Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Yeah sure ila pesa wanapiga
 
Ukitaka kujua hao bada wako wamekupa figa zsizo za ukwel nunua pikpki mpya mpe boda mmoja unaeamn n mpambanaj mwambie kila siku akuletee 10000 kwa muda wa miez 15 pikpk inakua yake uone ataishia mwez wa ngap akikuletea iyo ten ten
Wew unawapa matapeli ndoshida, mpe dogo mwenye uchungu wa maisha
 
Huna unachokijua Kaa kimya
 
Hivi vichwa ndugu zangu tuvitumie kufikiri zaidi. Mwalimu ana uwezo wa kwenda bank kukopa pesa na kumiliki bodaboda tano ambazo zitamletea salio kila siku. Kwa maana nyingine anasimama kama meneja huku akiendelea na ajira yake. Unaanza kumlinganisha na mwendesha bodaboda?
 
Ni kwa sababu hujui maana ya fedha. Ya boda haina sifa ya kuitwa fedha. Ina sifa ya kuitwa hela. Lakini mshahara unakuwa na sifa ya fedha, pesa na hela kulingana na nyakati.
Watu wengi mnapenda pesa ikiwa katika hali ya karatasi hii tunayoiona. Na ndicho watu wengi huhesabu. Lakini hatuhesabu(we do not account) the unseen value of money. We count and account cash.
Mshahara una thamani isiyoonekana.
Hilo ni moja.
La pili: Kwa mtu yeyote yule, la muhimu ni unagawanyaje kipato chako baada ya kupata. Issue kubwa sio kiasi ukichopata. Issue ni unatumiaje akili yako kuongoza ulichokipata. Hapo ndio kuna complex algebraic equations.
 

Wapo Ila Mimi pia n boda boda naingiza 45-50 sema hii pesa saving naweza weka 20 inayobk na nanunua mfuta na ten naacha kweny familia....kumkuta mwlimu Ni ngum sabab wao wanpta mikopo kwa haraka zaid kuliko cc
Nazungumzia net take home 60K kwa siku.
Sio hiyo 60K uanze kutoa pesa ya mafuta nk.
Namaanisha faida ya 60K baada ya kutoa gharama zote za uendeshaji wa hiyo bodaboda.
Vijana mna kwama wapi kuelewa vitu vidogo kama hivi?
 
Halafu kingine watu wasichoelewa ni kwamba ukinunua bodaboda ukampa dereva hata siku Mungu amjalie apate laki bado yako atakupa 10000 ya makubaliano. Maana naona wengi wanakuja na point basi ninunue boda 5 niwape watu ukitegemea akipata 50000 atakuletea wewe??

Watanzania tumekuwa wavivu wa kufikiri sana labda sababu ya ugumu wa maisha. Bodaboda ya hesabu utaletewa 10000 au 13000 kila siku ila matengenezo yote ya chuma yatakuhusu boss. Mwenzio hata apate 90000 anajua zaidi ya kujaza mafuta na hesabu yake 10k hana matumizi mengine.

Angalau bodaboda ya mkataba ambayo matengenezo ni juu ya dereva akimaliza mkataba inakuwa yake nazo mnasumbuliwa kwasababu maboss pia huwa sio waaminifu kukabidhi pindi mkataba ukiisha. Nao wameshajua ndio maana wanaona bora asogeze siku huku akikusumbua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh tutajua mengi
 
M

Mwalimu hata wewe ni slow leaner!
Namaanisha bodaboda anayepata take home 60K kwa siku baada ya kutoa gharama za uendeshaji.
Ingekuwa rahisi hivyo kupata hiyo 60K kwa kila siku mojobless wangekuwa bodaboda wote.
Unajua bodaboda inauzwa bei Gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…