Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #401
No risk no successParefu kiasi gani? Lakini pia risk na mazingira ya kazi Ni tofauti sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No risk no successParefu kiasi gani? Lakini pia risk na mazingira ya kazi Ni tofauti sana.
Yeah sure ila pesa wanapigaMimi naona boss kununua boda boda kumpa kijana naiona kama biashara kichaaa labda boda boda uwe mwenyewe alafu uwe na akili kichwani hapo kidogo hela utaiona.kwa maaana unanunua boda 2,700,000 cash then unampa kijana analeta 15,000 per day miezi 10 ni kama 4,500,000 ukija kutoa faida unapata 1,800,000 kwa miezi kumi ,wastani wa 180,000 kwa mwezi.......ki mahesabu ni kama hela yako unaila kidogo kidogo tu labda uwe na side hustle.au uwe ni muajiriwa hiyo hela ya boda boda iwe kwa ajili ya kujichanga na kununua nyingine ili ziwe biashara endelevu.
Ndonn SasaIdara gani hawana makato ya loan board au makato ya selikal
Mmesahau ile meme ya wajinga mia[emoji1787]Jirekebisheni
Wew unawapa matapeli ndoshida, mpe dogo mwenye uchungu wa maishaUkitaka kujua hao bada wako wamekupa figa zsizo za ukwel nunua pikpki mpya mpe boda mmoja unaeamn n mpambanaj mwambie kila siku akuletee 10000 kwa muda wa miez 15 pikpk inakua yake uone ataishia mwez wa ngap akikuletea iyo ten ten
Hhhahaha pole yakoNjoo uone watu wanalia heka 200 huku mpunga
Njoo uone walimu matajir
Huna unachokijua Kaa kimyaLabda kama ww peke yako ndio dereva wa bodaboda tuna vijana tumewapa hizo bodaboda kwenye maeneo tofauti nchi hii.
Hizo stori zenu za kupata 60K kila siku kawadanganye wajinga wenzio.
Sikatai baadhi ya siku kupata hiyo 60K lakini sio daily.
Vijana wa siku hizi mnajiingopea hadi nafsi zenu ili iweje?
Na endapo kuna kijana ana uwezo wa kuingiza 60K kila siku na anahitaji bodaboda mpya aje inbox mm atanipa 15K tu kwa siku kwa mwaka mmoja baada ya hapo bodaboda ni yake.
ni kweli tatizo sio walimu wala boda boda tatizo lipo kwa baadhi ya walimu na baadhi ya bodaboda na hata wa kada nyingne wapo wasipfanya chochote pamoja na mishaara mikubwaPia Kuna bodaboda wana pikipiki zaidi ya Tatu wamegawa nawanaletewa hesabu
Hivi vichwa ndugu zangu tuvitumie kufikiri zaidi. Mwalimu ana uwezo wa kwenda bank kukopa pesa na kumiliki bodaboda tano ambazo zitamletea salio kila siku. Kwa maana nyingine anasimama kama meneja huku akiendelea na ajira yake. Unaanza kumlinganisha na mwendesha bodaboda?Kuna mjadala unawaka Moto kwenye jukwaa la MMU kuwa Kati ya mwalimu na bodaboda yupi yupo kwenye sehemu nzuri ya kipato na kuendesha maisha yake ya kila siku.
Iko hivi :bodaboda akitulia vizuri na akajenga uamini Kwa wateja Kwa siku hakosa elfu hamsini mpaka sitini ukipiga Kwa mwezi ni mara tano ya mshahara WA mwalimu anaelipwa laki nne au 5 Kwa mwezi. Hata hivyo bodaboda pesa Yao Ina-vary ila Hawa maticha ipo fixed mpaka miaka mitano au sita atakapopanda daraja [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Nafunga mjadara sasa. Mwalimu ni kada ya mwisho kwenye kipato hata muuza magazeti anampita
Ni kwa sababu hujui maana ya fedha. Ya boda haina sifa ya kuitwa fedha. Ina sifa ya kuitwa hela. Lakini mshahara unakuwa na sifa ya fedha, pesa na hela kulingana na nyakati.Kuna mjadala unawaka Moto kwenye jukwaa la MMU kuwa Kati ya mwalimu na bodaboda yupi yupo kwenye sehemu nzuri ya kipato na kuendesha maisha yake ya kila siku.
Iko hivi :bodaboda akitulia vizuri na akajenga uamini Kwa wateja Kwa siku hakosa elfu hamsini mpaka sitini ukipiga Kwa mwezi ni mara tano ya mshahara WA mwalimu anaelipwa laki nne au 5 Kwa mwezi. Hata hivyo bodaboda pesa Yao Ina-vary ila Hawa maticha ipo fixed mpaka miaka mitano au sita atakapopanda daraja [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Nafunga mjadara sasa. Mwalimu ni kada ya mwisho kwenye kipato hata muuza magazeti anampita
Labda kama ww peke yako ndio dereva wa bodaboda tuna vijana tumewapa hizo bodaboda kwenye maeneo tofauti nchi hii.
Hizo stori zenu za kupata 60K kila siku kawadanganye wajinga wenzio.
Sikatai baadhi ya siku kupata hiyo 60K lakini sio daily.
Vijana wa siku hizi mnajiingopea hadi nafsi zenu ili iweje?
Nazungumzia net take home 60K kwa siku.Wapo Ila Mimi pia n boda boda naingiza 45-50 sema hii pesa saving naweza weka 20 inayobk na nanunua mfuta na ten naacha kweny familia....kumkuta mwlimu Ni ngum sabab wao wanpta mikopo kwa haraka zaid kuliko cc
Aitoe wapi hiyo?Bodaboda anapata elfu hamsini Kwa siku manake Kwa mwezi ni million moja na nusu
Mwalimu hata wewe ni slow leaner!Huna unachokijua Kaa kimya
wakati huo huo mwosha magari anaosha gari la engineerMuosha magari anamzidi mshahara Engineer.
Yeah sureni kweli tatizo sio walimu wala boda boda tatizo lipo kwa baadhi ya walimu na baadhi ya bodaboda na hata wa kada nyingne wapo wasipfanya chochote pamoja na mishaara mikubwa
Hhhahaha hizi zingine mbwembwewakati huo huo mwosha magari anaosha gari la engineer
Duh tutajua mengiHalafu kingine watu wasichoelewa ni kwamba ukinunua bodaboda ukampa dereva hata siku Mungu amjalie apate laki bado yako atakupa 10000 ya makubaliano. Maana naona wengi wanakuja na point basi ninunue boda 5 niwape watu ukitegemea akipata 50000 atakuletea wewe??
Watanzania tumekuwa wavivu wa kufikiri sana labda sababu ya ugumu wa maisha. Bodaboda ya hesabu utaletewa 10000 au 13000 kila siku ila matengenezo yote ya chuma yatakuhusu boss. Mwenzio hata apate 90000 anajua zaidi ya kujaza mafuta na hesabu yake 10k hana matumizi mengine.
Angalau bodaboda ya mkataba ambayo matengenezo ni juu ya dereva akimaliza mkataba inakuwa yake nazo mnasumbuliwa kwasababu maboss pia huwa sio waaminifu kukabidhi pindi mkataba ukiisha. Nao wameshajua ndio maana wanaona bora asogeze siku huku akikusumbua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua bodaboda inauzwa bei Gani?M
Mwalimu hata wewe ni slow leaner!
Namaanisha bodaboda anayepata take home 60K kwa siku baada ya kutoa gharama za uendeshaji.
Ingekuwa rahisi hivyo kupata hiyo 60K kwa kila siku mojobless wangekuwa bodaboda wote.
Kwa wateja wakeAitoe wapi hiyo?