Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #81
Ndoivo Sasa ticha kutoboa ni ngumuWenye akili wanakopa na maisha ndio yananoga.. Mtu anakopa anunue gari unadhani ataenda wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoivo Sasa ticha kutoboa ni ngumuWenye akili wanakopa na maisha ndio yananoga.. Mtu anakopa anunue gari unadhani ataenda wapi
Yupo jamayangu, kazi zake huanza saa 11 jioni hadi 11 Alfajiri, mimi nyumbani kwakua natoka saa 10 alfajiri, humtumia huyu kinipeleka barabarani, ili nipande Daladala.Labda akeshe.
@Liverpool VPN najua we ni mwalimu au umewahi kuwa. Ebu waambie mwalimu kama anaweza kubadilisha Ile suruali yake ya njano yenye marinda na shati ya draft katikati ya wikiHuyu ana side hustle zake.
Ila ukiniambia kutoka kwenye kibarua basi ni UONGO.
TGST C, TGST D sio mshahara wa kukunja "MPUNGA MREFU"
#YNWA
UmesaKuna mjadala unawaka Moto kwenye jukwaa la MMU kuwa Kati ya mwalimu na bodaboda yupi yupo kwenye sehemu nzuri ya kipato na kuendesha maisha yake ya kila siku.
Iko hivi :bodaboda akitulia vizuri na akajenga uamini Kwa wateja Kwa siku hakosa elfu hamsini mpaka sitini ukipiga Kwa mwezi ni mara tano ya mshahara WA mwalimu anaelipwa laki nne au 5 Kwa mwezi. Hata hivyo bodaboda pesa Yao Ina-vary ila Hawa maticha ipo fixed mpaka miaka mitano au sita atakapopanda daraja [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Nafunga mjadara sasa. Mwalimu ni kada ya mwisho kwenye kipato hata muuza magazeti anampita
Hii ndio point watu wengi hatuna nidhan ya pesa kama inaingia kidogo kidogo kwa siku tunashindwa ku manage ndipo wanapokwama wengi hapa wanao hustle nje ya ajira sio boda tu..
Bodaboda wanapata pesa sana ila tatizo ni nidhamu ya matumizi ya hiyo pesa.
Kwa kijana mwenye pikipiki yake binafsi, kwa mwezi anaingiza pesa nyingi sana, naona umewatolea mfano walimu lakini ukweli ni kwamba anaweza kumzidi mtu yoyote ambaye kwa mwezi mshahara wake ni chini ya laki saba.
Tatizo linarudi pale pale, nidhamu ya matumizi.
Sidhani kama nimeandika, hakuna bodaboda anaemiliki nyumba yake, kama nimeandika hivyo, nitakua nimeandika upuuzi.Sio kweli mm Mara ya kwanza dar nilipanga mwananyamala mmliki ni bodaboda
Hakuna unachojua. TGTs F yenyewe take home inakimbilia Laki 9Labda awe hajakopa bank hata hivyo tgts H take home haizidi mia tisa
Mkuu unavyo chukua vigezo vya huyo teacher unakuwa unakosea inategemea kwao wana uchumi gani kama anategemeawa na ukoo mzima mshahara wake wa ualimu utaonekana hautoshi, ni tofauti na mwalimu ambaye kwao hawategemei mshahara wake ila yeye ndiyo anategemea kwaoIam not bodaboda ila nakaa na mwalimu amepanga kwenye nyumba yangu najua shida anayopitia
Nafahamu fika huwa unawachukia waalimuIam not bodaboda ila nakaa na mwalimu amepanga kwenye nyumba yangu najua shida anayopitia
Walimu wanakopa pesa wananunulia vitu vya nyumbani mfano Tv, masofa, makabati, sabufa, na kiwanja, pesa zao wanazielekeza sehemu ambazo hazizalishi.Akikopa tu hapo ndomaisha yanaanza kuwa magumu in addition bodaboda hazuiwi kukata Bima kwahiyo Kuna bodaboda wana Bima pia
Umeongea point kubwa sana madem wengi wanapakwa mate na bodaboda pesa ipo ila mwalimu hata ukitaka kuowa unakataliwa kwakua huna pesaHii ndio point watu wengi hatuna nidhan ya pesa kama inaingia kidogo kidogo kwa siku tunashindwa ku manage ndipo wanapokwama wengi hapa wanao hustle nje ya ajira sio boda tu..
Mtu deile anaingiza efu 30 net kwa kuwa deile ipo anapiga bia, anagongea wake za watu by the of the month saving haifiki laki tano...
Na mademu wanalijua hili ndio mana wanashobokea boda boda pesa ipo...
Ukikuta boda anajielewa anakua na maendeleo sana anakua anacheza ligi moja na wanaolamba net 1.5 milion kwa mwezi
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Sidhani kama nimeandika, hakuna bodaboda anaemiliki nyumba yake, kama nimeandika hivyo, nitakua nimeandika upuuzi.
Wapo watu leo ni bodaboda, kabla hapo alifanya kazi zenye kipato, kimuwezesha kujenga, na baadae hali ikawa mbaya, akajisalimisha bodaboda.
Lakini wapo bodaboda wana nyumba za urithi, na wapo waliojenga ila ni wachache mno, sema umesoma ukiwa umejiandaa kupinga.
Kwema zako kwanza walimu wana maden chini ya moja ya TatuHakuna unachojua. TGTs F yenyewe take home inakimbilia Laki 9
Siwaheshimu sio nawachukiaNafahamu fika huwa unawachukia waalimu
Na hapo ndowanapokoseaWalimu wanakopa pesa wananunulia vitu vya nyumbani mfano Tv, masofa, makabati, sabufa, na kiwanja, pesa zao wanazielekeza sehemu ambazo hazizalishi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Bodaboda anayekunja 50K hadi 60K kwa siku anapakia mawaziri au akina nani?
Tuache kuleta uongo wa kingese kiasi hiki hapa JF.
Kila sehemu kuna rundo la bodaboda inakuwaje hadi bodaboda mmoja apate average ya 60K kwa siku? Au anabeba wahamiaji haramu au mirungi au bangi?
Mleta mada umeamua kuja kujipa mashavu hapa JF!!?
Aliyekwambia shule zote wanatumia chaki ni Nani??Bora umenisaidia kujibu,hajui madhara ya chaki huyu dogo
Mtu usiemheshimu huwezi kumpenda abadaniSiwaheshimu sio nawachukia