutokea! Na hakuwapa ushirikiano! Pia oligarchy Warusi wana mihela na property UK, anatamani kuzitaifisha lakini hawezi! Sheria zake UK na EU zitamlipisha damages za kufa mtu!
Yule jamaa alikufa kifo cha maumivu makali Sana. Ilikuwa radioactive poisoning!
Mi Russia namkubali ye haongei ni Vitendo tu. US yeye ni kuimba taarabu tuGermany na France wamegoma kuweka vikwazo zaidi maana vinawaumiza wananchi wao.Hata Nato wenyewe leo wamekataa kuisaidia ukraine kuweka no flying zone hawataki vita.Sasa mashabiki wa Western wanavyoelezea humu JF eti Russia kashindwa vita.Zelensky si angeacha kuomba misaada ya kijeshi.Russia wanapiga kimya kimya tu.
Huyo ni team natoZimetajwa,au umevaa miwani ya nato huzioni?
Weka na za kiev
Wala hakuna nchi zinazoichukia Ukraine,hata Urusi haiichukii Ukraine,Ukraine imeponzwa na Marekani.Na vipi kuhusu nchi zinazoichukia UKRAINE?