makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Sahihi, ongeza elfu 10 katika 10-15 yake so atakuwa anakusanya 15-25 elfu.Kuna wengine wanamiliki bodaboda zao sio ya boss
Hawezi kuwa sawa na mwalimu huyu anakusanya hiyo kidogo dogo, kuna maradhi, na vingine vingi vingi.
Mwalimu ana vijipesa uchwara kwa wazazi, bado ana bima ya afya magonjwa ya laki laki hayo hatoboki, anaweza pata mkopo sijui mpaka milioni 10+ huko, hizo fursa boda hana.
Rahisi kumkuta bodaboda ana nyumba na gari na shamba ikiwezekana, kuliko bodaboda.
Muajiriwa akituliza akili tu anatoboa.