Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

Bodaboda wanapata pesa sana ila tatizo ni nidhamu ya matumizi ya hiyo pesa.

Kwa kijana mwenye pikipiki yake binafsi, kwa mwezi anaingiza pesa nyingi sana, naona umewatolea mfano walimu lakini ukweli ni kwamba anaweza kumzidi mtu yoyote ambaye kwa mwezi mshahara wake ni chini ya laki saba.

Tatizo linarudi pale pale, nidhamu ya matumizi.
[/CENTER]
 
Tunataja pesa sio risk
Pesa tamu ila haina maana kama hauna uhai mzee, kiufupi hauko serious, walimu wanamafao wanabima za afya kubwa na familia nzima izo hamsini hamsini za boda akiumwa malaria tu na vile hazalishi tayari amefukuzwa na mwenye nyumba.

Kiufupi ni takataka na nchi zinazojielewa huwezi kuacha vijana wanateseka hivi kitaa na hivi vikata miguu, ni bora wachangabye mitaji wakalime.
 
Hayo ya matumizi hata walimu walevi na Malaya wapo ila bodaboda Kwa mwezi anapiga parefu
 
Hujielew unachoandika rudi shule
 
My genious mpwayungu village
 
Haya tuanzie hapa
A. Mwalimu ana uwezo wa kuajiri bodaboda zaidi ya 10.
B. Mwalimu ana uwezo wa kupata fursa nyingi zaidi kupitia elimu yake.
C......
 
Bodaboda anayekunja 50K hadi 60K kwa siku anapakia mawaziri au akina nani?

Tuache kuleta uongo wa kingese kiasi hiki hapa JF. Kila sehemu kuna rundo la bodaboda inakuwaje hadi bodaboda mmoja apate average ya 60K kwa siku? Au anabeba wahamiaji haramu au mirungi au bangi?

Mleta mada umeamua kuja kujipa mashavu hapa JF!!?
 
Sio kweli uyanenayo bwana bodaboda
 
Kama boda boda pikipiki ni yake anamzidi . Sababu wastani hapo ni kama 16,000/ kwa siku. Mi Namjua dereva mmoja wa boda ya mkaa analipa kila siiku 15, kwa boss wake nae anapata ya kula na kuishi. Hata wanao uza maji tu wana hela ndefu kwa siku.

Mwalimu anajazia tuiton na vi semina vinginevyo ananufaika na bima ya afya na pesheni akistaafu lakini kula nyama tu kwenye bucha inabidi achungulie mfukoni sababu kg1 ni 9000/= bila viungo shida sana ajira jamani, labda awe na mshahara wa laki 8 mbele hukoo
 
Mshakaa na boda boda mkawauliza? Mtafute bodaboda muulize kama hiyo 50elfu anapata kwa siku.

Zamani bodaboda walipiga pesa si siku hizi, mtaani vijana wanalalama.
Yaani awe ameshakula, ameweka mafuta, apeleke hesabu kwa bosi kisha abakiwe na 50 elfu 😂

Siku hizi akitoa hesabu, mafuta, na kula yake kuipata 15 tu kazi.

Nina kama mdogo wangu ambae hapo awali alishaendesha pikipiki zangu kabla ya kuachana na hii biashara kichaa.

Sijui mapato ya walimu ila nawajua bodaboda kiasi chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…